2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

Songs= 2 of american most wanted

who do you belive in

if i die 2nite

holla at me

heartz of men

i wonder heaven got a geto

film: poetic justice

documentally: resurection
 
Kwenye hiphop genre Eminem yupo ahead of everyone else kwenye statistics za mauzo...

Kwenye hiphop busines I guess Dre is ahead of everyone else

Kwa mega superstar alie transend the whole industry musically and businesswise na longevity Jay-Z is God....

Kwa aina ya muziki wa kiharakati wa Tupac au Nas ungekua irrelevant now..Jay au Em angeweza wa-trump all of them put together!

ni kweli muziki hubadilika na hata wasanii nao hubadilika kulingana na wakati na mahitaji ya soko, Buster rymes wa fire ni tofauti na yule buster rymes wa baby give it to me vivo hivyo kwa ja rule, R.kelly nk.
Lil wayne, 50 cent, T.I na wengineo wa kizazi hiki hawawezi kuimba hip hop za kiharakati coz msukumo huo haupo wameshanyooshewa njia wao ni hip hop comercial na wanapiga hela
 
Mwambie atafute song moja linaitwa my block,ngoma ina verse nyingi na ujumbe mzito.

Kuna watu wengine hawajui muziki huwa naona tabu hata kudebate nao, siku 2pac anauwawa nilikuwa Athens Greece tukiangalia pambano la Tyson sasa yeye atakwambia sijui alitoroka nyumbani na yeye akaone, tuko rika na ufahamu tofauti humu.

Na kwa kawaida nyimbo mwisho ni verse tatu, Makaveli Pac ndio wa kwanza kuchana verse 4 kwenye nyimbo yake.
 
JAYZ ALIHOJIWA KWENYE INTAVYUU MOJA AKASEMA HIVI KUHUSU EMINEM

In a recent interview with Music One, Jay-Z was
asked about the current state of music and how
he felt about many of today’s most popular
artist.
When speaking about Eminem, the Brooklyn
rapper labeled the Detroit native the most
overrated rapper of all-time. “I don’t really
understand the appeal of dude,” Jay-Z said of
Eminem. “He dropped a few hot verses back in
the day, but he’s been mad average for many
years now. He is probably the most overrated
rapper of all-time, but he did really well targeting
his audience. He is a genius in that sense, but in
the bigger scheme of things, there are a million
rappers who were and are lightyears ahead of
him.”
Jay also spoke about Eminem’s album sales,
saying it is a travesty that he is the highest-
selling rapper of all-time. “When you really think
about it, it’s ridiculous that Em has outsold so
many rappers with real talent. 2Pac, Nas, Big,
Kanye, and myself would rap circles around him. I
am not trying to take away from his talent, but in
all reality, he is catalogue can’t match mine.”
“The last hot verse he did was on my track,” Jay-
Z said, alluding to Eminem’s verse on Renegade.
Eminem is not only the best selling rapper of all-
time, but he also the second best selling
individual male artist, falling behind only Garth
Brooks. His cumulative album sales have grown
to 44.91 million (in the Soundscan era), and
continue to swell.
 
Kuna watu wengine hawajui muziki huwa naona tabu hata kudebate nao, siku 2pac anauwawa nilikuwa Athens Greece tukiangalia pambano la Tyson sasa yeye atakwambia sijui alitoroka nyumbani na yeye akaone, tuko rika na ufahamu tofauti humu.

Na kwa kawaida nyimbo mwisho ni verse tatu, Makaveli Pac ndio wa kwanza kuchana verse 4 kwenye nyimbo yake.

teh teh nimeipenda hiyo mkuu Matola ni wa kwanza kuchana verse moja kwenye nzima ya brenda's got a baby sauti nyingine ilikuwa chorus na back vocals tu mchezo umekwisha.
 
Last edited by a moderator:
tukisema pac angeshindwa kukabiliana na mazingira haya mimi nakuwa sielewi coz jamaa alikuwa na nyimbo za kiharakati na pia za kuparty.
Nadhani ni mawazo yng kuwa hata kama waqti umepita kuna watu kama karim abdul jabber, Scott pippen, jordan,Johnson, rodman, Patrick ewing, Barkley huwezi kuwalinganisha na kina lebron, kobe, tim duncun kwa kikapu au Mohammed ally na frazier na sonny liston uwalinganishe na hawa wa miaka house kina mayweather kama sio pele, maradona, johan craffy na kizazi hiki.
Maoni yangu kuna watu wanamchukulia kwa uoga but pac ni Khabari nyingine.
 
nimekusoma guasa yaani jamaa alikuwa na uwezo wa kubadilika sana
ukifatilia nyimbo zake utakubaliana nami
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kwa wale wote mashabiki na wapenzi wa legendary Tupac shakur
katika uwepo wake wa muda mfupi sana (miaka 5) ameweza kufanya mambo makubwa sana si kwenye music tu bali hata kwenye filam na mambo mengine ya kiharakati na kuwazidi hata wale aliokuwa nao na bado wanaendelea kufanya mziki kuacha wale upcomers artist.

Takriban ni miaka 19, je ni kipi toka kwake hutokisahau, ni filam gani unaikumbuka toka kwake (above the rim, gridlock)
ni nyimbo gani unaipenda toka kwake na uwezi sahau kwenye playlist yako hip hop
FUNGUKA

Hit Em Up aka ( i f.u.c.k. ya b.i.t.c.h big small .m.o.t.h.e.r.f.u.c.k.e.r)
 
Wewe unaamini kuwa aliuawa na nani?

Kuna nadharia nyingi sana zimezunguka kuhusu kifo cha PAC..

Lakina nina uhakika zaid ya family yake na watu wake wa karibu, me na wewe bado hatujui ni NANI hasa aliyemuua PAC..

Lakin katika nadharia zote hii ya kina *baby lane* huwa haina mashiko kabisa!
 
Hoja yako wewe ni ipi?

Hoja ni kwamba hiyo ni moja tu kati ya nadharia dhaifu zinahusu mzunguko wa kifo cha PAC..

Because mpaka sasa HAKUNA anayejua NANI aliyemuua PAC (maybe ukiachana na familia yake na Kina Napoleon, storm na kina Mussolin)..lakin bado DUNIA haijajua nan aliyemuua PAC zaid ya Conspiracy kibao zinazohusishwa na kifo chake...

Lakin hiyo ya kina baby lane..nadhan ni ndo nadharia nyepesi sana...baby lane alikuwa ni kama suspect tu katika kesi ya PAC na alihojiwa mara moja tu..and police did that because ya incident iliyotokea kati yake na PAC kabla PAC hajapigwa risasi!!!

Na baby lane alikuja kufa baadae 1998 ambapo alikufa ye na wenzake wengine katika gunfight ambayo ilikuwa haiusian na ishu za PAC..alikufa mwaka mmoja mbele baada ya BIG...

Inamaana kama Police knew baby lane and the crips killed PAC, kwann walishindwa kum-convict Baby lane??..walikuwa wanamuogopa??..gang ya Crips ilikuwa moja ya gang ndogo sana kule crompton..why POLICE waiogope???..coz kama ni kweli baby lane ndo alihusika kumuua PAC basi kesi ya mauaji ya PAC ingekuwa imeisha kitambo saaana..coz baby lane was just a Broke nigga asiye na power yoyote so kama kumkamata ingekuwa ni rahis saaana..but police walimuhoji MARA MOJA tu as a Suspect na WAKAACHANA NAE...

Na unafikiri kina Mussolin na kina kastro (pamoja na west side gangs zilizokuwa zinamsupport PAC) wangemuacha tu baby lane azurure kitaa cha crompton muda wote huo????...baby lane kama nan watu wamuogope???..he was just a broke nigga!

KIFO cha PAC kina nadharia nying sana (BIG, SUGE, ILUMINAT, US GVT etc)..but hakuna hata moja ILIYOTHIBITISHWA hata kidogo!!

T.I baada ya kusikia mwanae DOE-B kapigwa risasi CLUB, akatoka mwenyewe kujaribu kwenda kuwatafuta walio-mpiga Risasi DOE-B...sembuse wahuni kina kadafi na kina napoleon wanae PAC wakamuache huyo baby lane???..

Hiyo ishu ya kina baby lane ni dhaifu sana!
 
Kwenye hiphop genre Eminem yupo ahead of everyone else kwenye statistics za mauzo...

Kwenye hiphop busines I guess Dre is ahead of everyone else

Kwa mega superstar alie transend the whole industry musically and businesswise na longevity Jay-Z is God....

Kwa aina ya muziki wa kiharakati wa Tupac au Nas ungekua irrelevant now..Jay au Em angeweza wa-trump all of them put together!

Eminem anabakia kuwa the best selling Rapper of all time kama Ukitoa mauzo ya Post-death albums za PAC..

Guiness book of Record inamtambua PAC kama the best selling rapper of all the time (including na post-death albums)..

Figures kibao zinakuwa manipulated..PAC has sold 75+million copies worldwide..Em wazungu wanasema ameuza 110+million copies worldwide which ni uongo coz ushahid ni mauzo ya recently Albums za Em ambazo hazijauza sana kiasi cha kumfanya afike fasta kwenye 110+mill copies...

PAC atabakia kuwa the best selling Rapper of all the time according to Guiness book of Record...

Jay-z katransend Music industry???..

Ngoma za Nas ni irrelevant???..Album yake ya Life is good ya juzi juzi imeuza copy nyingi kulko Magna carter ya Jay-z...so how unambie ngoma za nas ni irrelevant??..album ya PAC *loyal to the game* iliuza kiasi gan???

Niggaz are doing it harder and still gettin paid

ImmortalTech
ASAP rocky
Slaughter house
Talib kweli
Black thought
Saigon
MasterAce
Canibus
Dizaster
Etc..

Kwenye mainstream kuna kina K.dot, YG, Eric sermon, pusher T etc..are doing it hard but still getting paid...kinachomatter ni what you represent!!

Album ya T.I ya sahiv #paperwork haina hata TRAP MUSIC ina jam ambazo zimejaa message tu, lakin imedebute number 2 kwenye mauzo week ya kwanza tu...kazipiga chini album za mapimbi kibao...

Real niggaz will support you kama unafanya kweli..tangu The Game aingie kwenye mfumo wa commercial album zake zote zimebuma kuanzia jesus pieces mpka hii ya sahiv..ukilinganisha na Documentary na Doctors advocate ambazo zote zilienda platnum...
 
Hoja ni kwamba hiyo ni moja tu kati ya nadharia dhaifu zinahusu mzunguko wa kifo cha PAC..

Because mpaka sasa HAKUNA anayejua NANI aliyemuua PAC (maybe ukiachana na familia yake na Kina Napoleon, storm na kina Mussolin)..lakin bado DUNIA haijajua nan aliyemuua PAC zaid ya Conspiracy kibao zinazohusishwa na kifo chake...

Lakin hiyo ya kina baby lane..nadhan ni ndo nadharia nyepesi sana...baby lane alikuwa ni kama suspect tu katika kesi ya PAC na alihojiwa mara moja tu..and police did that because ya incident iliyotokea kati yake na PAC kabla PAC hajapigwa risasi!!!

Na baby lane alikuja kufa baadae 1998 ambapo alikufa ye na wenzake wengine katika gunfight ambayo ilikuwa haiusian na ishu za PAC..alikufa mwaka mmoja mbele baada ya BIG...

Inamaana kama Police knew baby lane and the crips killed PAC, kwann walishindwa kum-convict Baby lane??..walikuwa wanamuogopa??..gang ya Crips ilikuwa moja ya gang ndogo sana kule crompton..why POLICE waiogope???..coz kama ni kweli baby lane ndo alihusika kumuua PAC basi kesi ya mauaji ya PAC ingekuwa imeisha kitambo saaana..coz baby lane was just a Broke nigga asiye na power yoyote so kama kumkamata ingekuwa ni rahis saaana..but police walimuhoji MARA MOJA tu as a Suspect na WAKAACHANA NAE...

Na unafikiri kina Mussolin na kina kastro (pamoja na west side gangs zilizokuwa zinamsupport PAC) wangemuacha tu baby lane azurure kitaa cha crompton muda wote huo????...baby lane kama nan watu wamuogope???..he was just a broke nigga!

KIFO cha PAC kina nadharia nying sana (BIG, SUGE, ILUMINAT, US GVT etc)..but hakuna hata moja ILIYOTHIBITISHWA hata kidogo!!

T.I baada ya kusikia mwanae DOE-B kapigwa risasi CLUB, akatoka mwenyewe kujaribu kwenda kuwatafuta walio-mpiga Risasi DOE-B...sembuse wahuni kina kadafi na kina napoleon wanae PAC wakamuache huyo baby lane???..

Hiyo ishu ya kina baby lane ni dhaifu sana!

Umewahi kuishi au kufika Marekani?

Unadhani wenzetu wanashtaki tu mtu kama afande kova?

Unadhani OJ Simpson hakuuwa?
 
Kuna nadharia nyingi sana zimezunguka kuhusu kifo cha PAC..

Lakina nina uhakika zaid ya family yake na watu wake wa karibu, me na wewe bado hatujui ni NANI hasa aliyemuua PAC..

Lakin katika nadharia zote hii ya kina *baby lane* huwa haina mashiko kabisa!

Mimi nilidhani unajua. Sasa kama hujui nani alimuua basis za kukataa hiyo nadharia ni zipi?
 
Hoja ni kwamba hiyo ni moja tu kati ya nadharia dhaifu zinahusu mzunguko wa kifo cha PAC..

Because mpaka sasa HAKUNA anayejua NANI aliyemuua PAC (maybe ukiachana na familia yake na Kina Napoleon, storm na kina Mussolin)..lakin bado DUNIA haijajua nan aliyemuua PAC zaid ya Conspiracy kibao zinazohusishwa na kifo chake...

Lakin hiyo ya kina baby lane..nadhan ni ndo nadharia nyepesi sana...baby lane alikuwa ni kama suspect tu katika kesi ya PAC na alihojiwa mara moja tu..and police did that because ya incident iliyotokea kati yake na PAC kabla PAC hajapigwa risasi!!!

Na baby lane alikuja kufa baadae 1998 ambapo alikufa ye na wenzake wengine katika gunfight ambayo ilikuwa haiusian na ishu za PAC..alikufa mwaka mmoja mbele baada ya BIG...

Inamaana kama Police knew baby lane and the crips killed PAC, kwann walishindwa kum-convict Baby lane??..walikuwa wanamuogopa??..gang ya Crips ilikuwa moja ya gang ndogo sana kule crompton..why POLICE waiogope???..coz kama ni kweli baby lane ndo alihusika kumuua PAC basi kesi ya mauaji ya PAC ingekuwa imeisha kitambo saaana..coz baby lane was just a Broke nigga asiye na power yoyote so kama kumkamata ingekuwa ni rahis saaana..but police walimuhoji MARA MOJA tu as a Suspect na WAKAACHANA NAE...

Na unafikiri kina Mussolin na kina kastro (pamoja na west side gangs zilizokuwa zinamsupport PAC) wangemuacha tu baby lane azurure kitaa cha crompton muda wote huo????...baby lane kama nan watu wamuogope???..he was just a broke nigga!

KIFO cha PAC kina nadharia nying sana (BIG, SUGE, ILUMINAT, US GVT etc)..but hakuna hata moja ILIYOTHIBITISHWA hata kidogo!!

T.I baada ya kusikia mwanae DOE-B kapigwa risasi CLUB, akatoka mwenyewe kujaribu kwenda kuwatafuta walio-mpiga Risasi DOE-B...sembuse wahuni kina kadafi na kina napoleon wanae PAC wakamuache huyo baby lane???..

Hiyo ishu ya kina baby lane ni dhaifu sana!

KWENYE BLUU
Kwanza ku-convict mtu sio kazi ya Polisi, wao kazi yao ni kupeleleza tukio na wakipata ushahidi wa kumshitaki mtu hufungua kesi, baada ya hapo mahakama ndio ina uwezo wa kumtia mtu hatiani (convict) au la. Pili ili kum-convict mtuhumiwa ni lazima kuwe na ushahidi wa kutosha, waendesha mashtaka hawawezi kwenda mahakamani ni kumwambia Jaji "mtu huyu ameua apewe adhabu ya kifungo cha maisha", wanatakiwa kupeleka ushahidi utakaothibitisha kuwa mtuhumiwa ametenda kosa hilo.

Polisi walishindwa kumshtaki yeyote kwa kifo cha Pac kwa sababu watu wote waliokuwa na uwezo wa kuwasaidia Polisi walikataa kutoa ushirikiano. Hao ni pamoja na Suge Knight mwenyewe na crew ya Pac (The Outlaws) ambao walikuwa pamoja wakati tukio linatokea, kila aliyekuwa akihojiwa aligoma kutoa ushirikiano na kama unakumbuka Suge alisema hata kama ningemjua aliyemuua Pac nisingewaambia Polisi kwa sababu mimi sio snitch. Kwa hiyo unaweza kuona ilivyokuwa ngumu kwa Polisi kumfungulia mashataka Orlando Anderson au mwingine yeyote bila ya ushahidi.

KWENYE RED
Mkuu kafanye utafiti wako vizuri, Crips ni moja gang ndogo??? You must be kidding! Hiyo nakuachia wewe mwenyewe ufanye utafiti utagundua kuwa umekosea.
 
Umemaliza yote, achana na tamthilia za wajinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom