Kwenye hiphop genre Eminem yupo ahead of everyone else kwenye statistics za mauzo...
Kwenye hiphop busines I guess Dre is ahead of everyone else
Kwa mega superstar alie transend the whole industry musically and businesswise na longevity Jay-Z is God....
Kwa aina ya muziki wa kiharakati wa Tupac au Nas ungekua irrelevant now..Jay au Em angeweza wa-trump all of them put together!
Mwambie atafute song moja linaitwa my block,ngoma ina verse nyingi na ujumbe mzito.
Kuna watu wengine hawajui muziki huwa naona tabu hata kudebate nao, siku 2pac anauwawa nilikuwa Athens Greece tukiangalia pambano la Tyson sasa yeye atakwambia sijui alitoroka nyumbani na yeye akaone, tuko rika na ufahamu tofauti humu.
Na kwa kawaida nyimbo mwisho ni verse tatu, Makaveli Pac ndio wa kwanza kuchana verse 4 kwenye nyimbo yake.
tukisema pac angeshindwa kukabiliana na mazingira haya mimi nakuwa sielewi coz jamaa alikuwa na nyimbo za kiharakati na pia za kuparty.
Nadhani ni mawazo yng kuwa hata kama waqti umepita kuna watu kama karim abdul jabber, Scott pippen, jordan,Johnson, rodman, Patrick ewing, Barkley huwezi kuwalinganisha na kina lebron, kobe, tim duncun kwa kikapu au Mohammed ally na frazier na sonny liston uwalinganishe na hawa wa miaka house kina mayweather kama sio pele, maradona, johan craffy na kizazi hiki.
Maoni yangu kuna watu wanamchukulia kwa uoga but pac ni Khabari nyingine.
Hii ni kwa wale wote mashabiki na wapenzi wa legendary Tupac shakur
katika uwepo wake wa muda mfupi sana (miaka 5) ameweza kufanya mambo makubwa sana si kwenye music tu bali hata kwenye filam na mambo mengine ya kiharakati na kuwazidi hata wale aliokuwa nao na bado wanaendelea kufanya mziki kuacha wale upcomers artist.
Takriban ni miaka 19, je ni kipi toka kwake hutokisahau, ni filam gani unaikumbuka toka kwake (above the rim, gridlock)
ni nyimbo gani unaipenda toka kwake na uwezi sahau kwenye playlist yako hip hop
FUNGUKA
Wewe unaamini kuwa aliuawa na nani?
Hoja yako wewe ni ipi?
Kwenye hiphop genre Eminem yupo ahead of everyone else kwenye statistics za mauzo...
Kwenye hiphop busines I guess Dre is ahead of everyone else
Kwa mega superstar alie transend the whole industry musically and businesswise na longevity Jay-Z is God....
Kwa aina ya muziki wa kiharakati wa Tupac au Nas ungekua irrelevant now..Jay au Em angeweza wa-trump all of them put together!
Hoja ni kwamba hiyo ni moja tu kati ya nadharia dhaifu zinahusu mzunguko wa kifo cha PAC..
Because mpaka sasa HAKUNA anayejua NANI aliyemuua PAC (maybe ukiachana na familia yake na Kina Napoleon, storm na kina Mussolin)..lakin bado DUNIA haijajua nan aliyemuua PAC zaid ya Conspiracy kibao zinazohusishwa na kifo chake...
Lakin hiyo ya kina baby lane..nadhan ni ndo nadharia nyepesi sana...baby lane alikuwa ni kama suspect tu katika kesi ya PAC na alihojiwa mara moja tu..and police did that because ya incident iliyotokea kati yake na PAC kabla PAC hajapigwa risasi!!!
Na baby lane alikuja kufa baadae 1998 ambapo alikufa ye na wenzake wengine katika gunfight ambayo ilikuwa haiusian na ishu za PAC..alikufa mwaka mmoja mbele baada ya BIG...
Inamaana kama Police knew baby lane and the crips killed PAC, kwann walishindwa kum-convict Baby lane??..walikuwa wanamuogopa??..gang ya Crips ilikuwa moja ya gang ndogo sana kule crompton..why POLICE waiogope???..coz kama ni kweli baby lane ndo alihusika kumuua PAC basi kesi ya mauaji ya PAC ingekuwa imeisha kitambo saaana..coz baby lane was just a Broke nigga asiye na power yoyote so kama kumkamata ingekuwa ni rahis saaana..but police walimuhoji MARA MOJA tu as a Suspect na WAKAACHANA NAE...
Na unafikiri kina Mussolin na kina kastro (pamoja na west side gangs zilizokuwa zinamsupport PAC) wangemuacha tu baby lane azurure kitaa cha crompton muda wote huo????...baby lane kama nan watu wamuogope???..he was just a broke nigga!
KIFO cha PAC kina nadharia nying sana (BIG, SUGE, ILUMINAT, US GVT etc)..but hakuna hata moja ILIYOTHIBITISHWA hata kidogo!!
T.I baada ya kusikia mwanae DOE-B kapigwa risasi CLUB, akatoka mwenyewe kujaribu kwenda kuwatafuta walio-mpiga Risasi DOE-B...sembuse wahuni kina kadafi na kina napoleon wanae PAC wakamuache huyo baby lane???..
Hiyo ishu ya kina baby lane ni dhaifu sana!
Kuna nadharia nyingi sana zimezunguka kuhusu kifo cha PAC..
Lakina nina uhakika zaid ya family yake na watu wake wa karibu, me na wewe bado hatujui ni NANI hasa aliyemuua PAC..
Lakin katika nadharia zote hii ya kina *baby lane* huwa haina mashiko kabisa!
Hoja ni kwamba hiyo ni moja tu kati ya nadharia dhaifu zinahusu mzunguko wa kifo cha PAC..
Because mpaka sasa HAKUNA anayejua NANI aliyemuua PAC (maybe ukiachana na familia yake na Kina Napoleon, storm na kina Mussolin)..lakin bado DUNIA haijajua nan aliyemuua PAC zaid ya Conspiracy kibao zinazohusishwa na kifo chake...
Lakin hiyo ya kina baby lane..nadhan ni ndo nadharia nyepesi sana...baby lane alikuwa ni kama suspect tu katika kesi ya PAC na alihojiwa mara moja tu..and police did that because ya incident iliyotokea kati yake na PAC kabla PAC hajapigwa risasi!!!
Na baby lane alikuja kufa baadae 1998 ambapo alikufa ye na wenzake wengine katika gunfight ambayo ilikuwa haiusian na ishu za PAC..alikufa mwaka mmoja mbele baada ya BIG...
Inamaana kama Police knew baby lane and the crips killed PAC, kwann walishindwa kum-convict Baby lane??..walikuwa wanamuogopa??..gang ya Crips ilikuwa moja ya gang ndogo sana kule crompton..why POLICE waiogope???..coz kama ni kweli baby lane ndo alihusika kumuua PAC basi kesi ya mauaji ya PAC ingekuwa imeisha kitambo saaana..coz baby lane was just a Broke nigga asiye na power yoyote so kama kumkamata ingekuwa ni rahis saaana..but police walimuhoji MARA MOJA tu as a Suspect na WAKAACHANA NAE...
Na unafikiri kina Mussolin na kina kastro (pamoja na west side gangs zilizokuwa zinamsupport PAC) wangemuacha tu baby lane azurure kitaa cha crompton muda wote huo????...baby lane kama nan watu wamuogope???..he was just a broke nigga!
KIFO cha PAC kina nadharia nying sana (BIG, SUGE, ILUMINAT, US GVT etc)..but hakuna hata moja ILIYOTHIBITISHWA hata kidogo!!
T.I baada ya kusikia mwanae DOE-B kapigwa risasi CLUB, akatoka mwenyewe kujaribu kwenda kuwatafuta walio-mpiga Risasi DOE-B...sembuse wahuni kina kadafi na kina napoleon wanae PAC wakamuache huyo baby lane???..
Hiyo ishu ya kina baby lane ni dhaifu sana!
Mimi nilidhani unajua. Sasa kama hujui nani alimuua basis za kukataa hiyo nadharia ni zipi?
KWENYE BLUU
Kwanza ku-convict mtu sio kazi ya Polisi, wao kazi yao ni kupeleleza tukio na wakipata ushahidi wa kumshitaki mtu hufungua kesi, baada ya hapo mahakama ndio ina uwezo wa kumtia mtu hatiani (convict) au la. Pili ili kum-convict mtuhumiwa ni lazima kuwe na ushahidi wa kutosha, waendesha mashtaka hawawezi kwenda mahakamani ni kumwambia Jaji "mtu huyu ameua apewe adhabu ya kifungo cha maisha", wanatakiwa kupeleka ushahidi utakaothibitisha kuwa mtuhumiwa ametenda kosa hilo.
Polisi walishindwa kumshtaki yeyote kwa kifo cha Pac kwa sababu watu wote waliokuwa na uwezo wa kuwasaidia Polisi walikataa kutoa ushirikiano. Hao ni pamoja na Suge Knight mwenyewe na crew ya Pac (The Outlaws) ambao walikuwa pamoja wakati tukio linatokea, kila aliyekuwa akihojiwa aligoma kutoa ushirikiano na kama unakumbuka Suge alisema hata kama ningemjua aliyemuua Pac nisingewaambia Polisi kwa sababu mimi sio snitch. Kwa hiyo unaweza kuona ilivyokuwa ngumu kwa Polisi kumfungulia mashataka Orlando Anderson au mwingine yeyote bila ya ushahidi.
KWENYE RED
Mkuu kafanye utafiti wako vizuri, Crips ni moja gang ndogo??? You must be kidding! Hiyo nakuachia wewe mwenyewe ufanye utafiti utagundua kuwa umekosea.