2020 sitampa kura Magufuli

Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
Wewe Nyumbu Wa njano tangu lini ulimpa kura Magufuli..

Acha kujipendekeza kaa huko huko kwenye dampo la ccm.
 
Kila nikipitia jumbe mbali mbali naona utofauti wa jumbe zinazomuunga mtoa mada na zinazompinga mtoa Mazda,nagundua wanaompinga hawana hoja za msingi na sana sana ni kukimbilia kutukana,hivyo hawana tofauti na Wabunge wa chama tawala lakini wanaomunga mtoa mada wanatoa hoja za msingi.
 
Kabisa ndugu
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo
.....
Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
Urais kwenye nchi ya wadanganyika hautegemei kura za visandukuni. Mfumo unaotumika ni usimikaji.
Kura yako haina thamani au athari yoyote mbele ya "Tume huru" ya Kivuitu.
 
Mimi kura yangu nitampa Magufuli kwani anatetea wanyonge watanzania,mafisadi wakubwa na wakati hawawezi mpenda,MUNGU MKUU mlinde mtumwa wako Raisi Magufuli
 
Mm ckumpa na ctakuja kumpa kwasababu ya maamuzi ya haraka yasiyo angalia nin kitatokea na hapa bado kuna wanaojikombakomba hili la sukari nilishawahi kusema humu kuwa sukari kwenda 1800 kirahc ni ndoto za alinaja na badala yake itapanda vp iko wap saiv na sasa bado kidogo nafaka na samani
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
mm pia sitompa kura yangu unless amerekebisha hii sheria ya fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii
 
Mm ckumpa na ctakuja kumpa kwasababu ya maamuzi ya haraka yasiyo angalia nin kitatokea na hapa bado kuna wanaojikombakomba hili la sukari nilishawahi kusema humu kuwa sukari kwenda 1800 kirahc ni ndoto za alinaja na badala yake itapanda vp iko wap saiv na sasa bado kidogo nafaka na samani
haiwezi panda viwanda vya ndani vyote vimeanza kuzalisha
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
Haufanani na team MAGUFULI! wewe umeshaanza kuishi maisha ya kishetani na kuzisoma namba...pole sana! # Usitumie sukari ni hatari kwa afya na maisha yako#
 
Well 2020 ni mbali na sidhani kama utakuwa umtendea haki halmashauri ya kichwa yako haki kama utafanya maamuzi leo.

Muda bado upo na tumuache afanye kazi, hawezi fuata style yako uitakayo...mwisho wa siku delivery yake ndio itamuhukumu.
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa

M
 
nasikia dodoma kwa sasa mji shwaari, zile shamra shamra kama zamani bunge likianza mji unachafuka hakuna tena, du
 
Back
Top Bottom