2020 sitampa kura Magufuli

Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
Kuna jamaa kama nane hivi walimpigia lowasa wanasema wao 2020 ni JPM, hivyo sio mbaya ukienda upande wa pili!
 
Dah...katika kila watanzania 4 atapata kura 3.....na yule mmoja wa utafiti hawezi kumpa
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
Waume zako wanaelewa umuhimu wa kumpigia Mgombea wa CCM. Utaeleweshwa taratibu!!
 
Nakupa mwaka mmoja hata wananchi wa hali ya chini watakuwa wanamchukia!
Huwez kumpenda mtu kisa anatumbua majipu wakati sukari imepanda bei,mchele,bidhaa mbali mbali
Vifaa vya ujenzi na maisha yanazidi kuwa magumu
Nakuapia huyu jamaa hataishia kwenye sukari pekee! Atakurupuka na kwenye vitu vingine na hapo ndipo atakapozidi kufanya watu wamjue vzr!

Shika maneno yangu" ! Huyu jamaa asipokubali kupata washauri bora na afate ushauri wao basi Tanzania haina future yoyote
Hayo ni mawazo yako...nikwambie kitu leo ujitambue...watu tunadanganyana maisha siyo magumu wew endelea kupiga porojo afu after 4yrs utavuna ulichopanda...jitambue kwanza afu ondoa siasa kudrive maisha yako...ichukukie kabisa afu tengeneza malengo yako kwa unachokipata...maisha yataenda tu.
 
Back
Top Bottom