2020 sitampa kura Magufuli

Mkuu Lambardi hapo kwenye bold hao mafisadi mtumbua majipu anawaogopa kwa kuwa wana nguvu kubwa isije "nchi kuwaka moto" na ufisadi unaomuhusu yeye kapiga kimya funika kombe........

Msafi anaegopa kashfa zake kubwa 3 tu anaogopa zisisemwe! Zile Bil 265 ziliyeyuka CAG alimtumbua live hadi leo haijajulik zilifanyia nini: Njoo kweny ile boat MV Bagamoyo....ile iko wazi kabisa hata yeye haongelei tena! Ingine iko wazi nyumba za serikali...ile ndio kubwa lao! Anatumbua dagaa dagaa tu! Afyatuke atumbue escrow iptl lugumi.....tutasema kweli ana nia kupambana na mafisadi!
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
WENYE AKILI TUTAMCHAGUA JPM AENDELEE KUTUONGOZA NA KUNYOOSHA MAMBO AMBAYO YALIKUWA HOLELA! WEWE KAMA NI MMOJA WA WANUFAIKA WANAOONA WAMEMINYWA SASA, BORA ULALE ZAKO MBELE!!
 
Msafi anaegopa kashfa zake kubwa 3 tu anaogopa zisisemwe! Zile Bil 265 ziliyeyuka CAG alimtumbua live hadi leo haijajulik zilifanyia nini: Njoo kweny ile boat MV Bagamoyo....ile iko wazi kabisa hata yeye haongelei tena! Ingine iko wazi nyumba za serikali...ile ndio kubwa lao! Anatumbua dagaa dagaa tu! Afyatuke atumbue escrow iptl lugumi.....tutasema kweli ana nia kupambana na mafisadi!
 
Tatizo wagombea, pengine na hata wadau wengine kwenye uchaguzi hawaelewi taasis na washirika wanaojitegemea kama ifuatavyo;
1. Chama cha siasa kumteua mgombea ni kwa utashi wa katiba ya chama hicho
2. Mgombea kupewa form na tume ya uchaguzi hakuhusiani na utashi wa chama cha siasa, inajitegeme kwa sheria zake zinazotawala uchaguzi
3. Wanannchi kukushangilia sana wakati wa kampeni ni kwa utashi wao usiotegemea utashi wa chama kilichteua wala tume iliyo mpa fomu mgombe.
4. Wapiga kura wanapopiga kura hawafungwi na chama kilichoteua, tume iliyompa fomu wala makundi yaliyomshangilia wakati wa kampeni. Maana ni siri, inapigwa kwa utashi binafsi
5. Wale watakaohesabu kura, nao wana taratibu zao ambao zinawatala wao kisha kufikisha matokeo kunakohusika. Wakati huo, katiba za vyama hazina mchango, wala kelele za kampeni wala aliyepiga kura nae hayupo. Sehemu hiyo nayo inajitegemea japo inaongozwa na sheria zinazotawala uhesabuji wa kura
6. Anaetangaza nani mshini wa uraisi, si chama, si wale waliohudhria mikutanot ya kampeni, si walio piga kura, si waliohesabu, bali ni mamla nyingine kabisa.
KWA HIYO KUPEWA FOMU HAIJARISHI U MAARUFU KIASI GANI, UPO UWEZEKANO MKUBWA MAMLAKA YA KUTANGAZA MATOKEO, IKATANGAZA VILE INVYOONA INAFAA. KWA HIYO UKIJIPANGA KUTOMPIGIA KURA LEO, HAINA MAANA HATKUWA MSHINDI.
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa

Utakuwepo kwani? na amekwambia atagombea?
 
Mm sikumpa lkn 2020 ntampa na tayari kwenye kikundi changu cha watu 567 nimewashawishi 453 kwaajiri 2020 je ww moja hainipi taabu
 
Mpaka 2020 nakuapia utakuwa unamchukia maana maisha yatakuwa mabaya kuliko kawaida mark my word
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
Ni wewe tu ambaye hautampa ila mimi mke wangu na watt wa 5 na binti wangu wa kazi kura yetu kwa jembe Magu...hesabu sasa hapo umezidiwa kwa kura ngapi?
 
Ni kweli kwamba kila mwanadamu anamapungufu/madhaifu yake, ila sio sahihi kabisa kuyaona hayo tu na kuyajadili hayo tu bila kuyazungumzia mema/mazuri yake

Ikumbukwe pia hakuna shortcut ya kufika mafanikio. Vilevile mafanikio hayaji kirahisi rahisi tu. Ni lazima kuumia, ni lazima kuyahangaikia.! Unatakaje kuona mafanikio bila kupitia ugumu. Dhahabu yenyewe haing'ai bila kupitia motoni. Wengi tunataka mabadiliko ya papokwa papo kitu ambacho ni kigumu na pengine hakiwezekani. Hebu jiulize kam kuleta mafanikio yako pekee inakuchukua muda je kulifanikisha taifa na maendeleo kuonekana ni kitu chepesi?
Inashangaza sana kumuhukumu kiongozi aliyekaa madarakani kwa mwaka mmoja tu na bado anamiaka mingi zaidi ya kuonesha uwezo wake na malengo yake kwa wale anaowaongoza..!!
 
Mimi sikumpa na sitompa,Japo na LOWASA sikumpa sababu nilichanganyikiwa,ila Lowasa asipofikishwa mahakamani mpaka 2020 kwa ufisadi nitampa kura kwa moyo safi
Hafikishwi

Back
Top Bottom