2020 sitampa kura Magufuli

Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa

Haukumpa 2015.... na ukapata za uso.... 2020 Magufuli tayari ana mtaji mkubwa.... wape tena MAJIPU wenzako! UKIWA WAKIWA kifo CHA MENDE!
 
Msafi anaegopa kashfa zake kubwa 3 tu anaogopa zisisemwe! Zile Bil 265 ziliyeyuka CAG alimtumbua live hadi leo haijajulik zilifanyia nini: Njoo kweny ile boat MV Bagamoyo....ile iko wazi kabisa hata yeye haongelei tena! Ingine iko wazi nyumba za serikali...ile ndio kubwa lao! Anatumbua dagaa dagaa tu! Afyatuke atumbue escrow iptl lugumi.....tutasema kweli ana nia kupambana na mafisadi!
Kabla ya uchaguzi mlisema hana nia ya kupambana na ufisadi lakini haikubadilisha lolote. Maneno yenu yalikuwa ni kama kelele za vyura kwa sababu kwa sasa yuko Ikulu.

Hata kwa sasa mkiendelea kusema, haiwezi kusaidia lolote zaidi ya kupoteza muda wenu.

Hata kwenye uchaguzi Mkuu ujao mkiendele kusema haiwezi kubadilisha chochote.

Badala ya kujitafakari ili mfahamu mapungufu yenu, bado mnaendelea na kampeni wakati yeye anaendelea kutimiza ahadi zake.
 
Hiyo kura yako hatuitaki CCM acha pumba kuna monitoring na evaluation.evaluatolion ni mwisho wa program,monitoring ni day to day follow up ya program.ilani ya uchaguzi inafanyiwa evaluation baada ya miaka 5 hiyo yako duh?hata mwanamke ukimjazia muwa mimba ikatunga baada ya miezi 9 ndio unapata mtoto we maendeleo na mabadiliko ya nchi unayataka miezi 6?
 
Nakupa mwaka mmoja hata wananchi wa hali ya chini watakuwa wanamchukia!
Huwez kumpenda mtu kisa anatumbua majipu wakati sukari imepanda bei,mchele,bidhaa mbali mbali
Vifaa vya ujenzi na maisha yanazidi kuwa magumu
Nakuapia huyu jamaa hataishia kwenye sukari pekee! Atakurupuka na kwenye vitu vingine na hapo ndipo atakapozidi kufanya watu wamjue vzr!

Shika maneno yangu" ! Huyu jamaa asipokubali kupata washauri bora na afate ushauri wao basi Tanzania haina future yoyote
Kwenye hilo la ushauri sahau yeye anajua kila kitu.
 
Anajua mbona bei inazidi kupanda? Au we uko dunia ya wapi?
NIko TZ hii mahali nilipo jtatu wiki hii sukari ilikua shs 3000 na huuziwi mpk mwenye duka akufahamu, na hauzi zaidi ya kg 2 Kifupi kama Watanzania wengi wanavyodai kwenye hili la sukari Mheshimiwa alikurukupa na kwa kuwa si mtu wa kushaurika unategemea nini? kama ulivyosema yapo mengi magumu kwa wananchi yanakuja.
 
Uctudanganye ww hujampa kura yako na kwa taarifa uchaguz uliisha jipangen upya 2020
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
nani alikwambia umpe in the first place bora ungempa yule jamaa ambaye kampeni zake alikuwa anaenda na kipazasauti na spika hahahaha pole sana
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
omba uzima kwanza bwana mdogo
 
Back
Top Bottom