2015 ipigie kura CCM

296922_368426023226303_260523709_n.jpg
ziacheni mbavu zangu pliiiiiz
 
Kama msaada tu waliokumbwa na mafuriko ifakara na mabomu ya Gongo la Mboto na Jangwani vimemezwa na mamba wenye uchu.
 
Nitapokea rushwa toka ccm nitaichangia chadema.nitakula ccm nitalala chadema,,,2015
 
Mvamiziardhi.jpg

An elderly man of Madale village on the outskirts of Dar es Salaam ponders what to do next after his hut was bulldozed in an operation conducted by Kinondoni municipality under CCM government.

Tatizo wazee kama hao inakuwa huna la kuwambia kuhusu CCM, wanasema CCM ndio baba ndio mama na wale waliohamishiwa kule mabwepande na kujengewa mahema ndio kabisa ,wao na CCM ni kama Paka na Samaki .

Tuwapeni CDM tuangalie kwa muda wa miaka mitano .kama wakituzamisha tugomee uchaguzi na kuwepo serikali ya mseto kila mmoja yumo.

Ndugu zangu, mkumbuke kuwa hata CHADEMA kitakuwa na budget ya "ulinzi na usalama". Usipofuata sheria, lazima utaadhibiwa tu. Tusijiliwaze kuwa CHADEMA itaruhusu watu wagawiane hata viwanja vya Ikulu. Tufuate sheria katika kudai haki zetu. Ukweli ubaki kuwa ni kosa kujenga katika kiwanja usichokimiliki na bila kufuata taratibu.

Kama CHADEMA kitaruhusu watu kutenda bila kufuata utawala wa sheria, basi hakifai hata kuongoza kitongoji.
 
jiji la bongo linakua kwa kasi ni miongoni ma majiji 10 yanayokua kwa kasi duniani, bongo ni ya 9,
je unashauri nini kifanyike kuepuka matatizo ya urbanization?

hii bomoa bomoa ni sehemu ya city planning,nyie tayari mnakimbilia kutafuta kura.
 
Kuliko kuipa kura yangu sisiem, ni bora kukesha kanisani! Siipigii kura ng'o! Tufiakwa!!! Najitemea mate kifuani, ni laana kuipa sisiem kura yako!
 
Kichwa cha habari kinasema tuipigie kura CCM lakini ndani ya maelezo yake anasema tuipigie CDM dah! kweli watu tumedata sasa.

CDM ikitaka kushinda 2015 wa concentrate kwenye yale maeneo ambayo ni full CCM, wakiweza kufanya wananchi wakabadilisha mawazo then they r out.

Wakati Obama anafanya kampeni hakua anazunguka kwenye maeneo ambayo anajua yatachagua Democrats bali alikua anapiga kampeni za nguvu kwenye maeneo ambayo ni full Republicans na aliweza kubadilisha mawazo ya watu.

Ndo maana nasema wao kua Arusha or Moshi hakusaidii maana hiyo mikoa ni ya CHADEMA no doubt so waweke efforts zao kwenye maeneo ambayo ni full CCM na wajaribu kubadilisha mawazo na fikra za wananchi wa huko now that's their greatest challenge
.

Kwenye red ya kwanza: Nadhani yuko sawa anatumia kitu kinaitwa kejeli, then ukisoma content unaelewa exactly alichomaanisha. na kwenye red ya pili: I think that is what CDM is doing, na si rahisi kukamilisha kazi hiyo kwa siku moja, it needs time and tolerancy.
 
Angalia mambo ya Dar na Tanzania kwa ujumla kwa kubonyeza hapa chini
jiji la dar na zanzibar
Dar es Salaam and Zanzibar | Tanzania | City Gallery - Page 50 - SkyscraperCity
utalii tanzania
Tanzania Tourism - Page 16 - SkyscraperCity
Tanzania Tourism - Page 15 - SkyscraperCity
 
hili ni jiji la dar baada bomoa bomoa,vhini ya serikali ya mkapa na baadae kikwete


5123175066_3ce432b95e_b.jpg
 
Tusiwapeni CDM madaraka hata dakika tano . watatuzamisha ................[/QUOTE]
angalia jiji la dar linavyopendeza baada ya kubomoa bomoa nyumba za wenyeji na kujenga upya.
5123175066_3ce432b95e_b.jpg
 
Back
Top Bottom