2015 ipigie kura CCM

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Mvamiziardhi.jpg

An elderly man of Madale village on the outskirts of Dar es Salaam ponders what to do next after his hut was bulldozed in an operation conducted by Kinondoni municipality under CCM government.

Tatizo wazee kama hao inakuwa huna la kuwambia kuhusu CCM, wanasema CCM ndio baba ndio mama na wale waliohamishiwa kule mabwepande na kujengewa mahema ndio kabisa ,wao na CCM ni kama Paka na Samaki .

Tuwapeni CDM tuangalie kwa muda wa miaka mitano .kama wakituzamisha tugomee uchaguzi na kuwepo serikali ya mseto kila mmoja yumo.
 
lakini serikali ya nyinyiem hivi mnakuwa wapi HAWA WATU WANAPOJENGA HIZI NYUMBA..??

mnasubiri wajenge halafu mkavunje..! SERIKALI MAKINI INAMZUIA MTU ANAPOANZA TU KUCHIMBA MSINGI..! KWA KIPINDI HICHO TAYARI HUWA ANAKUWA NA MAHALI PA KULALA LAZIMA..!this is not fair! GROW UP!
 
Wakuu Mwiba na SILENT WHISPER cha kusdhangaza hapo ni ndani ya jiji la dar ambapo kuna watu chungu nzima wa mipango miji na maafisa ardhi kibao na wizara ya ardhi ipo hapo hapo
maafisa mipango miji wanajua ramani ya jiji zima ni wapi watu wanapaswa kujenga au hawaruhusiwi kujenga
Wanapowaona watu wanajenga kwa nini wasichukue hatua kuwazuia mapema wanawaachia kukaa miaka na mika wakiwa na uhakika wa makazi then linakuja bulldozer linavunja nyumba zao
Thamani ya nyumba myu aliyejenga mwaka 1990 sio sawa na kuja kumwambia mtu anabomolewa nyumba yake now then akaanze ujenzi upya na anahamishwa hapo anapelekwa wapi
Wakati anajenga hao watui walikuwa wapi wasimzuie wamwambie wazi hili eneo huruhusiwi kujenga
 
Last edited by a moderator:
Problem ya Hii Nchi Kila kitu Kipo defined ila Nani wa kumfunga paka kengele? Serekali imeajiri surveyors na Town Planners na wote wapo dar!! Ila nani wa Kuwapangia Majukumu? Hayuppo!! Sasa wanaenda Mitaani Kupima Viwanja Vya watu!!
 
Si ajabu hapo kalipo kana T-shirt kamevaa kwa ndani imeandikwa "CHAGUA CCM,MAISHA BORA SIJUI YAMEKUWAJE"
 
Ole wenu!

Chagueni hiyo CCM yenu ili mpate maisha bora zaidi kama haya kwa kila Mtanzania kwa kasi zaidi,ari zaidi na nguvu zaidi!
 
mkuu miaka mi5 kuleta maendeleo ni michache sana, muda huo ni wakubadirisha huu mfumo mbovu wa utawala. Kama kweli chama kingine kitatawala Tz basi itachukua miaka 10 au zaidi kuleta maendeleo.
 
Kichwa cha habari kinasema tuipigie kura CCM lakini ndani ya maelezo yake anasema tuipigie CDM dah! kweli watu tumedata sasa.

CDM ikitaka kushinda 2015 wa concentrate kwenye yale maeneo ambayo ni full CCM, wakiweza kufanya wananchi wakabadilisha mawazo then they r out.

Wakati Obama anafanya kampeni hakua anazunguka kwenye maeneo ambayo anajua yatachagua Democrats bali alikua anapiga kampeni za nguvu kwenye maeneo ambayo ni full Republicans na aliweza kubadilisha mawazo ya watu.

Ndo maana nasema wao kua Arusha or Moshi hakusaidii maana hiyo mikoa ni ya CHADEMA no doubt so waweke efforts zao kwenye maeneo ambayo ni full CCM na wajaribu kubadilisha mawazo na fikra za wananchi wa huko now that's their greatest challenge
.
 
hivi sisiem ni chama cha wananchi au genge la majambazi? Ni bora kumpigia kura mbakaji na mlevi kuliko sisiem. Mungu atuepushe na hili jinamizi sisiem.
 
Kichwa cha habari kinasema tuipigie kura CCM lakini ndani ya maelezo yake anasema tuipigie CDM dah! kweli watu tumedata sasa.

CDM ikitaka kushinda 2015 wa concentrate kwenye yale maeneo ambayo ni full CCM, wakiweza kufanya wananchi wakabadilisha mawazo then they r out.

Wakati Obama anafanya kampeni hakua anazunguka kwenye maeneo ambayo anajua yatachagua Democrats bali alikua anapiga kampeni za nguvu kwenye maeneo ambayo ni full Republicans na aliweza kubadilisha mawazo ya watu.

Ndo maana nasema wao kua Arusha or Moshi hakusaidii maana hiyo mikoa ni ya CHADEMA no doubt so waweke efforts zao kwenye maeneo ambayo ni full CCM na wajaribu kubadilisha mawazo na fikra za wananchi wa huko now that's their greatest challenge
.

Nadhani hiki ndicho M4C kinafanya.
 
Back
Top Bottom