magodoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jashmoe32

    Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Habari, Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi. Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali. Ahsante
  2. GENTAMYCINE

    Tuingize tu bure Jumatano baada ya Kushiba Uzuzu wetu kwa Kutupiga, ila Wajukuu wa Kwame Nkurumah wakituadhibu utatumbua na Magodoro yako

    Yaani Mashati yetu yenye Vifungo unayauza kwa Tsh 40,000/ halafu Wewe unachukua Tsh 38,500/ na Sisi Mazuzu wa Mafurikoni na Vyura wetu unatupa Tsh 1,500/ tu. Nadhani bado hujatujua Sisi Mazuzu.
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je unahitaji vitanda vya hostel? Nauza vitanda na magodoro yake, viko kwenye hali nzuri sana

    Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari. Size ni 3x6 Mbao ni Pine na Cyprus Bei 100,000 na godoro lake. Location: Dar es Salaam Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mary Masanja Agawa Magodoro na Mashuka Shule ya Msingi Mitindo

    MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
  5. GENTAMYCINE

    Kama Magodoro yana Chawa, Kunguni na Mba hayanunuliki tena, kwanini Wasikimbiwe na Wanaojua Mpira?

    Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea. Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
  6. Mtu Asiyejulikana

    Faida na Hasara za Magodoro ya Spring. Na pia Magodoro bora

    Naomba wenye uzoefu wanisaidie katika hili. Nini faida za magodoro ya spring. Maana demu wangu naona anasisitiza nimnunulie Godoro la Spring la 5x6. Kwenye inch hapo anasema yoyote ile iwe 6,8,10. Naomba wenye uzoefu wa haya magodoro please.
  7. Stephano Mgendanyi

    Nancy nyalusi (mb) atoa msaada magodoro 50 kwa shule ya walemavu

    MHE. NANCY NYALUSI (MB) ATOA MSAADA MAGODORO 50 KWA SHULE YA WALEMAVU Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi tarehe 24/2/2023 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo Pamoja na mambo mengine ametembelea Shule ya Msingi Mchanganyiko Makalala iliyopo...
  8. Magodoro delivering ulipo

    Tunauza magodoro safi kabisa, tupo Kariakoo

    Hakuna sababu ya kuhangaika kufika mpaka magodoro yanapouzwa tupigie tu tunakuletea godoro lako chap chap sana na utalipa baada ya kupokea godoro lako. Tupo kariakoo dar es salaam 0712082915 Whatsapp 0684943062 KARIBU SANA
  9. Magodoro delivering ulipo

    INAUZWA Karibu ujipatie godoro lako

    Ni muuza magodoro hapa. Nimefurahi kukutana nanyi jukwaani.. Nashukuru sana. Karibu ujipatie godoro lako. Tupo kariakoo dar es salaam 0712082915 Whatsapp 0684943062 KARIBUNI SANA
  10. The Spirit of Tanzania

    Magodoro Dodoma rejects

    amani iwe kwenu. wakuu nauliza,hapa dodoma nitapata wapi magodoro rejects ya pale kiwandani QFL niweze kutengeneza kisofa changu gheto?. natanguliza shukrani.
  11. Frankdaniel711

    Tunauza magodoro vitasupreme

    Habari rafiki, karibu ujipatie godoro nzuri ya uhakika kiukweli hauta jutia kabisa.Nakushauri kitu kimoja kwenye sekta ya magodoro kuna aina nyingi sana za godoro na kwa watu wengi tunakalili majina tu. Utajuwaje godoro ni la uhakika Uliza density na iyo density iyanzie 25 hapo itakuwa angalau...
  12. Kiungonguli

    Msaada kwa watoto wanaokula magodoro

    Arusha. “Ninaomba kama kuna mtu anajua dawa ya hawa watoto kuacha kula magodoro anisaidie, maana hadi mimi mwenyewe naogopa, natamani hata kukimbia hii nyumba,” Hiyo ni kauli ya Joyce Mrema (45), mama wa watoto pacha wa kike, mkazi wa Mtaa wa Kanisani uliopo Kata ya Sokoni One jijini Arusha...
  13. M

    Kama hii ni Mvua ya Babu tumuombeni aipunguze, ila kama ni ya Mungu basi Magodoro ya Kunyonya Maji kwa Mkapa Kesho yatayarishwe

    Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu. Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
  14. figganigga

    Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Kiwanda cha magodoro cha GSM chawaka moto pale Mwenge/Mikocheni Viwandani Walaya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Moto umeanza asubuhi hii muda wa saa 12:30 ya leo Jumapili Machi 13, 2022. Chanzo cha Moto bado hakijafahamika.
  15. Kindeena

    Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea. --- Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa. Soma >...
  16. GENTAMYCINE

    70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

    Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala...
  17. Analogia Malenga

    Mbunge ataka wafungwa waende gerezani na magodoro

    Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald, amesema kuwa ili kuipunguzia serikali mzigo wa kununua magodoro kwa ajili ya wafungwa na mahabusu gerezani, basi ione haja ya wafungwa hao kuwa wanaenda na magodoro yao. Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald Mbunge huyo ametoa...
Back
Top Bottom