jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,087
- 423
Habari,
Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.
Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.
Ahsante