kustaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shujaa Mwendazake

    Ni wakati sasa kwa IGP kustaafu kulinda heshima yake, Pumzi imekata

    Kwa matukio kadha wa kadha ya kesi za kubumba ambazo Mahakama imezituma, ambazo mama Samia amezikemea; Kwa ambacho kinaendelea sasa juu ya ushahidi wa makomandoo wa jeshi letu katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kwa mabacho kilitolewa na jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa MO...
  2. ESCORT 1

    Nasikia Mkuu wa Majeshi huku Venezuela ameshapita umri wa kustaafu lakini bado yupo ofisini

    Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!! Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye...
  3. Mung Chris

    Wastaafu wa PSSSF mnaotarajia kustaafu mjipange msitegemee kulipwa haraka mafao na pensheni

    Niwasaidie tu wanao tegemea kustaafu kuanzia mwezi huu wa 9 na kuendelea, natumai ma tamko ya Mawaziri na Marais wawili aliyepita na aliyeko madarakani mlisikia kabisa wakisema na kusisitiza watu walipwe mapema akiwemo Waziri ambaye ni mbunge wa Jimbo la Peramiho. Hakuna utekelezwaji hadi leo...
  4. Sky Eclat

    Waziri wa Fedha Uingereza ametangaza kushusha umri wa kustaafu kufikia miaka 63 kutoka 72

    Badiliko hili limelenga kuwasaidia babu na bibi kupata nafasi ya kulea wajukuu na kuwezesha idadi ya watu kuongezeka. Wengi wanaofanya kazi wanapata changamoto za gharama kubwa ya malezi ya watoto, jambo kinalopelekea wengi kuamua kutozaa. Kwa badiliko hili jipya, ukifikisha miaka 63 unaweza...
  5. Mung Chris

    Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

    Si kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba? Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza...
  6. M

    Mwaka tangu kustaafu, PSSPF wekeni ukweli na uwazi mbele

    Naandika kwa masikitiko makubwa baada ya kupita mwaka tangu kustaafu. Mawasiliano kati yangu na PSSPF sio mazuri na hayaonyeshi ukweli na dhamira njema. Ninawaomba PSSPF mtu akishakamilisha kuwasilisha nyaraka zake na mkazihakiki basi angalau mpeni muda ambao ataweza kupata mafao yake. Kuwaweka...
  7. mugah di matheo

    Je, Messi anaweza kustaafu sasa hivi?

    Habari za asubuhi hii wanabodi. Nimejaribu kufikiri kwa sauti kuwa Messi huwa anafanya Mambo kimya kimya. Kwa kuzingatia hilo na yeye kugoma kusaini mkataba mpya na Barcelona inadhihirisha huenda akawa na agenda ya Siri, siku akifanikiwa kuchukua Copa di America basi atatangaza kustaafu alafu...
  8. Yoda

    Wastaafu walipwe pensheni yote kwa mkupuo ndani ya mwaka mmoja baada ya kustaafu

    Kwanini wastaafu huwa wanendelea kulipwa kila mwezi pesa kidogo kidogo baada kupewa kwa mkupuo kiasi kikubwa pindi wanapostaafu badala ya kupewa pesa zao zote ndani ya muda mfupi wa kustaafu kwao? Hizi pesa za pensheni wanazopewa kila mwezi ni za kuganga njaa tu na huwa hawewezi kudunduliza...
  9. Ngamanya Kitangalala

    Wakuu wa mikoa wamestaafu Utumishi wa Umma kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi wao

    Nimejaribu kuangalia sheria na kanuni kadhaa kuhusu hili swala la KUSTAAFU kwa wakuu wa mikoa. Nimesoma sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 (The Public Service Act,2002) pamoja na mabadiliko yake. Pia nimesoma kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2003 (The Public Service Regulations...
Back
Top Bottom