kumnunulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

    Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais. Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri. Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa. Shamba...
  2. TUKANA UONE

    Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

    Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!. Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE" Mambo hayo ni :- 1.KUMSOMESHA 2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI") Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
  3. Melubo Letema

    Faith Kipyegon Kumnunulia Baba Yake Gari

    Mwanariadha wa Kenya , Faith Kipyegon ameahidi kumnunulia baba yake mzazi Gari ya ndoto yake; baada ya kuzawadiwa zaidi ya milioni 85 ya Kitanzania na Rais Ruto Ikulu Jijini Nairobi. Faith, amezawadiwa pesa hizo baada ya kuvunja rekodi mbili za dunia katika mbio za mita 1500 na mita 5000 huko...
  4. Sky Eclat

    Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

    Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake...
  5. Balqior

    Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

    Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh. Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
  6. muafi

    Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

    Habari zenu Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu Shughuli ilianzia Alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofisini na kuniagiza vitumbua vya mia tisa Kwakweli kulingana na nilivyokuwa mimi mtu mzima nimevaa...
Back
Top Bottom