Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,598
215,328
Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake katika nyumba walioishi pamoja.

1654333940571.png

Ngoja niwatafue ma ex wangu nione wataninunulia nini.
 
View attachment 2250201
Ngoja niwatafue ma ex wangu nione wataninunulia nini.
Aisee....kumbe watu wanaoa huku mioyo yao bado ipo kwa ma ex wao....kweli wacha tule mbususu tuu hizi ndoa ni kujidanganya
 
Unaongelea wazungu au hawa wabongo wakuachana wanaanza

Usinipigie simu tena
Nakutakia maisha marefu yenye mafanikio
Siku moja utanikumbuka au?

Kwenye wabongo 10 anaweza toka mmoja tu kwa sababu wengi ni mpauko mkuu
 
Huenda yeye ndiye alikuwa chanzo na sababu za kuachana kwao sasa dhamiri yake inamsuta ndio anajaribu kujirudi .
 
Huenda huyo alonae sasa amemkuta uhalisia wake ni tofauti na matarajio yake kabla,

Sasa anaona kumbe ni afadhali ex wake!
 
Usikute bado wanakulana kisirisiri...EX ni kama mkongojo wa muwa ukichoka kuutembelea unatafuta kivuli unakaa chini unaula. Mwanamke ambae ushammega na ukamfikisha vizuri hata mkiachana miaka 10 ukimuita tu ukumbushie enzi anakuja fasta
 
Aisee....kumbe watu wanaoa huku mioyo yao bado ipo kwa ma ex wao....kweli wacha tule mbususu tuu hizi ndoa ni kujidanganya
Hapo kwenye ndoa yake na angelina jolie kusuasua, mchizi akaamua autafute mkongojo wake wa muwa kujiondolea stress
 
Hapo kwenye ndoa yake na angelina jolie kusuasua, mchizi akaamua autafute mkongojo wake wa muwa kujiondolea stress
Mimi ndio maana nasema sioi ng'oooo. Hasa hawa wanawake breki pumbuzz ni majanga tuu. Wee tuishi tuoeanage utamu basi. Kila mtu kwa munyumba yake
 
Huku kwetu africa mkiachana,kwanza mtatukanana matusi yote,mtalaaniana sana,na mwisho wa yote lazima mnyang'anyane vitu vyote mlivyowahi kununuliana kana zawadi enzi za mapenzi yenu.
 
Back
Top Bottom