kiwanja goba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30. Bei ni milioni 14 Nyaraka Serikali za mitaa. Huduma zote za kijamii zipo 0762282526
  2. sajo

    House4Sale Nyumba inauzwa ipo Goba kwa Mama Chacha. 1.2km kutoka Goba Centre

    Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache. Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na umeme vipo nje ya nyumba, Huhitaji nguzo, kunafikika vizuri kabisa. Neighbourhood ni nzuri, usafiri...
Back
Top Bottom