Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

Sibaru

Member
Aug 29, 2017
47
42
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30.

Bei ni milioni 14

Nyaraka Serikali za mitaa.
Huduma zote za kijamii zipo
0762282526
 
Kiwanja cha 15m * 30m = 450sq kiko sehemu potential kama Goba, document pekee ulizo nazo ni hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa?

Kingekuwa na hati ya wizara kingekuwa na ushawishi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom