kaa la moto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia suala la uhaba wa mafuta nchini

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani Maswali kwa Waziri Mkuu Maswali ya kawaida Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
  2. R

    Fikra huru kaa la moto kwa jamii?

    Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo watu hawa kwasababu tu wamekuwa tofauti na vilivyokuwa na mizizi na kuzoeleka. Baruch De Spinoza...
  3. JanguKamaJangu

    Wizara ya Utalii ni kaa la moto, kunani? Uchambuzi huu hapa…

    Mabadiliko madogo ya mawaziri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, jana Machi 31, 2022 yamemuweka Waziri Pindi Chana kwenye wizara yenye “moto”. Wizara hiyo yenye historia ya “kuwakaanga” mawaziri kwa kashfa na wengine kushindwa hata kumaliza mwaka mmoja si nyingine ni ya Maliasili na...
  4. Nyendo

    Kupanda bei za bidhaa ni kaa la moto kwa wenye vipato vya chini

    Hali ya maisha mtaani ni tia maji tia maji kwa misemo ya watu wa kipato cha chini, yaani hali ni tete kweli kweli. Kila ukienda kununnua bidhaa unakuta bei mpya ikiwa imepanda maradufu. Yaweza kuwa hata mara mbili ya bei ya awali uliyonunua kipindi cha mwisho. Jambo hili linafanya maisha kuwa...
  5. yuda75

    Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  6. Cannabis

    Jinsi viongozi wanavyotupiana katiba mpya kama kaa la moto

    Katiba mpya ni kama kaa la moto, haishikiki kila Rais aliyepita anamrushia mwenzake, nani atakubali kuleta katiba mpya ?
  7. S

    Bajeti 2021/22: Kodi ya uzalendo ni kaa la moto. Kila laini ya simu itakatwa Sh. 100 kila siku

    Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu. Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya Tshs 10/= mpk Tshs 100/= kwa kila siku. Bila kusahau VAT na makato mengine yaliyokuwepo yataendelea...
  8. K

    Ripoti ya BoT kaa la Moto. Je, Rais Samia atamng'ata jongoo kwa meno?

    Wanabodi, nawasalimu kwa jina la JMT. Ni hivi, mwaka 2015 katika vikao vya ndani ya CCM na hasa NEC vilipitisha majina 5 ya wagombea ambao ni Magufuli, Membe, January, Asha-Rose na Balozi Amina. Uhakika niliona ni kwamba JK alimtaka Membe aliyekuwa adui wa Lowassa ambaye jina lake lilikatwa...
Back
Top Bottom