hijja

  1. M

    Mchango wa Hijja kwenye Uchumi wa Saudia

    Tofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye pato la Taifa hili kubwa duniani?
  2. beth

    #COVID19 Mufti Zuberi: Ibada ya Hijja imefutwa kwa sababu ya Virusi vya Corona

    Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona. Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza ibada hiyo kutokana na gonjwa huo ulioanza kutikisa mwishoni mwa mwaka 2019. Akizungumza na...
  3. M-mbabe

    #COVID19 Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

    Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe. Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu. Hili ni la kwako mzee wetu Mufti Zuberi.....kabiliana na swahiba wako asiyetaka chanjo ili Mungu aendelee...
Back
Top Bottom