bunge live

Mario Augusto Bunge (; Spanish: [ˈbuŋxe]; Florida Oeste, September 21, 1919 – Montreal, February 24, 2020) was an Argentine-Canadian philosopher and physicist. His philosophical writings combined scientific realism, systemism, materialism, emergentism, and other principles.
He was an advocate of "exact philosophy": 211  and a critic of existentialist, hermeneutical, phenomenological philosophy, and postmodernism.: 172  He was popularly known for his opinions against pseudoscience.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Bunge live sauti iko chini, je hamtaki tusikie kwa uzuri?

    Mimi niko ofisini ila napenda kufuatilia mambo ya bungeni kupitia chanel ya Youtube ya Bunge, kwa kweli sauti iko chini sana, yaani kwa sauti hiyo hiyo ukiweka mziki sauti inakuwa kubwa inasikia vyema ila ukiweka bunge hata sauti ikiwa 100 lazima mtu asichezesha hata miguu ili kusikia vyema. Je...
  2. Pascal Mayalla

    Mwana JF, Binti Mdada Mzuri Mrembo, Juliana Shonza, leo ametokelezea sana na amechangia vizuri!. Mshuhudie kupitia Bunge Live!

    Wanabodi Baadhi ya wabunge wa Bunge la JMT ni active members wa JF, mmoja wao ni Mhe. Juliana Shonza Baada ya kuchangia hotuba ya bajeti ya TAMISEMI, leo tena Mhe. Juliana Shonza anachangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali. Kiukweli mwana JF huyu binti mdada ambaye pia ni mzuri na mrembo...
  3. GENTAMYCINE

    Je, unadhani 'Bunge Live' imerejeshwa kwa moja ya sababu ipi labda Kubwa hapa?

    1. Kuwaambia Watanzania kuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa ni Dikteta na ana Roho Mbaya sana? 2. Kumtafutia Sifa na Umaarufu Rais wa sasa Samia kwa Gharama ya Maamuzi ya iliyokuwa Serikali ya Rais Hayati Rais Dkt. Magufuli ambayo Rais wa sasa Samia nae alikuwa ni sehemu yake.? 3...
  4. Guselya Ngwandu

    BUNGE LIVE, RAIS SAMIA ANAKWENDA KUMALIZA KABISA HOJA ZA WAPINZANI

    Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia vikao vya Bunge vitaanza kurushwa live kuanzia kesho Jumanne Aprili 5, 2022. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma leo Jumatatu Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi...
  5. Chachu Ombara

    Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

    Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa live. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi. Nenelwa amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia vikao vya Bunge vitaanza kurushwa...
  6. John Haramba

    Nape Nnauye kuhusu Bunge Live: Wabunge wakipigana haileti picha nzuri

    Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhusu bunge live, anafafanua: "Spika wa Bunge, Tulia Ackson alisema hili jambo linazungumzika na tutajadiliana na Serikali tuone namna ya kulifanya liende. “Studio ya bunge ndiyo inaamua warushe vipi matangazo najua kwa mfano...
  7. J

    Nape: Ni vema ‘Bunge LIVE’ likaanzia kwenye Vikao vya Kamati za Bunge ambako ndiko mambo mengi hufanyika

    Waziri wa Habari mh Nape amesema uamuzi wa bunge live ama la ni wa Bunge lenyewe na siyo la Serikali hivyo yeye yuko tayari kushirikiana na Bunge kama watahitaji kuwa live. Nape amesema tena itapendeza kama Bunge live litaanzia kwenye Kamati za Bunge ambako ndiko maamuzi karibia yote hufanyika...
  8. K

    Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

    Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake". Jambo ambalo pengine hao wasifiaji wanatakiwa kuelewa kama kweli "hawajatumwa" kuwa kilichosababisha...
  9. M

    Waziri Nape rudisha na Bunge live umalize kurekebisha makosa yako

    Ulibadilisha Sheria ya Habari na ukafungia Magazeti pamoja na kusitisha matangazo ya Bunge live sasa umeanza kujirekebisha basi malizia na kuturejeshea Bunge letu live. Pia soma Nape: Si uamuzi wa Serikali ya Magufuli Bunge kutoruka live (Jun 12, 2016 ) Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya...
  10. Return Of Undertaker

    Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

    "Sio mimi niliyezuia bunge Live, haukua uamuzi wangu. Bunge lenyewe liliunda kanuni za kuendesha matangazo yake. Lakini ukweli ni kuwa hatukutenda haki na watu wanalalamika sana. Kuhusu watu kutizama TV na kushindwa kufanya kazi hiyo hoja niliitoa mimi lakini ni kwa sababu za kisiasa tu. Ilikua...
Back
Top Bottom