baraza la mawaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Supreme Conqueror

    Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

    Wakuu habari za mchana? Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja...
  2. BARD AI

    Sera mpya ya Elimu yasubiri idhini ya Baraza la Mawaziri

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mabadiliko makubwa kwenye elimu yanakuja. Alisema Rais Samia alitaka Wizara ya Elimu kufanya mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ilitungwa wakati wa Serikali ya Awamu ya Nne. “Sera iliyopo haijatekelezwa...
  3. Lady Whistledown

    Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022

    Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19. Kauli hiyo imetolewa hii leo Novemba 14, 2022, jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa serikali kufuatia maelekezo...
  4. MwanaHabari Digital

    Msemaji Mkuu wa serikali atoa uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu Ajali ya ndege Bukoba

    "Serikali inawaomba wananchi wote kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi huu unafanyika na baada ya uchunguzi kukamilika watajulishwa. Aidha, Baraza linawashukuru na kuwapongeza wote waliohusika katika uokozi baada ya ajali hii kutokea" @MsigwaGerson
  5. The Supreme Conqueror

    Wananchi wanategemea kuona ukali wa Rais Samia katika kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri leo

    Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo: 1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
  6. Replica

    Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

    Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri. Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90. ===== President Samia Suluhu...
  7. figganigga

    Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

    Salaam Wakuu, Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi. Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena? Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na...
  8. Roving Journalist

    Rais William Ruto aapisha Baraza lake jipya la Mawaziri

    Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2 Mawaziri hao pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wanatarajia kuapishwa na...
  9. BARD AI

    Kenya: Bunge laidhinisha uteuzi wa Mawaziri, kuapishwa leo

    Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2 Mawaziri hao pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wanatarajia kuapishwa na...
  10. MIMI BABA YENU

    Mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri yana afya kubwa kwa Taifa

    Mabadiliko madogo yaliyofanywa na Rais SAMIA SULUHU HASSAN katika Baraza la Mawaziri yanapaswa kupongezwa kwa kuwa yanalenga kuleta matokeo chanya kwa Taifa hususan katika: Kuendelea kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Serikali ya Tanzania na mataifa mbalimbali duniani, Kuendelea...
  11. BARD AI

    FULL LIST: Rais Ruto amefanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, IGP na DCI wajiuzulu

    Leo Sept. 27, 2022 Rais William Ruto amefanya kikao cha kwanza na Baraza la Mawaziri wa Serikali iliyopita na kisha kufanya uteuzi wa Baraza lake jipya linalojumuisha Mawaziri 21 ambao watasimamia Wizara mbalimbali. Ruto amemteua aliyekuwa Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kuwa...
  12. BARD AI

    Kenya: Rais Ruto akosolewa kwa kuchelewa kutaja Baraza la Mawaziri

    Ukosoaji huyo umeanza kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter, huku Mbunge wa Kathiani, Robert Mbui akidai Rais anajivuta sana kutangaza Serikali yake wakati kuna mambo ya dharula yanaikumbuka nchi hiyo Mbunge huyo amesema “Rais anatakiwa kuchagua Baraza la Mawaziri ili tuanze kushughulikia...
  13. T

    Natabiri Mabadiliko Madogo Baraza la mawaziri. Wawili kama sio mmoja kutemwa

    Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe. Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri. Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu...
  14. S

    Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  15. Lord denning

    Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

    Amani iwe nanyi wana bodi. Hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki. Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kuhusu Baraza la Mawaziri ambalo ninatamani Rais wa Awamu ya 6 aanze nalo kama Baraza lake la kwanza la Mawaziri ambalo linatekeleza Bajeti yake ambayo imetengenezwa yeye akiwa Rais. Hii ni...
  16. Mr Dudumizi

    Tano bora ya baraza la mawaziri wanaofanya vizuri awamu ya sita

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan. Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye...
  17. JF Member

    Siku hizi Baraza la Mawaziri halikai?

    Wadau nina siku nyingi sana nazani takribani mwaka mzima bila kuona Baraza la Mawaziri likiwa limeketi. Wanakaa kwa siri? ama siku hizi halipo? Embu wakae wajadili walau hari ya chakula hapa nchini na maisha magumu kwa wananchi. Huku mtaani kama uchaguzi ukiitishwa leo CCM watatafutana...
  18. B

    Zanzibar: Rais Mwinyi apangua Baraza la Mawaziri, aingiza wanne wapya

    08 March 2022 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi leo amepangua Baraza la Mawaziri. Ateua mawaziri 4 wapya na wanane wamebadilishwa vituo vya kazi. Pia kwa katika baraza lake, mheshimiwa Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi ameteuwa kwa mara ya kwanza...
  19. B

    Tusimlaumu Rais Samia kwa mapungufu yaliyojitokeza kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Samia hivi karibuni alifanya mabadiliko kwenye safu ya mawaziri wake na katika mabadiliko hayo mengine yamelalamikiwa na mengine yamesifiwa. Katika yale ambayo inaelekea wananchi wengi hawakupendezwa nayo ni pamoja na Waziri Madelu Mwigulu Nchemba kuachwa kuendelea kuwa Waziri wa Fedha...
Back
Top Bottom