Mapendekezo: Baraza la Mawaziri

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Amani iwe nanyi wana bodi.

Hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kuhusu Baraza la Mawaziri ambalo ninatamani Rais wa Awamu ya 6 aanze nalo kama Baraza lake la kwanza la Mawaziri ambalo linatekeleza Bajeti yake ambayo imetengenezwa yeye akiwa Rais.

Hii ni kwa sababu Rais Samia kwa kipindi chote tangu awe Rais amekuwa alihudumu na Baraza ambalo kiuhalisia ni la mtangulizi wake ambalo alilifanyia mabadiliko madogo tu.

Kwenye Baraza hili uchambuzi wangu utajikita hasa kwenye Wizara huku nikiwataja watu ninaotamani washike wizara hizo na kwa sababu gani?

Kabla ya kuanza uchambuzi wangu naomba nianze kwa kumtaja mtu ambaye inasemwa ndo waziri bora zaidi kuwahi kuhudumu kwenye baraza la Mawaziri la Tanganyika na baadae Tanzania na kwa nini huyu mtu anatajwa kuwa Waziri bora zaidi

Mtu huyu ni Marehemu Amir Jamal ambaye alikuwa waziri wa fedha kuanzia mwaka 1965 na baadae alikuja kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara kuanzia mwaka 1972 mpaka 1975 na akarudi tena kuwa Waziri wa Fedha kuanzia 1975 mpaka 1977

Ikumbukwe huyu ndo Waziri aliyeongoza Wizara nyeti ambazo zilileta mapinduzi makubwa kwenye uchumi wa Tanzania katika kipindi chake. Viwanda vingi vilivyojengwa kipindi cha Mwl Nyerere vilijengwa huyu mtu akiwa Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Fedha. Kikubwa zaidi aliongoza sera hizi na zikafanikiwa kipindi Tanzania ikiwa nchi ya kijamaa. Unaweza kumuita The mastermind of Tanzania economy

Kwa nini Amir Jamal?
IMG-20220827-WA0003.jpg

Ikumbukwe Amir Jamal alikuwa na degree ya Masuala ya Fedha na Uchumi kutoka chuo cha Calcuta nchini India. Aliporudi Tanzania ambapo ndo alipozaliwa na kupata elimu ya awali alijihusisha na biashara ikiwemo kusimamia biashara za wazazi wake zilizokuwepo Mkoani Morogoro. Uzoefu huo katika kusimamia biashara za wazazi wake kwa mafanikio ndiko kulikomfanya kuwa Waziri bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania akiongoza Wizara za Fedha pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara

Hivyo uchambuzi wangu wa nani awe Waziri wa Sekta ipi utajikita katika eneo la elimu na uzoefu wa mtu husika kwenye eneo hilo

Mapendekezo yangu
1. Wizara ya Fedha, Charles Kimei na Daniel Sirro
kwa Charles Kimei kila mtu anamjua kama mchumi mahiri aliyetolewa Benki kuu ya Tanzania na kupelekwa kuanzisha Benki ya Wakulima CRDB. Tofauti na matumaini ya wengi mchumi huyu aliweza kuongoza CRDB na kuifanya kutoka kuwa benki ya kawaida kabisa na kuwa benki bora zaidi Tanzania na mpaka kufungua Matawi nje ya nchi. Kwa elimu yake ya PhD ya uchumi na uzoefu wake katika kuongoza Taasisi kwa mafanikio makubwa hana budi kuongoza Taasisi nyeti ya Fedha.

2. Wizara ya Viwanda na Biashara, Shabiby naTarimba Abass
Hawa ni wafanyabiashara wenye uzoefu mkubwa kwenye masuala ya Biashara. Wana biashara zinazofahamika na hata ulipaji wao kodi hautilii mashaka. Wana akili ya utafutaji na uzoefu kwenye utafutaji. Mapendekezo yangu wapewe Wizara ya Viwanda na Biashara

3. Wizara ya Kilimo: Wabaki Bashe na Mavunde. Hii ni kwa sababu wameonyesha wana mawazo chanya na uwezo. Bashe kwa uzoefu wake wa kusimamia biashara hasa kampuni za Rostam ameonyesha ameweza kusimamia kilimo kiwe cha Kibiashara.

4. Wizara ya Afya. Mama Gwajima na Ndugulile watafaa. Uzoefu wao kwenye masuala ya Afya ni muhimu sana. Sekta hii inahitaji sana mjuzi wa sekta. Ummy Mwalimu sio kwamba hafai kuwa Waziri ila Tamisemi itamfaa akisaidiana na Jerry Silaa ambaye nae ameonekana kuwa na uzoefu kutokana na kuwa Diwani na Meya kwa kipindi fulani

5. Wizara ya Katiba na Sheria. Hapa Ndumbaro anaweza kuendelea kutokana na uzoefu wake wa Sheria ila anahitaji Naibu Mwanasheria mwenye uzoefu pia wa masuala ya Sheria. Ridhiwani Kikwete na Abdullah Mwinyi au Joseph Thadayo mbunge wa Mwanga wanaweza kumsaidia kwa sababu kama Wanasheria waliofanya kazi kwenye Law firms kubwa zinazofahamika Tanzania wanaweza kuwa msaada mzuri kwa Waziri wao. Sekta ya Sheria ni sekta nyeti hivyo lazima iwe na waziri na naibu wanasheria

6. Wizara ya Maliasili na Utalii. Nape Mnauye na Toufik Salim Turky wanafaa kuongoza Wizara hii. Nape hana uzoefu kwenye sekta ya Utalii ila ameonesha ana passion na masuala ya utalii kupitia habari. Turkish ni mfanyabiashara ambaye kwa sasa anaongoza biashara za baba yake Zanzibar ikiwemo zile zinazohusiana na masuala ya watalii kama hoteli. Naamini kwa pamoja wataweza kuipeleka sekta hii juu

7. Wizara ya Madini. Sospeter Muhongo na Deo Mwanyika watafaa sana kwenye hii Wizara. Kwa uzoefu wa Muhongo kwenye Madini na uzoefu wa Deo mwanyika ambaye alifikia hadi cheo cha Makamu wa Rais wa Barrik kampuni kubwa inayomiliki migodi mikubwa zaidi Tanzania hakuna namna zaidi ya kuwatumia hawa watu kwenye sekta hii

8. Wizara ya Nishati. January Makamba ameonesha anaweza, nimevutiwa sana na ubunifu wake wa kusisitiza nishati mbadala hasa ya Gesi ambayo kwa hali inavyokwenda hasa mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu mkubwa wa misitu nasisitiza aendelee kuwepo kwenye wizara hii. Kwa Naibu aendelee Byabato

9. Ofisi ya Waziri Mkuu. Waendelee Simbachawene na mwenzake. Wametosha

10. Teknolojia na Habari. Pindi Chana na Zaytun Swai. Pindi Chana ni Mwanasheria ambaye ana uzoefu kwenye masuala ya Sheria. Uzoefu wake unahitajika sana kwenye kusimamia kanuni na taratibu kwenye sekta ya habari na mawasiliano. kwa zaytun swai huyu ni msomi mahiri kwenye suala la teknolojia aliyesoma shule za vipaji maalum na kuhitimu vizuri degree ya computer science. anafaa kuwa hapa.

11. Makamu wa Rais- Muungano, Mwigulu Nchemba. kwa uzoefu wake kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama ni dhahiri anazijua vizuri siasa za bara na visiwani. Ni vizuri akawa wizara hii akipewa Naibu yeyote kutoka upande wa Zanzibar

12. Ardhi. Kunambi na Mtemvu. kwa kunambi huyu akiwa Mkurugenzi wa Jiji Dodoma tuliona alivyosimamia vizuri Dodoma kupangwa. Mtemvu pia kupitia michango yake bungeni anaonekana kama mbunge mwenye uelewa mkubwa sana juu ya mipango miji. Ni vizuri wakapewa wizara ya Ardhi ili kwa mara ya kwanza Tanzania tushuhudie mipango miji mizuri na kuondokana na ujenzi holela.

13. Ujenzi na Uchukuzi. Waendelee waliopo. Wameonesha Wanaweza. Pia mambo ya nje ya Ulinzi hazihitaji mabadiliko

14. Maji. Waendelee waliopo kwa kuwa wameonesha wanaweza

15. Michezo. Mchengerwa na Gekul wamepamudu. Si vibaya wakaendelea. ila pakihitaji mabadiliko Hamis Mwinjuma akiwekwa kumsaidia mchengerwa hasa kwenye kuboresha Sanaa sio vibaya sana

16. Utumishi na Utawala Bora. Jessica kapamudu. sio vibaya akiendelea na Ndejembi ambaye pia anaonekana yuko composed na ana uelewa mzuri wa mambo.

17. Elimu wakiendelea waliopo sio mbaya wana uzoefu na exposure nzuri.

18. Mifugo na uvuvi hapa pasta kichwa. So far sioni mwenye exposure anayeweza kugeuza sekta ya uvuvi kuwa ya kisasa zaidi. Tunahitaji sana mtaalam au mzoefu kwenye masuala ya biashara na uwekezaji ili anyone na kuibadilisha hii sekta. Akitoka nje ya wabunge hawa itapendeza zaidi

Nyongeza.

19. Maendeleo ya Jamii. Neema Lugangira atafaa sana kuwa Waziri akisaidiana na Ngwasi Damas Kamani. Kwa Neema Lugangira ana elimu nzuri na exposure kubwa sana na uzoefu wa kufanya kwenye NGO. Pia Damas Kamani ni mbunge kijana mwanasheria ambaye anaonekana atafit eneo la maendeleo ya Jamii kwa sababu sekta ya maendeleo ya Jamii inahusiana kwa namna fulani na sekta ya sheria. Sekta hii inahitaji watu wenye exposure ili kuifanya iwe active zaidi

Naomba kuwasilisha!
 
Amani iwe nanyi wana bodi.

Hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kuhusu Baraza la Mawaziri ambalo ninatamani Rais wa Awamu ya 6 aanze nalo kama Baraza lake la kwanza la Mawaziri ambalo linatekeleza Bajeti yake ambayo imetengenezwa yeye akiwa Rais.

Hii ni kwa sababu Rais Samia kwa kipindi chote tangu awe Rais amekuwa alihudumu na Baraza ambalo kiuhalisia ni la mtangulizi wake ambalo alilifanyia mabadiliko madogo tu.

Kwenye Baraza hili uchambuzi wangu utajikita hasa kwenye Wizara huku nikiwataja watu ninaotamani washike wizara hizo na kwa sababu gani?

Kabla ya kuanza uchambuzi wangu naomba nianze kwa kumtaja mtu ambaye inasemwa ndo waziri bora zaidi kuwahi kuhudumu kwenye baraza la Mawaziri la Tanganyika na baadae Tanzania na kwa nini huyu mtu anatajwa kuwa Waziri bora zaidi

Mtu huyu ni Marehemu Amir Jamal ambaye alikuwa waziri wa fedha kuanzia mwaka 1965 na baadae alikuja kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara kuanzia mwaka 1972 mpaka 1975 na akarudi tena kuwa Waziri wa Fedha kuanzia 1975 mpaka 1977

Ikumbukwe huyu ndo Waziri aliyeongoza Wizara nyeti ambazo zilileta mapinduzi makubwa kwenye uchumi wa Tanzania katika kipindi chake. Viwanda vingi vilivyojengwa kipindi cha Mwl Nyerere vilijengwa huyu mtu akiwa Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Fedha. Kikubwa zaidi aliongoza sera hizi na zikafanikiwq kipindi Tanzania ikiwa nchi ya kijamaa. Unaweza kumuita The mastermind of Tanzania economy

Kwa nini Amir Jamal alikuwa Waziri Bora?

Ikumbukwe Amir Jamal alikuwa na degree ya Masuala ya Fedha na Uchumi kutoka chuo cha Calcuta nchini India. Aliporudi Tanzania ambapo ndo alipozaliwa na kupata elimu ya awali alijihusisha na biashara ikiwemo kusimamia biashara za wazazi wake zilizokuwepo Mkoani Morogoro. Uzoefu huo katika kusimamia biashara za wazazi wake kwa mafanikio ndiko kulikomfanya kuwa Waziri bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania akiongoza Wizara za Fedha pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara

Hivyo uchambuzi wangu wa nani awe Waziri wa Sekta ipi utajikita katika eneo la elimu na uzoefu wa mtu husika kwenye eneo hilo

Mapendekezo yangu
1. Wizara ya Fedha, Charles Kimei na Daniel Sirro
kwa Charles Kimei kila mtu anamjua kama mchumi mahiri aliyetolewa Benki kuu ya Tanzania na kupelekwa kuanzisha Benki ya Wakulima CRDB. Tofauti na matumaini ya wengi mchumi huyu aliweza kuongoza CRDB na kuifanya kutoka kuwa benki ya kawaida kabisa na kuwa benki bora zaidi Tanzania na mpaka kufungua Matawi nje ya nchi. Kwa elimu yake ya PhD ya uchumi na uzoefu wake katika kuongoza Taasisi kwa mafanikio makubwa hana budi kuongoza Taasisi nyeti ya Fedha.

Wizara ya Viwanda na Biashara, Shabiby naTarimba Abass
Hawa ni wafanyabiashara wenye uzoefu mkubwa kwenye masuala ya Biashara. Wana biashara zinazofahamika na hata ulipaji wao kodi hautilii mashaka. Wana akili ya utafutaji na uzoefu kwenye utafutaji. Mapendekezo yangu wapewe Wizara ya Viwanda na Biashara

Wizara ya Kilimo: Wabaki Bashe na Mavunde. Hii ni kwa sababu wameonyesha wana mawazo chanya na uwezo. Bashe kwa uzoefu wake wa kusimamia biashara hasa kampuni za Rostam ameonyesha ameweza kusimamia kilimo kiwe cha Kibiashara.

Wizara ya Afya. Mama Gwajima na Ndugulile watafaa. Uzoefu wao kwenye masuala ya Afya ni muhimu sana. Sekta hii inahitaji sana mjuzi wa sekta. Ummy Mwalimu sio kwamba hafai kuwa Waziri ila Tamisemi itamfaa akisaidiana na Jerry Silaa ambaye nae ameonekana kuwa na uzoefu kutokana na kuwa Diwani na Meya kwa kipindi fulani

Wizara ya Katiba na Sheria. Hapa Ndumbaro anaweza kuendelea kutokana na uzoefu wake wa Sheria ila anahitaji Naibu Mwanasheria mwenye uzoefu pia wa masuala ya Sheria. Ridhiwani Kikwete na Hussein Mwinyi au Joseph Thadayo mbunge wa Mwanga wanaweza kumsaidia kwa sababu kama Wanasheria waliofanya kazi kwenye Law firms kubwa zinazofahamika Tanzania wanaweza kuwa msaada mzuri kwa Waziri wao. Sekta ya Sheria ni sekta nyeti hivyo lazima iwe na waziri na naibu wanasheria

Wizara ya Maliasili na Utalii. Nape Mnauye na Toufik Salim Turky wanafaa kuongoza Wizara hii. Nape hana uzoefu kwenye sekta ya Utalii ila ameonesha ana passion na masuala ya utalii kupitia habari. Turkish ni mfanyabiashara ambaye kwa sasa anaongoza biashara za baba yake Zanzibar ikiwemo zile zinazohusiana na masuala ya watalii kama hoteli. Naamini kwa pamoja wataweza kuipeleka sekta hii juu

Wizara ya Madini. Sospeter Muhongo na Deo Mwanyika watafaa sana kwenye hii Wizara. Kwa uzoefu wa Muhongo kwenye Madini na uzoefu wa Deo mwanyika ambaye alifikia hadi cheo cha Makamu wa Rais wa Barrik kampuni kubwa inayomiliki migodi mikubwa zaidi Tanzania hakuna namna zaidi ya kuwatumia hawa watu kwenye sekta hii

Wizara ya Nishati. January Makamba ameonesha anaweza, nimevutiwa sana na ubunifu wake wa kusisitiza nishati mbadala hasa ya Gesi ambayo kwa hali inavyokwenda hasa mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu mkubwa wa misitu nasisitiza aendelee kuwepo kwenye wizara hii. Kwa Naibu aendelee Byabato

Ofisi ya Waziri Mkuu. Waendelee Simbachawene na mwenzake. Wametosha

Teknolojia na Habari. Pindi Chana na Zaytun Swai. Pindi Chana ni Mwanasheria ambaye ana uzoefu kwenye masuala ya Sheria. Uzoefu wake unahitajika sana kwenye kusimamia kanuni na taratibu kwenye sekta ya habari na mawasiliano. kwa zaytun swai huyu ni msomi mahiri kwenye suala la teknolojia aliyesoma shule za vipaji maalum na kuhitimu vizuri degree ya computer science. anafaa kuwa hapa.

Makamu wa Rais- Muungano, Mwigulu Nchemba. kwa uzoefu wake kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama ni dhahiri anazijua vizuri siasa za bara na visiwani. Ni vizuri akawa wizara hii akipewa Naibu yeyote kutoka upande wa Zanzibar

Ardhi. Kunambi na Mtemvu. kwa kunambi huyu akiwa Mkurugenzi wa Jiji Dodoma tuliona alivyosimamia vizuri Dodoma kupangwa. Mtemvu pia kupitia Michael yake bungeni anaonekana kama mbunge mwenye uelewa mkubwa sana juu ya mipango miji. Ni vizuri wakapewa wizara ya Ardhi ili kwa mara ya kwanza Tanzania tushuhudie mipango miji mizuri na kuondokana na ujenzi holela.

Ujenzi na Uchukuzi. Waendelee waliopo. Wameonesha Wanaweza. Pia mambo ya nje ya Ulinzi hazihitaji mabadiliko

Maji. Waendelee waliopo kwa kuwa wameonesha wanaweza

Naomba kuwasilisha!
Wewe u KIPOFU unayedhani unaona.

KIMEI na baadhi ulowataja ktk upofu wako wataingia soon kuinusuru kuzama Kwa JAHAZI.
 
Kwa mtazamo wangu, perfomance ya waziri kwa kiasi kikubwa inakuwa influenced na sera/ilani ya chama na zaidi maono/mtazamo wa mtawala aliyepo madarakani.

Mfano, huyo waziri Jamal uliyemsifia enzi za utawala wa Nyerere kwamba ndie aliyewezesha ujenzi wa viwanda akiwa waziri wake, kiuhalisia kulichangiwa na mtazamo wa Nyerere kutaka hili taifa liwe na viwanda vyake, pamoja na nia ya kuliwezesha hilo iliyokuwepo.

Hili halishabihiani na utawala wa Magufuli ambaye nae alitaka kuiona Tanzania ya viwanda, lakini sikumbuki aliweza kujenga vingapi mpaka mauti yalipomkuta, licha ya yeye pia kuwa na waziri wake wa viwanda.

Napingana nawe unapozungumzia suala binafsi la elimu ya waziri husika kama ndio inawezesha hilo, kwasababu tumeona mara nyingi hapa kwetu, wasomi wakishapewa madaraka huweka elimu zao mifukoni na kugeuka chawa wa watawala.

Hili Nyerere hakuliruhusu, alimuacha mtu mwenye elimu yake afanye kazi kwa weledi kwa maendeleo ya taifa, anastahili pongezi. Hivyo kwangu, kufaulu au kufeli kwa mipango ya nchi, kwa kiasi kikubwa kunachangiwa na maono ya mtawala, kama akiwa mjinga ataliangusha taifa.

Hao mawaziri wote uliowataja hapo juu, sioni ni yupi mwenye sifa hitajika za kulishibisha andiko lako, kwa sababu naamini, wote hufuata mawazo ya mtawala kwenye utendaji kazi wao, wanajipendekeza, hawana uthubutu wa kuanzisha wazo lao na kulifanyia kazi.
 
Kwa mtazamo wangu, perfomance ya waziri kwa kiasi kikubwa inakuwa influenced na sera/ilani ya chama na zaidi maono/mtazamo wa mtawala aliyepo madarakani.

Mfano, huyo waziri Jamal uliyemsifia enzi za utawala wa Nyerere kwamba ndie aliyewezesha ujenzi wa viwanda akiwa waziri wake, kiuhalisia kulichangiwa na mtazamo wa Nyerere kutaka hili taifa liwe na viwanda vyake, pamoja na nia ya kuliwezesha hilo iliyokuwepo.

Hili halishabihiani na utawala wa Magufuli ambaye nae alitaka kuiona Tanzania ya viwanda, lakini sikumbuki aliweza kujenga vingapi mpaka mauti yalipomkuta, licha ya yeye pia kuwa na waziri wake wa viwanda.

Napingana nawe unapozungumzia suala binafsi la elimu ya waziri husika kama ndio inawezesha hilo, kwasababu tumeona mara nyingi hapa kwetu wasomi wakishapewa madaraka huweka elimu zao mifukoni na kugeuka chawa wa watawala.

Hili Nyerere hakuliruhusu, alimuacha mtu mwenye elimu yake afanye kazi kwa weledi kwa maendeleo ya taifa, anastahili pongezi. Hivyo kwangu, kufaulu au kufeli kwa mipango ya nchi, kwa kiasi kikubwa kunachangiwa na maono ya mtawala, kama akiwa mjinga ataliangusha taifa.
Kwa nini uchumi wa Tanzania ulianza kuporomoka baada ya Jamal kutoka?
 
Amani iwe nanyi wana bodi.

Hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kuhusu Baraza la Mawaziri ambalo ninatamani Rais wa Awamu ya 6 aanze nalo kama Baraza lake la kwanza la Mawaziri ambalo linatekeleza Bajeti yake ambayo imetengenezwa yeye akiwa Rais.

Hii ni kwa sababu Rais Samia kwa kipindi chote tangu awe Rais amekuwa alihudumu na Baraza ambalo kiuhalisia ni la mtangulizi wake ambalo alilifanyia mabadiliko madogo tu.

Kwenye Baraza hili uchambuzi wangu utajikita hasa kwenye Wizara huku nikiwataja watu ninaotamani washike wizara hizo na kwa sababu gani?

Kabla ya kuanza uchambuzi wangu naomba nianze kwa kumtaja mtu ambaye inasemwa ndo waziri bora zaidi kuwahi kuhudumu kwenye baraza la Mawaziri la Tanganyika na baadae Tanzania na kwa nini huyu mtu anatajwa kuwa Waziri bora zaidi

Mtu huyu ni Marehemu Amir Jamal ambaye alikuwa waziri wa fedha kuanzia mwaka 1965 na baadae alikuja kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara kuanzia mwaka 1972 mpaka 1975 na akarudi tena kuwa Waziri wa Fedha kuanzia 1975 mpaka 1977

Ikumbukwe huyu ndo Waziri aliyeongoza Wizara nyeti ambazo zilileta mapinduzi makubwa kwenye uchumi wa Tanzania katika kipindi chake. Viwanda vingi vilivyojengwa kipindi cha Mwl Nyerere vilijengwa huyu mtu akiwa Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Fedha. Kikubwa zaidi aliongoza sera hizi na zikafanikiwq kipindi Tanzania ikiwa nchi ya kijamaa. Unaweza kumuita The mastermind of Tanzania economy

Kwa nini Amir Jamal?
View attachment 2336473

Ikumbukwe Amir Jamal alikuwa na degree ya Masuala ya Fedha na Uchumi kutoka chuo cha Calcuta nchini India. Aliporudi Tanzania ambapo ndo alipozaliwa na kupata elimu ya awali alijihusisha na biashara ikiwemo kusimamia biashara za wazazi wake zilizokuwepo Mkoani Morogoro. Uzoefu huo katika kusimamia biashara za wazazi wake kwa mafanikio ndiko kulikomfanya kuwa Waziri bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania akiongoza Wizara za Fedha pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara

Hivyo uchambuzi wangu wa nani awe Waziri wa Sekta ipi utajikita katika eneo la elimu na uzoefu wa mtu husika kwenye eneo hilo

Mapendekezo yangu
1. Wizara ya Fedha, Charles Kimei na Daniel Sirro
kwa Charles Kimei kila mtu anamjua kama mchumi mahiri aliyetolewa Benki kuu ya Tanzania na kupelekwa kuanzisha Benki ya Wakulima CRDB. Tofauti na matumaini ya wengi mchumi huyu aliweza kuongoza CRDB na kuifanya kutoka kuwa benki ya kawaida kabisa na kuwa benki bora zaidi Tanzania na mpaka kufungua Matawi nje ya nchi. Kwa elimu yake ya PhD ya uchumi na uzoefu wake katika kuongoza Taasisi kwa mafanikio makubwa hana budi kuongoza Taasisi nyeti ya Fedha.

2. Wizara ya Viwanda na Biashara, Shabiby naTarimba Abass
Hawa ni wafanyabiashara wenye uzoefu mkubwa kwenye masuala ya Biashara. Wana biashara zinazofahamika na hata ulipaji wao kodi hautilii mashaka. Wana akili ya utafutaji na uzoefu kwenye utafutaji. Mapendekezo yangu wapewe Wizara ya Viwanda na Biashara

3. Wizara ya Kilimo: Wabaki Bashe na Mavunde. Hii ni kwa sababu wameonyesha wana mawazo chanya na uwezo. Bashe kwa uzoefu wake wa kusimamia biashara hasa kampuni za Rostam ameonyesha ameweza kusimamia kilimo kiwe cha Kibiashara.

4. Wizara ya Afya. Mama Gwajima na Ndugulile watafaa. Uzoefu wao kwenye masuala ya Afya ni muhimu sana. Sekta hii inahitaji sana mjuzi wa sekta. Ummy Mwalimu sio kwamba hafai kuwa Waziri ila Tamisemi itamfaa akisaidiana na Jerry Silaa ambaye nae ameonekana kuwa na uzoefu kutokana na kuwa Diwani na Meya kwa kipindi fulani

5. Wizara ya Katiba na Sheria. Hapa Ndumbaro anaweza kuendelea kutokana na uzoefu wake wa Sheria ila anahitaji Naibu Mwanasheria mwenye uzoefu pia wa masuala ya Sheria. Ridhiwani Kikwete na Hussein Mwinyi au Joseph Thadayo mbunge wa Mwanga wanaweza kumsaidia kwa sababu kama Wanasheria waliofanya kazi kwenye Law firms kubwa zinazofahamika Tanzania wanaweza kuwa msaada mzuri kwa Waziri wao. Sekta ya Sheria ni sekta nyeti hivyo lazima iwe na waziri na naibu wanasheria

6. Wizara ya Maliasili na Utalii. Nape Mnauye na Toufik Salim Turky wanafaa kuongoza Wizara hii. Nape hana uzoefu kwenye sekta ya Utalii ila ameonesha ana passion na masuala ya utalii kupitia habari. Turkish ni mfanyabiashara ambaye kwa sasa anaongoza biashara za baba yake Zanzibar ikiwemo zile zinazohusiana na masuala ya watalii kama hoteli. Naamini kwa pamoja wataweza kuipeleka sekta hii juu

7. Wizara ya Madini. Sospeter Muhongo na Deo Mwanyika watafaa sana kwenye hii Wizara. Kwa uzoefu wa Muhongo kwenye Madini na uzoefu wa Deo mwanyika ambaye alifikia hadi cheo cha Makamu wa Rais wa Barrik kampuni kubwa inayomiliki migodi mikubwa zaidi Tanzania hakuna namna zaidi ya kuwatumia hawa watu kwenye sekta hii

8. Wizara ya Nishati. January Makamba ameonesha anaweza, nimevutiwa sana na ubunifu wake wa kusisitiza nishati mbadala hasa ya Gesi ambayo kwa hali inavyokwenda hasa mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu mkubwa wa misitu nasisitiza aendelee kuwepo kwenye wizara hii. Kwa Naibu aendelee Byabato

9. Ofisi ya Waziri Mkuu. Waendelee Simbachawene na mwenzake. Wametosha

10. Teknolojia na Habari. Pindi Chana na Zaytun Swai. Pindi Chana ni Mwanasheria ambaye ana uzoefu kwenye masuala ya Sheria. Uzoefu wake unahitajika sana kwenye kusimamia kanuni na taratibu kwenye sekta ya habari na mawasiliano. kwa zaytun swai huyu ni msomi mahiri kwenye suala la teknolojia aliyesoma shule za vipaji maalum na kuhitimu vizuri degree ya computer science. anafaa kuwa hapa.

11. Makamu wa Rais- Muungano, Mwigulu Nchemba. kwa uzoefu wake kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama ni dhahiri anazijua vizuri siasa za bara na visiwani. Ni vizuri akawa wizara hii akipewa Naibu yeyote kutoka upande wa Zanzibar

12. Ardhi. Kunambi na Mtemvu. kwa kunambi huyu akiwa Mkurugenzi wa Jiji Dodoma tuliona alivyosimamia vizuri Dodoma kupangwa. Mtemvu pia kupitia Michael yake bungeni anaonekana kama mbunge mwenye uelewa mkubwa sana juu ya mipango miji. Ni vizuri wakapewa wizara ya Ardhi ili kwa mara ya kwanza Tanzania tushuhudie mipango miji mizuri na kuondokana na ujenzi holela.

13. Ujenzi na Uchukuzi. Waendelee waliopo. Wameonesha Wanaweza. Pia mambo ya nje ya Ulinzi hazihitaji mabadiliko

14. Maji. Waendelee waliopo kwa kuwa wameonesha wanaweza

Naomba kuwasilisha!
Mwigulu hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji
 
Kwa nini uchumi wa Tanzania ulianza kuporomoka baada ya Jamal kutoka?

Vile viwanda alivyojenga Nyerere enzi za utawala wake leo vimebaki vingapi vinavyofanya kazi?

Kama vilikufa karibia vyote utapata jibu uchumi wa Tanzania ulianza kuporomoka lini.
 
Umenisoma ukanielewa?
Hoja yako ni kwamba inategemea na kiongozi Mkuu

Swali langu, uchumi wa Tanzania uliporoka Nyerere akiwa bado Rais na Gamal akiwa ameondoka kwenye Wizara za Fedha na Viwanda na Biashara! Sasa hapo tatizo ni nani?
 
Kama Kimei hafai basi CRDB ingekuwa benki mufilisi sasa
Elewa jambo, uhuru wa kiutendaji aliokuwa nao Kimei akiwa CRDB hauna uhusiano na utendaji wa Kimei atakapokuwa waziri, kwenye uwaziri Kimei wa CRDB atakuwa mwingine.

Usishangae mkianza kumlaumu kwamba hajui wakati tatizo sio lake, tatizo ni mazoea yaliyojengwa kwa watawala kuwa ndio wenye last say, hata kama akiwa na maono hafifu.
 
Apewe tuone. Hayo mengine ni ramli tu
 
Amani iwe nanyi wana bodi.

Hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki.
Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kuhusu Baraza la Mawaziri ambalo ninatamani Rais wa Awamu ya 6 aanze nalo kama Baraza lake la kwanza la Mawaziri ambalo linatekeleza Bajeti yake ambayo imetengenezwa yeye akiwa Rais.

Hii ni kwa sababu Rais Samia kwa kipindi chote tangu awe Rais amekuwa alihudumu na Baraza ambalo kiuhalisia ni la mtangulizi wake ambalo alilifanyia mabadiliko madogo tu.

Kwenye Baraza hili uchambuzi wangu utajikita hasa kwenye Wizara huku nikiwataja watu ninaotamani washike wizara hizo na kwa sababu gani?

Kabla ya kuanza uchambuzi wangu naomba nianze kwa kumtaja mtu ambaye inasemwa ndo waziri bora zaidi kuwahi kuhudumu kwenye baraza la Mawaziri la Tanganyika na baadae Tanzania na kwa nini huyu mtu anatajwa kuwa Waziri bora zaidi

Mtu huyu ni Marehemu Amir Jamal ambaye alikuwa waziri wa fedha kuanzia mwaka 1965 na baadae alikuja kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara kuanzia mwaka 1972 mpaka 1975 na akarudi tena kuwa Waziri wa Fedha kuanzia 1975 mpaka 1977

Ikumbukwe huyu ndo Waziri aliyeongoza Wizara nyeti ambazo zilileta mapinduzi makubwa kwenye uchumi wa Tanzania katika kipindi chake. Viwanda vingi vilivyojengwa kipindi cha Mwl Nyerere vilijengwa huyu mtu akiwa Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Fedha. Kikubwa zaidi aliongoza sera hizi na zikafanikiwq kipindi Tanzania ikiwa nchi ya kijamaa. Unaweza kumuita The mastermind of Tanzania economy

Kwa nini Amir Jamal?
View attachment 2336473

Ikumbukwe Amir Jamal alikuwa na degree ya Masuala ya Fedha na Uchumi kutoka chuo cha Calcuta nchini India. Aliporudi Tanzania ambapo ndo alipozaliwa na kupata elimu ya awali alijihusisha na biashara ikiwemo kusimamia biashara za wazazi wake zilizokuwepo Mkoani Morogoro. Uzoefu huo katika kusimamia biashara za wazazi wake kwa mafanikio ndiko kulikomfanya kuwa Waziri bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania akiongoza Wizara za Fedha pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara

Hivyo uchambuzi wangu wa nani awe Waziri wa Sekta ipi utajikita katika eneo la elimu na uzoefu wa mtu husika kwenye eneo hilo

Mapendekezo yangu
1. Wizara ya Fedha, Charles Kimei na Daniel Sirro
kwa Charles Kimei kila mtu anamjua kama mchumi mahiri aliyetolewa Benki kuu ya Tanzania na kupelekwa kuanzisha Benki ya Wakulima CRDB. Tofauti na matumaini ya wengi mchumi huyu aliweza kuongoza CRDB na kuifanya kutoka kuwa benki ya kawaida kabisa na kuwa benki bora zaidi Tanzania na mpaka kufungua Matawi nje ya nchi. Kwa elimu yake ya PhD ya uchumi na uzoefu wake katika kuongoza Taasisi kwa mafanikio makubwa hana budi kuongoza Taasisi nyeti ya Fedha.

2. Wizara ya Viwanda na Biashara, Shabiby naTarimba Abass
Hawa ni wafanyabiashara wenye uzoefu mkubwa kwenye masuala ya Biashara. Wana biashara zinazofahamika na hata ulipaji wao kodi hautilii mashaka. Wana akili ya utafutaji na uzoefu kwenye utafutaji. Mapendekezo yangu wapewe Wizara ya Viwanda na Biashara

3. Wizara ya Kilimo: Wabaki Bashe na Mavunde. Hii ni kwa sababu wameonyesha wana mawazo chanya na uwezo. Bashe kwa uzoefu wake wa kusimamia biashara hasa kampuni za Rostam ameonyesha ameweza kusimamia kilimo kiwe cha Kibiashara.

4. Wizara ya Afya. Mama Gwajima na Ndugulile watafaa. Uzoefu wao kwenye masuala ya Afya ni muhimu sana. Sekta hii inahitaji sana mjuzi wa sekta. Ummy Mwalimu sio kwamba hafai kuwa Waziri ila Tamisemi itamfaa akisaidiana na Jerry Silaa ambaye nae ameonekana kuwa na uzoefu kutokana na kuwa Diwani na Meya kwa kipindi fulani

5. Wizara ya Katiba na Sheria. Hapa Ndumbaro anaweza kuendelea kutokana na uzoefu wake wa Sheria ila anahitaji Naibu Mwanasheria mwenye uzoefu pia wa masuala ya Sheria. Ridhiwani Kikwete na Hussein Mwinyi au Joseph Thadayo mbunge wa Mwanga wanaweza kumsaidia kwa sababu kama Wanasheria waliofanya kazi kwenye Law firms kubwa zinazofahamika Tanzania wanaweza kuwa msaada mzuri kwa Waziri wao. Sekta ya Sheria ni sekta nyeti hivyo lazima iwe na waziri na naibu wanasheria

6. Wizara ya Maliasili na Utalii. Nape Mnauye na Toufik Salim Turky wanafaa kuongoza Wizara hii. Nape hana uzoefu kwenye sekta ya Utalii ila ameonesha ana passion na masuala ya utalii kupitia habari. Turkish ni mfanyabiashara ambaye kwa sasa anaongoza biashara za baba yake Zanzibar ikiwemo zile zinazohusiana na masuala ya watalii kama hoteli. Naamini kwa pamoja wataweza kuipeleka sekta hii juu

7. Wizara ya Madini. Sospeter Muhongo na Deo Mwanyika watafaa sana kwenye hii Wizara. Kwa uzoefu wa Muhongo kwenye Madini na uzoefu wa Deo mwanyika ambaye alifikia hadi cheo cha Makamu wa Rais wa Barrik kampuni kubwa inayomiliki migodi mikubwa zaidi Tanzania hakuna namna zaidi ya kuwatumia hawa watu kwenye sekta hii

8. Wizara ya Nishati. January Makamba ameonesha anaweza, nimevutiwa sana na ubunifu wake wa kusisitiza nishati mbadala hasa ya Gesi ambayo kwa hali inavyokwenda hasa mabadiliko ya tabia nchi na uharibifu mkubwa wa misitu nasisitiza aendelee kuwepo kwenye wizara hii. Kwa Naibu aendelee Byabato

9. Ofisi ya Waziri Mkuu. Waendelee Simbachawene na mwenzake. Wametosha

10. Teknolojia na Habari. Pindi Chana na Zaytun Swai. Pindi Chana ni Mwanasheria ambaye ana uzoefu kwenye masuala ya Sheria. Uzoefu wake unahitajika sana kwenye kusimamia kanuni na taratibu kwenye sekta ya habari na mawasiliano. kwa zaytun swai huyu ni msomi mahiri kwenye suala la teknolojia aliyesoma shule za vipaji maalum na kuhitimu vizuri degree ya computer science. anafaa kuwa hapa.

11. Makamu wa Rais- Muungano, Mwigulu Nchemba. kwa uzoefu wake kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama ni dhahiri anazijua vizuri siasa za bara na visiwani. Ni vizuri akawa wizara hii akipewa Naibu yeyote kutoka upande wa Zanzibar

12. Ardhi. Kunambi na Mtemvu. kwa kunambi huyu akiwa Mkurugenzi wa Jiji Dodoma tuliona alivyosimamia vizuri Dodoma kupangwa. Mtemvu pia kupitia Michael yake bungeni anaonekana kama mbunge mwenye uelewa mkubwa sana juu ya mipango miji. Ni vizuri wakapewa wizara ya Ardhi ili kwa mara ya kwanza Tanzania tushuhudie mipango miji mizuri na kuondokana na ujenzi holela.

13. Ujenzi na Uchukuzi. Waendelee waliopo. Wameonesha Wanaweza. Pia mambo ya nje ya Ulinzi hazihitaji mabadiliko

14. Maji. Waendelee waliopo kwa kuwa wameonesha wanaweza

Naomba kuwasilisha!

Kituko Ni pale unaposema eti aanze nayo yeye, Serikali sio mahali Pa majaribio. Hakuna awamu hata moja ilyoanza yenyewe.
 
Hoja yako ni kwamba inategemea na kiongozi Mkuu

Swali langu, uchumi wa Tanzania uliporoka Nyerere akiwa bado Rais na Gamal akiwa ameondoka kwenye Wizara za Fedha na Viwanda na Biashara! Sasa hapo tatizo ni nani?
Nimekupa mfano wa viwanda enzi za Nyerere na sasa, hicho kwangu ndio kigezo cha uchumi kuanza kuporomoka kutokana na ulichoandika kwenye andiko lako kwa kumsifia waziri Jamal wa viwanda enzi za Nyerere.
 
Apewe tuone. Hayo mengine ni ramli tu
Unasemaje ramli wakati tumeshaona mifano mingi tu, siku hizi elimu ya waziri haina uhusiano na wizara atakayopewa, na hata kama ikiwa na uhusiano huo, bado hatakuwa huru kuitumia elimu yake 100% kwenye utendaji wake mpaka ajue mtazamo wa bosi wake kwenye jambo husika.
 
Nakupa mfano
Kuna kongamano la Madini. Wamealikwa mawaziri kutoka maeneo mbalimbali wanazungumzia changamoto kwenye kupata teknolojia sahihi kwenye masuala ya miamba. Tunapeleka waziri asiye hata na idea yq miamba kwenye kongamano au majadiliano hayo tutapata kitu?

Au watu wanajadili changamoto za kisheria kwenye masuala ya uwekezaji unampeleka mtu asiyejua hata abc za company law au masuala ya kusafirisha watuhumia mtu hajui hata sheria za kusafirisha watuhumiwa zikoje hapo unategemea kupata nini?
 
Back
Top Bottom