bakora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Baadhi ya makosa ambayo enzi zetu ulikuwa ukifanya unagongwa bakora za kukutosha

    Watoto wa zamani ulikuwa ukifanya makosa yafuatayo ulikuwa unalamba bakora za kutosha 1. Usiposalimia wakubwa asubuhi, unapigwa. 2. Usiposalimia wageni, unapigwa. 3. Ukinawa kabla ya wageni, unapigwa. 4. Ukilia bila sababu, unapigwa. 5. Ukinyanyuka wakati wa kula kabla ya wakubwa kuinuka...
  2. DR HAYA LAND

    Viboko havina umuhimu wa kumfanya mwanao kuwa na adabu unapoteza tu Muda wako kumchapa

    Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko. Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa...
  3. Greatest Of All Time

    Mkasa wa Yanga kuchapana bakora na kuvunja timu baada ya kupigwa 4-1 na Simba, Mwaka 1994

    Tukiwa tunaeleka derby ya kariakoo hapo kesho, sio mbaya tukakumbusha baadhi ya vituko, mikasa na visa vilivyowahi kutokea huko nyuma. Leo tuikumbuke mechi iliyowafanya Yanga (Gongowazi) kuchapa bakora na kupelekea kufukuza karibia wachezaji wake. July 2, 1994 katika dimba la Uhuru, Dar Es...
  4. NI MTAZAMO TU

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa 4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa 5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
  5. Frumence M Kyauke

    Stan Bakora aweka kipini kitovuni

    Mchekeshaji Stan Bakora ameingia kwenye trend baada ya kuonekana kwenye video akiwa na Sonara akitoboa kitovu chake na kuweka kipini. Kitendo hicho kimezua mjadala kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na utamaduni huo umezoeleka kufanywa na jinsia ya kike.
  6. Gnyaisa

    SoC01 Vijana tukijitambua jamii itatuheshimu na kutuwezesha

    Katika kitabu kitakatifu cha Biblia kuna simulizi maarufu ya safari ya wana wa Israeli kutoka uhamishoni Misri kuelekea katika nchi waliyoahidiwa na Mwenyezi Mungu. Nchi iliyokuwa na kila aina ya neema na furaha, yenye kutirirsha maziwa na asali masaa yote! Simulizi ile inaelezea jinsi wana wale...
  7. Reginald L. Ishala

    Hii ilikuwa mwaka 2008, shule ya bweni ya wavulana "Bwiru boys sec" walitucharaza bakora

    Tulicharazwa bakora na wanafunzi wa sekondari ya bweni "Bwiru Boys". ILIKUWA HIVI... Kulikuwa na upinzani mkali wa kabumbu kwa timu za shule kati ya shule yetu ya sekondari yaani "KITANGIRI SEC" na shule ya bweni ya wavulana yaani "BWIRU BOYS SEC". Bwiru Boys wana viwanja viwili vya mpira...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini Makuzi ya Mtoto wa Kiafrika 100% ni Bakora na Adhabu, ila ya Mzungu ni 100% Maelekezo na Ushauri?

    Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi? Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa...
Back
Top Bottom