Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,858
8,717
Habari zetu wana JF,

Naomba mnisaidie kudadavua au kutolea maelezo kidogo au kwa upana kuhusu hiyo short notes ya mkuu lifecode nimejaribu kuchokoza mara kwa mara lakin holaa. Natanguliza shukuran. Trained bender

(Lifecode)
Language that the universe speaks is through symbols asigned into numbers.

Yale mapembe, sanamu, misalaba zinaitwa Obelisk na zinafanya au kuifanya subconcious awareness yako kusynchronize with the universal energy grid (high energy flow system) ambayo ndiyo kila kitu.

The gateways to high centers zilifichwa katika fibonacci sequence, Golden ratio, phi(pai), Newtonian Calculus pamoja na sacred geometry.

Kule shule ya msingi tunafundishwa maumbo lakini hawayatolei ufafanuzi, yakitolewa ufafanuzi mbona kila mtu atakuwa genius wa kutupa na umaskini hautakuwepo.

Kuna code tata sana kwenye hayo maumbo mkuu..ni noma..narudia tena ni noma acha kabsaa. Nikola Tesla walimua kwa sababu alitaka auambie ulimwengu kuwa there is a core where all knowledge and power rest and we have to synchronize with the universal patterns to unlock the reality and truth.

Hatare sana. Wenye dunia hii hawataki kuweka mambo sawa..wanatuendesha tu kama magari mabovu.

Unajua kwanini walileta system ya kuweka misalaba kwenye makaburi ya watu waliokufa(fariki)?

unahisi ni representation ya Yesu Kristo?

Sio kweli...

When human being dies, his soul is used to open the highway gate way to higher world where knowlege rests.

Unajua kwanini Vatcan ilikua na sera ya kuwakusanya watu wote waliokufa sehemu moja halafu misalaba iwe imesimikwa kwa kusimama? Do you know its indications?

Unajua kwanini?
 
Hamna lolote hayo ni mawazo tu ya watu kama ambavyo wanaweza tolea maana waitakayo alama yoyote. Binadamu anaruhusiwa kutafsiri apendavyo ndiyo maana hukuti makanisani wanahangaika na tafsiri hizo za watu (siyo zako maana nawe umesoma na kusimuliwa ukaona ngoja ukawakoge JF)

Hamna lolote la maana unalotaka kuaminisha watu. Haya yameongelewa miaka na miaka hamna jipya hapo. Nenda katafute jambo lingine la maana.😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Waterbender,
 
Mkuu Waterbender mada yako ina mashiko sana ila ''ulichokosea'' ni kugusa issue ya imani. Hapo kila anayekuja kuchangia ataongozwa na mahaba ya dini kuliko rational reasoning na mjadala utabadilika kabisa. Mimi niliacha hizi mada za kidini maana unaweza kuleta hoja ili kuchokoza mjadala watu wafunguke ila ukaonekana kama shetani fulani hivi.

NB: Edit hapo ufute conspiracy kuhusu msalaba ndio mada yako itajibiwa ki-neutral, otherwise subiri tu kejeli na hasira za wafia dini.

Ni hayo tu.
 
Hizo code mpaka yeye kuzisema ni noma inamaana anajua kinagaubaga, kashindwa nini kubainisha hapa watu wajue?
Au na yeye hajui?

Itakuwa hajui!!

Ila kimoja hilo la namba nami nilishawahi kulihisi!! Ni kama vile kuna kitu behind numbers!! Lkn kuhisi huku haimaanishi hicho kitu kipo,Bali kinahitaji uhakika. Kila mtu na vile anavyoelewa binafsi nahisi watu wanatawaliwa kupitia dini, fedha, siasa n.k
 
Mkuu Waterbender mada yako ina mashiko sana ila ''ulichokosea'' ni kugusa issue ya imani. Hapo kila anayekuja kuchangia ataongozwa na mahaba ya dini kuliko rational reasoning na mjadala utabadilika kabisa. Mimi niliacha hizi mada za kidini maana unaweza kuleta hoja ili kuchokoza mjadala watu wafunguke ila ukaonekana kama shetani fulani hivi.

NB: Edit hapo ufute conspiracy kuhusu msalaba ndio mada yako itajibiwa kineutral otherwise subiri tu kejeli na hasira za wafia dini.

Ni hayo tu
Mkuu, tupe elimu yako inaonekana una ujuvi na kitu core kuhusiana na hii mada ila unashindwa kusema kuogopa kupondea dini, tuelimishe tutakaoelewa tutameza na wabishi watabisha on their own risk.
 
Hamna lolote hayo ni mawazo tu ya watu kama ambavyo wanaweza tolea maana waitakayo alama yoyote .binadamu anaruhusiwa kutafsiri apendavyo.ndo maana hukuti makanisani wanahangaika na tafsiri hizo za watu (siyo zako maana nawe umesoma na kusimuliwa ukaona ngoja ukawakoge JF) HAMNA LOLOTE LA MAANA UNALOTAKA KUAMINISHA WATU.HAYA YAMEONGELEWA MIAKA NA MIAKA HAMNA JIPYA HAPO. NENDA KATAFUTE JAMBO LINGINE LA MAANA.😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Kuna sehemu nime nimeandika aminin hii then quantun huwez ikuta kwenye magazeti. Nashukuru kqa mchango mr chiz maarifa
 
Mkuu Waterbender mada yako ina mashiko sana ila ''ulichokosea'' ni kugusa issue ya imani. Hapo kila anayekuja kuchangia ataongozwa na mahaba ya dini kuliko rational reasoning na mjadala utabadilika kabisa. Mimi niliacha hizi mada za kidini maana unaweza kuleta hoja ili kuchokoza mjadala watu wafunguke ila ukaonekana kama shetani fulani hivi.

NB: Edit hapo ufute conspiracy kuhusu msalaba ndio mada yako itajibiwa kineutral otherwise subiri tu kejeli na hasira za wafia dini.

Ni hayo tu
Nadhan wafia din ndo wangekuwa mstari wa mbele kutoa mchangua kuhusu msalaba, tatizo din sikuzote haina majibU ya kuridhisha
 
Ni kw
Hizo code mpaka yeye kuzisema ni noma inamaana anajua kinagaubaga.. kashindwa Nini kubainisha hapa watu wajue..?
Au nayeye hajui..?
Itakuwa hajui!!
Ila kimoja hilo la namba nami nilishawahi kulihisi!! Ni kama vile kuna kitu behind numbers!! Lkn kuhisi huku haimaanishi hicho kitu kipo,Bali kinahitaji uhakika..
Kila mtu na vile anavyoelewa binafsi nahisi watu wanatawaliwa kupitia dini,fedha,siasa n.k
Mm kuileta hapa hii mada ili kama kuna mtu anajua kiundani ili tupate madin ngoja nisubir watakuja lakin wachache
 
Mkuu Waterbender mada yako ina mashiko sana ila ''ulichokosea'' ni kugusa issue ya imani. Hapo kila anayekuja kuchangia ataongozwa na mahaba ya dini kuliko rational reasoning na mjadala utabadilika kabisa. Mimi niliacha hizi mada za kidini maana unaweza kuleta hoja ili kuchokoza mjadala watu wafunguke ila ukaonekana kama shetani fulani hivi.

NB: Edit hapo ufute conspiracy kuhusu msalaba ndio mada yako itajibiwa kineutral otherwise subiri tu kejeli na hasira za wafia dini.

Ni hayo tu
Moja ya watu ambao uwa naona vichwa vyao vibeba madini hapa Jf moja wapo ni wewe, lakni unawogopa sana wafia dini.
wafia dini wanatukosesha sana madini kutoka kwako.
 
Nilidhani mada hii ulimlenga lifecoded ndiye aje aifafanue. Ingawa naona unatafuata wachangiaji wengine, Muda huu ungekuwa nawe unaandika unachokifahamu, ingechokoza wajuvi wengi kuja kudadavua ulipokosea au kuongezea ulipo bakiza.
Hata ninge fanya unavyo sema still ingekuwa iv, dhahiri inajulikama mada kama hiz ni wasomaji wengi lakin watoa madin wachache sana
 
Back
Top Bottom