antivirus

  1. Jimz Group

    Usalama wa Kompyuta Yako ni Muhimu Sana

    Je, umewahi kupata mshtuko baada ya virusi kushambulia kompyuta yako? 😨 Hali kama: 🖼️ Kupoteza picha zenye kumbukumbu zisizochukua nafasi. 📁 Kufuta kazi na nyaraka muhimu zisizorudishika. 💻 Kusababisha kompyuta yako kufanya kazi polepole au kutofanya kazi kabisa. Virusi ni adui wa kimya ambaye...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Tujadili ukweli wa Mixtape ya Antivirus ya Sugu na wenzake

    Kwa tuliokuwa tunafuatilia kwa karibu Hip Hop ya Bongo tunaikumbuka vizuri Mixtape ya Antivirus. Hii ni mixtape iliyokuwa engineered na Joseph Sugu na wenzake wakiwepo Mapacha, Rado na wengine. Wakati tukiwa Chuo Rado alikuwa mwenetu na mara kadhaa alitutembelea getto. Siku moja mwenetu akaja na...
  3. M

    Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  4. Termux Black

    Computer4Sale Karibu nauza laptop, Computer na nafanya maintenance

    Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama: -HP -DELL -LENOVO -APPLE -FUJITSU -ALIENWARE -SAMSUNG n.k Accessories aina zote zinapatikana kama: -RAM (1gb 2gb 4gb 8g) -Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb) -Adapter charge aina zote -Keyboard na Mouse wired na wireless -VGA...
  5. Scars

    Pamoja na utandawazi kuenea lakini bado kuna watu wananunua antivirus, windows, software za kwenye CD madukani

    Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili. Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile...
  6. Sangoma

    Naomba kujua mahali pa kupata kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara

    Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu? Nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima. Nashindwa kujua...
  7. MakinikiA

    Chloroquine ni antivirus ya virusi vya Corona

    Mojawapo ya dawa hizo ambayo tayari imejaribiwa katika binadamu ni dawa ya remdesivir - dawa ya virusi vya UKIMWI ambayo bado inafanyiwa utafiti ambayo imejaribiwa dhidi ya magonjwa kama vile Ebola na SARS/MERS. Dawa nyingine ni ile aina ya Chloroquine, dawa ya kukabiliana na malaria ambayo pia...
Back
Top Bottom