PICHA: Maandamano ya CHADEMA Mwanza

Jan 23, 2011
62
13
HPIM0916.jpg
HPIM1103.jpg

HPIM1104.jpg
HPIM1105.jpg

HPIM1098.jpg
HPIM1099.jpg

HPIM1100.jpg
HPIM1101.jpg

HPIM1106.jpg
HPIM1108.jpg

HPIM1109.jpg
HPIM1111.jpg

HPIM1113.jpg
HPIM1114.jpg

HPIM1116.jpg
HPIM1115.jpg

HPIM1279.jpg
HPIM1119.jpg

HPIM1118.jpg
HPIM1121.jpg
 
Inafurahisha sana, people's ..............................watanzania wakiwa hivi,mabadiliko yenye kuleta mageuzi ya kweli ya maendeleo yamefika-na ni sasa. PONGEZI POLISI KWA KULINDA USALAMA WA RAIA BADALA YA KUUA KAMA ARUSHA.
 
Kweli hongera kwa RPC wa Mwanza kwa Amani aliyoionyesha Mwanza sisi wa Arusha tunampongeza sana kwa hapa Arusha wakuu wote wa POLISI wanahofu hatujui ni kwa nini ndo maana kila wakati mabomu ya machozi kwa wingi wakati hakuna hata watu wanaleta uvunjifu wa Amani.
 
Ng'anza leo imefunika kila kitu... Wana mwanza wamesema wanaka kuingia mtaani kama Libya
 
Now I need to go back home
people are ready for changes
people are ready for democratic revolution
 
Nadhani kamanda Siro anajitegemea sana kimaamuzi. Anashirikiana na watu vzr pia ndio maana juhudi zake ktk kupambana na ujambazi zinafanikiwa. Big up Siro
 
Hakika kwa mtawala makini akiona mabango haya na aina ya watu walioyabeba hatapata usingizi kama anataka chama chake kitawale milele kama wanavyojidanganya. Hii inaashiria kuwa kuna kimbunga cha vijana kinakuja kufuta uchafu wa ufisadi, watu wamechoka na hii si dalili nzuri kwa wate yaani viongozi, middle class na walalahoi. Ni wakati wa kuacha kufanya biashara binafsi sasa na kufanya biashara ya umma. Vinginevyo 2015 ni mbali sana ninavyoona, kama yanayoendelea sasa hayatapatiwa ufumbuzi.

Ni jambo la kusikitisha pale kiongozi wa nchi anapokuja kutamka waziwazi kuwa kupanda kwa umeme ni maamuzi ya kibiashara siyo ya kisiasa, ina maana mtumiaji leo hii hana mtetezi kwa kuwa hachangii mamilioni ya kampeni za CCM?. Freedom is coming tomorrow, na kuanzia sasa kuzuia maandamano ya wananchi ni kama vile kuzuia mvua isinyeshe wakati ni masika. Watawala wasome alama za nyakati. Ningekuwa ni mimi ningeanzia na kumtaka spika wa bunge aruhusu mijadala bungeni vinginevyo atakuwa amewapatia CDM kibali cha kupeleka bunge kwa wananchi kwa njia ya maandamano.
 
Mkuu uyasemayo ni ya kweli kabisa
tatizo hao CCM ni sikio la kufa
wamejaa sana kiburi ,sijui hawayaoni yanayotokea huko kusini?
 
Seen! the true march of the life! Tupo pamoja wanaharakati wetu! Someone has got to start from somewhere and Arusha did it so as Mwanza! na bado! Mungu ibariki Tz for the sake of Tanzanians!! AMEN na Shukran zote kwenu!
 
Mchonga, hii imetulia na kupendeza sana. Freedom is surely just arround the corner!

Big up CDM!
 
I'm very much thrilled by these pictures! This serves as the evidence of the true will of the people!
 
Back
Top Bottom