PICHA: Maandamano ya CHADEMA Mwanza

RPC Simon Sirro, asante kwa kuepuka sababu za 'kiintelejensia' zinazotolewa kukandamiza haki ya kuandamana; hata hivyo usishangae iwapo IGP atatangaza uhamisho kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa na si ajabu ukahamishwa. Asante kwa kusaidia kuepusha maafa kama ya Arusha.
 
Mungu Mkubwa! Jana nilikuwa kwenye sherehe za blackouts za Jk wala Ka TV hakakuwaka! Nimefurahishwa na UMATI. Napingana na msemo kuwa Mapinduzi ya kweli yataletwa na mwananchi na wala si wanasiasa ni kupingana mwenyewe! Ni nani mwananchi? Ni nani Mwanasiasa, Mimi naamini kila mwananchi ni mwanasiasa na mwanasiasa ni mwananchi, labda UZALENDO wa mwananchi ama mwanasiasa ndivyo vya kuhoji. Na tukipata wanasiasa wazalendo kama CDM tutapona.
Ng'wabeja, mwasemezya, mwakondya, mwakora muno, na asi ,Aika wana MWANZA
NIMEWADONDOKEA KWA UJUMBE WENU KWA WATAWALA
Aksante Mwanajamii kwa Uhondo
 
Hatimaye tumezaa AZIMIO LA MWANZA kwa maendeleo ya taifa la kesho.
Mwili unanisisimka nikiziangalia hizo picha natamani ningekuwa nyumbani ili niwe part ya historia mliyoandika
 
Hivi CCM mnaona huu utitiri wa watu lakini? Watu alioitika wito bila kupewa Tshirt wala vitenge wala kofia wala pesa! Is this a normal thing? Au mnachukulia poa 2? They r really in LOVE with CHADEMA. Sijui kama mna wapenzi wenye true love kiasi hiki au ni wale wa kuwachuneni 2....So bad
 
PAMOJA DAIMA tukilipigania taifa letu mbele ya maadui mafisadi kutoka CCM tukishirikiana kama vijana tutashinda na kuwaondoa wakoloni weusi walio watoa wakoloni weupe NIWATAKE RADHI KWAKUWALETEA PICHA ZAMATUKIOYA MAANDAMANO ya chadema jijini mwanza lakini sikuweza kuleta risala nahi ilitokana na dharuraniliopata ya kifamilia iliosababisha niuache mkutano ukianza ninazo picha 600 za maandamano ya mwanza kwa anae hitaji anipe imail yake nitampa NILIJITOLEA MHANGA NIKIAMUA AMANIFE AU NIPONE NILIJUA YATAJIRI KAMA YALE YA ARUSHA kupigwa risasi BINAFSI NAMPONGEZA KMANDA SIRO toka uchaguzi mkuu yupomakini yeye na safu yake nampongeza kuwa askari mkaka mavu na mwenye kutanguliza maslahi ya nchi yake mbele SIRO HONGERA SANA..!!..nahapa nawakumbusha ccm..msemo huu..!!..Usually
when people are sad they don't do anything they just CRY over their
condition but when they gel Angry they bring about a change" (MALCOLM X)
 
Dah, natamani mingekuwa sehemu ya watu walioshiriki maandamano ya kudai mabadiliko...asanteni watu wa mwanza kwa kuendeleza mapambano ya ukombozi wa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi.....tutapambana mpaka watuachie nchi yetu.............
 
...Ni kweli, Ikulu chai ni bure. JK hawezi kujua bei ya sukari!
 
Huu mwamko unahitajika nchi nzima na uwe hivi hadi 2015. Kwa mtaji huu hata hiyo tume ya uchaguzi ikibaki poa tu maana wataogopa kuchakachua
 
Jomba hizo picha zinatusaidia sana kwani zinatutia moyo kuwa ukombozi wa nchi hii unakuja. Asante sana endelea kutupasha habari kila inapotokea tukio la kihistoria kama hili. BIG UP!!!!
 
Back
Top Bottom