Search results

  1. macho_mdiliko

    Ona maajabu ya Artificial Intelligence: Inamjua mpaka Maxence Melo

    Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)! Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu sikutilia maanani sana mpaka nilipoanza kuitumia. Je, wewe umewahi kuchati nayo? Kama bado basi...
  2. macho_mdiliko

    TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha...
  3. macho_mdiliko

    Msaada: Unaifunguaje iPhone inayohitaji Activation Lock?

    Wana JF naomba mwenye kujua. Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock? Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana. Amejaribu kui-reset ikiwa kwenye recovery mode akafanikiwa, lakini wakati wa setup ikakwama kwenye...
  4. macho_mdiliko

    Jaji Warioba: Hivi tunaposema Katiba siyo kipaumbele, sababu ni nini?

    Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu? Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo...
  5. macho_mdiliko

    Siri yafichuka: Katibu Mkuu CCM Taifa, Dkt. Bashiru alitaka kujiuzulu baada ya kutoelewana na Mwenyekiti wa CCM

    Wanabodi salama? Kumbe yanayoendelea nyuma ya pazia ndani ya CCM ni makubwa na yanaogofya. Kumbe hata Dkt. Bashiru yalishamshinda kufanya kazi na Magufuli na alitaka kujiuzulu? Huu uchaguzi una mengi yaliyojificha nyuma ya pazia na ambayo yanaweza kuwashangaza watu matokeo yakitoka. Kama una...
  6. macho_mdiliko

    VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

    NEWS UPDATE: Mwanaharakati wa Haki za Wanawake hapa nchini Joyce Kiria the super woman pamoja na Juma Raibu diwani wa boma Mbuzi Manispaa Moshi wamsaidia mwanamke aliye daiwa kufumaniwa na mume wa mtu kupata matibabu Akizungumza Mara baada kutembelewa nyumbani kwake Msaranga wilani Moshi Mkoani...
  7. macho_mdiliko

    Mama ni mchagga. Mchagga wa Machame

    Katika kile kinachoonyesha kuwa wanawake wachaga wa Machame wana sifa mbaya kwa jamii, baadhi ya viongozi waliokuwa kwenye msafara wa rais Magufuli wameonyesha mshutuko wakati mamam mmoja aliyekuwa anadai kudhulimiwa na mumewe kujulikana kuwa ni mchaga... wa Machame. Imebidi rais aingilie kati...
  8. macho_mdiliko

    Jihadhari: Sikilizi huyu mama alivyoibiwa mchana kweupe

    Sikiliza hii clip. Kuna mama ameibiwa fedha baada ya kukodisha bajaji. Ameshikiwa kisu huku bajaji inaendeshwa. Akanyanganywa simu na kulazimishwa kutowa namba za siri za mobile wallet. Ikaja bodaboda mwizi mwingine akachukuwa ile simu akaenda kutowa fedha kwa wakala. Baada ya kutowa fedha...
  9. macho_mdiliko

    Sakata la kuzuia misaada kwa Tanzania: Finland yasema haitaiiga Denmark

    Waziri wa mambo ya nje wa Finland amesema Finland haitafuata mkumbo wa Denmark kuondoa msaada kwa Tanzania kwa sababu za msimamo wa serikali juu ya ushoga. Kwa kifupi amesema: 1. Watanzania wengi wanaishi kwenye lindi la ufukara hivyo kuzuia misaada kutawaathiri 2. Amesema wanayachukulia...
  10. macho_mdiliko

    Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo(23) amchakaza mzungu

    Niko hapa London naangalia TV channel ya Sky action bondia kutoka Bongo anaitwa Hassan Mwakiyo amemchapa vibaya sana bondia Sam Eggington katika round ya pili. Kwa jinsi navyomwona anaweza kufika mbali na akachukua mikanda inayotambulika na yenye heshima duniani. ======== BONDIA Hassan...
  11. macho_mdiliko

    Serengeti: Wafungwa miaka 25 kwa kushikwa na mayai 16 ya mbuni..

    Wanabodi, Hivi mayai ya mbuni yanapatikana wapi hapa Tanzania na bei yake ni kiasi gani? Nauliza sio kwa sababu nataka kununua ila nataka kupata mchango wa wa wenye uelewa wa biashara hii. Kilichonifanya nikaanzisha thread hii ni habari niliyokutana nayo kwenye gazeti la Mwananchi kuwa kuna...
  12. macho_mdiliko

    Boeing Terrible teens: Rwanda wanaonekana wanajua ukweli

    Hii ni kutoka twitter account ya Rwanda Aviation....January mwaka huu. Yaelekea walijua kinachoendelea mapema sana
  13. macho_mdiliko

    Kitabu moto chenye simulizi za ukweli: Mateka mpakani

    Wakuu habari. Kwa wale wenye hamu ya kuelewa kwa undani vita vya Tanzania na Uganda basi kaeni mkao wa kula. Kachero wa Tanzania aliyetekwa na askari wa Uganda akiwa yeye na wenzake wawili (ambao waliuawa na yeye kunusurika kimiujiza) ameamua kuweka yote hadharani. Amesimuliwa yote kuanzia...
  14. macho_mdiliko

    Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

    Kwa wale waliokuwa wansubiri kupekuwa kwenye database ya Panama papers kuona kama kuna vijogoo wa Afrika hususani Tanzania wameficha fedha wanaweza kupekuwa sasa. Kila kitu kimewekwa online. Baadhi ya majina ni; Hasnain Ahmed Hassanali Tanzania, United Republic of Panama Papers Mohamedraza...
  15. macho_mdiliko

    Unataka kuongea na mtu/watu kutoka Sweden?

    Unataka kuongea na mtu/watu kutoka Sweden kwa simu ukiwa popote duniani? Basi piga hii namba: Katika kusheherekea miaka 250 tangu Sweden iondokane na sheria udhibiti wa habari, wametoa fursa ya mtu yoyote kutoka sehemu yoyote duniani kupiga simu na kuongea na raia wa Sweden na kumuuliza...
  16. macho_mdiliko

    Basi la Uganda lisilotumia mafuta

    Waganda wamekuja na basi linalotumia nguvu za ''umeme wa jua'' (solar) kusafiri. Linatumia dakika sitini kuweza kujaa chaji na likisha jaa lina uwezo wa kutembea maili 50 bila kuchajiwa tena. Vilevile kuna battery ya ziada ya kuchaji kwa umeme wa kawaida kwa ajili ya safari za usiku na za zaidi...
  17. macho_mdiliko

    Ukimwona sasa huwezi kumtambua

    Hatimae yule mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa ''kutokupenda kula'' amepata matibabu na ukimwona sasa huwezi kuamini. Picha huzungumza zaidi kuliko maneno KABLA: Sasa
  18. macho_mdiliko

    Kikwete ana wasiwasi mkubwa wa kushindwa

    Watu walio karibu na rais Kikwete wanasema ana wasiwasi kweli kweli. Huu uchaguzi umekuwa mgumu na kura zote za maoni zilizofanywa na kitengo zinaonyesha Lowassa atashinda. Viongozi wengi wa CCM wanaonekana kupatywa na ''pressure'' kwani wanasema kumekuwa na wingi wa waangalizi na vyombo vya...
  19. macho_mdiliko

    NEW YORK TIMES wanavyouelezea uchaguzi wa Tanzania

    Hongera viongozi wa UKAWA kwa kuona mbele. Mlipoamua kumpokea Lowassa mlifanya uamuzi wa busara sana kwani chaguzi nyingi zilizopita CCM ilikuwa ina uhakika wa kushinda. Na hata kama mngemsimamisha Dr Slaa mwaka huu kusingekuwa na jipya...
Back
Top Bottom