Search results

  1. baraka muyabi

    Msaada wa kuifanya memory card kua default storage Samsung J5

    Wakuu habari za muda.. Natumai mu wazima na majukumu ya hapa na pale hasa katika suala zima la TEHAMA Ninatumia Samsung J5 ina ukubwa wa GB 4 internal storage yake...nimenunua memory card ya GB 8 niifanye iwe default storage lakini sijaona options yoyote ndani ya simu ya kuifanya memory card iwe...
  2. baraka muyabi

    Msaada wa engine ya Nadia D-4

    Habari wana jamvi wenzangu...nilikua naomva msaada wa kiufundi katika engine ya gari aina ya Nadia. Inachanganya sana oil na petrol yaani naweka lita 3 za engine oil ila baada ya wiki moja namwaga lita 6 mpaka 7 (maelekezo ya fundi nimwage kila baada ya wiki)...fundi kasema tatizo ni...
  3. baraka muyabi

    Uhusiano uliopo baina ya kusugua bati/sinia kwenye mchanga na meno

    Habari wana jamvi..naomba kujua mahusiano yaliyopo baina meno na bati/sinia..mimi mwenyewe niko hivi mtu akisugua sinia la bati kwenye sakafu au mchanga kile kijisauti kinachotoka huwa kinanifanya meno yangu kuuma sana..nauliza sasa je kuna uhusiano gani katika vitu hivi viwili
  4. baraka muyabi

    Msaada: Samsung Galaxy Note 2 haikamati Wi-Fi na bluetooth

    Habari wana jamvi. natumia simu aina ya samsung galaxy note 2 , tatizo lake ni kutokukamata Wireless network (Wi-fi) pamoja na Bluetooth. naomba mawazo na msaada ili niweze kutumia vitu hivyo.
  5. baraka muyabi

    Msaada wa printer "HP DESKJET1000 J110a"

    habari wana jamvi, ninatumia printer aina ya HP deskjet 1000 J110a ninajaribu kuprint excel document inagoma kuleta option ya printer name zaidi ya 0ne note2007 ila nikihitaji kuprint word document au PDF inakubali ..tatizo ni nini..natumia OS windows 7 professional. nawasalisha
  6. baraka muyabi

    Msaada samsung Galaxy note kwenye Wi-Fi and tethering

    Habari wana jamvi.. Simu yangu ni Samsung galaxy note2 . nataka kuitumia kama modem katika computer cha ajabu inaniletea "mobile data is not available or invalid SIM" hiyo invalid somu inakuja vipi wakati simcard inasoma vizuri na data zinapanda na kushuka.. Naomba msaada tatizo ni nini CHIEF MKWAWA
  7. baraka muyabi

    Gharama ya "smoke detector"

    Habari wana jamvi wenzangu, Nilikua naomba kujua gharama ya vifaa/kifaa cha kuhisi moshi katika nyumba na kutoa taarifa katika king'ora na wapi naweza kuvipata kwa hapa Mwanza. Asante
  8. baraka muyabi

    msaada dell inspiron 15 3000 series

    habari wana jamvi, nimenunua laptop mpya dell inspiron 15 3000series, waliniwekea windows 7 lakini haikua haina drivers za sauti amoja na wireless, nimebadilisha OS nkaweka windows 8 tatizo lililokuja tena ni kua cursor haifanyi kazi mpaka niweke external na bado drivers za wireless...
  9. baraka muyabi

    Msaada kuhusu kusoma online

    Habari wana jamvi... nina hitaji msaada hasa wa mawazo... nina ndugu yangu anafanya kazi bank moja hapa nchini, jana kaniambia anataka kusoma shahada/degree ya business admnistration/business management online. Mimi n mgeni kabisa katika masuala ya online studies...naomba msaada n wapi naweza...
  10. baraka muyabi

    Msaada kwenye ku-root samsung galaxy s3

    Habari wana jamvi, nina simu aina ya samsung galaxy s3 , nilijaribu kuiroot ili iwe "mpya" kwani kuna baadhi ya vitu sikuweza kuvifanya kama screen shot...baada ya kusoma baadhi ya thread kwenye jukwaa hili nlii-root simu yangu kwa kutumia "vRoot" Mwishoni ilniandikia successfully na kuleta...
  11. baraka muyabi

    Msaada wa internet kwenye samsung galaxy s3

    habari wana jamvi, nilikua naomba msaada wa kuactivate internet kwenye simu yangu aina ya samsung galaxy s3 , hapa ofisini ninapofanyia kazi kuna wireless inakubali tatizo nkitoka tu inagoma kushika mtandao...inaniandikia "authentication via the proxy server was unsuccessfully"
  12. baraka muyabi

    Msaada wa kupata video ya kilichotokea bungeni November 20

    Habari wana jamvi wenzangu, nilikua naomba msaada wa namna ya kupata video ya kilichotokea bungeni dodoma kuhusu sakata la escrow au kama kuna link naweza download,,,natanguliza shurani
  13. baraka muyabi

    Naomba msaada laptop yangu haitaki kuchaji betri

    Habari wana jamvi wenzangu....naomba msaada .computer yangu haichaji baterry kwa sasa inaandika not charging cjajua tatizo n nini... naomba msaada wenu...n Samsung os window 8
  14. baraka muyabi

    Naomba msaada wa driver ya printer

    Habari wana jamvi wenzangu. CD yangu ya printer imepotea na nimebadili operating system kutoka windows seven kwenda windows 8, naomba mwenye Driver ya printer hp laser jet 1300 anisaidie. Asante
  15. baraka muyabi

    Msaada kwenye huawei y 300

    Habari wana kijiwe wenzangu....nina tatizo katika simu aina ya huawei y 300 kila nkipiga au kupigiwa baada ya muda fulani kama dk moja au sekunde 40 inakata mawasiliano ninaewasiliana nae hanisikii ila mi namsikia au yeye ananisikia...je chili ni tatizo la simu au mtandao... msaada wenu wana jamvi
  16. baraka muyabi

    Msaada kuhusu pasword

    wana jamvi habari, pc yangu imekataa kuwaka inaniambia "pasword incorect" nimejaribu kila njia imegoma,os window 7 starter nataka kuweka window nyingne imeshindikana..msaada wakuu..
  17. baraka muyabi

    star times badilikeni

    katika mambo ambayo star times mmetokea kuniboa ni pamoja na hili..kubadilishiwa decoder mpaka kulipia elfu sitini ...mimi nilikua mkaazi wa dodoma kwa sasa nimehamia musoma..nilinunua decoder ya star times niliokua naitumia nikiwa dodoma kufika musoma ile decoder haishiki tena chanell yoyote...
  18. baraka muyabi

    msaada kuhusu computer

    habari wana jamii forum wenzangu, nina desktop computer aina ya hp kuanzia jana nikiiwasha inaniandikia OCBYR IS COMPRESSED PRESS CTRL+ALT+DEL TO RESTART. nashindwa kuelewa tatizo ni nini. naombeni msaada wenu
  19. baraka muyabi

    masafa mapya ya tbc, star tv na channel ten

    habari za jioni wana jammi forum wenzangu.natumai mu wazima kwa wale wagonjwa MUNGU atawasadia na mtarudi katika hali ya kawaida..leo nina tatizo moja tu kuhusu masafa/frequency za star tv, tbc1 na channel ten maana huku musoma na maeneo mengine ya nchi hatuzipati kabisa..natumia receiver ya...
  20. baraka muyabi

    hivi ni kweli obama kazindua mitambo fake ya symbion kutuangazia tanzania..?

    tangu kutangazwa kwenye vyombo vya habari mpaka kuwasili kwake nchini, kichwa changu kilikiua kinaniuma sana naposikia kua atakua kiongozi wa nchi ya marekani rais Barack hussein Obama katika ziara ya kikazi ya siku mbili nchini kwetu.Kwa upande mmoja nilifurahi ia kwa sehemu kubwa ilikua...
Back
Top Bottom