Search results

  1. M

    HAWA GHASIA, live on tv

    mwangalieni anaongea kama vile anafundisha watoto wa shule ya msingi tena kayumba, kumbe anaongea na watu wazima
  2. M

    Makubwa ya u.t.t

    Habari wadau, Mitaani kuna watu wanapita wanakusanya kiasi fulani cha hela ikiwa kama initial deposit ya kupata mikopo midogo midogo(microfinance) na hao watu wanadai mikopo hiyo ni kutoka U.T.T(Unit Trust of Tanzania) hivyo nimepata wasi wasi na suala hili, naomba kupata ufahamu kuhusu hili...
  3. M

    Tangazo la serikali kuhusu mishahara mipya

    Habari zenu wakuu, Nimesikia kuwa tayari waziri wa Kazi mama Kabaka ameshatangaza Tangazo la serikali kuhusu mishara mipya, kwa wenye kulijua suala hili zaidi naomba mtusaidie kama kweli hilo tangazo limtoka na kama limetoka ni namba ngapi na la tarehe gapi (GN no.ngapi). By the way Naomba...
  4. M

    Matumizi ya ving'amuzi Tanzania, (digitally)

    According to East Africa newspaper dated March 26-22, 2013 Tanzania is the only country in the region that adhered to the december 31, 2012 deadline agreed to by five members states of EAC. Newspaper also stated that, The EAC deadline was intended to help countries address any problems ahead...
  5. M

    Road blocks barabara za mikoani

    Wanajamvi mwenye kulifahamu ili vizuri leo nasafiri kutoka arusha kwenda, kinachonishangaza njia hiyo kuna road blocks kibao ambapo kuna askari wa kawaida halaf wameshika mitutu, wa uhamiaji na trafiki, sasa wenye kujua zaidi watujuze ni kwa nini au ndio wahamiaji haramu kutoka kenya ?
  6. M

    Kazi mpya

    Wadau naomba msaada ushauri, ni mambo gani ya kuzingatia unapotaka kuhama kutoka kazi uliyonayo kwenda kazi mpya
  7. M

    Inahusu dada poa a.k.a machangu.

    Leo ndio mara yangu ya kwanza kuja R Chuga, nimeona ni jiji zuri sana lina baridi la wastani, lakini nasikia ni jiji la kibabe, anaway suala kubwa lililönileta hapa ni kuwa nimefikia maeneo ya kaloleni karibu na shivas na picnic sasa nimeoneshwa dada poa kibao nataka ninunue mmoja anikaribishe...
  8. M

    Day care and nursery schools at dar es salaam

    Wakuu wa jamvi naomba msaada, nina mtoto wangu wa miaka 2 nataka nimsajili day care yoyote hapa dar es salaam naomba mnisaidie kunijuza ni day care ipi nzuri na ni english medium na ada yake ni ya wastani, ili nimpeleke hapo, ahsanteni wakuu
  9. M

    Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

    Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na mazingira inabidi kila wanapotaka kukutana mwanaume aenda kwa mwanamke, sasa jamaa analalamika mwanamke...
  10. M

    Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

    Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na mazingira inabidi kila wanapotaka kukutana mwanaume aenda kwa mwanamke, sasa jamaa analalamika mwanamke...
  11. M

    Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

    Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na mazingira inabidi kila wanapotaka kukutana mwanaume aenda kwa mwanamke, sasa jamaa analalamika mwanamke...
  12. M

    Update ya kazi za sbc tanzania limited

    Mwenye update zozote za hawa jamaa wa pepsi kama wameshaita watu kwa ajili ya interview katika kazi walizotangaza, tujuzane please
  13. M

    Wameshaita ????

    Kwa wale walioomba kazi katika lile tangazo la hugo domingo vipi wameshaitwa kwa negotiation na kusaini contract ???????????????
  14. M

    Tra, ewura, nssf tanesco

    Wana jamvi naombeni mnijuze kuhusu mishahara ya hiz agent za serikali inafanana au inazidiana na agent ipi zinalipa vizuri zaidi.
  15. M

    Hugo domingo

    Jamani wana jamvi naombeni mnisaidie, mtu yeyote anayeifahamu hii kampuni ya hugo domingo naomba mnisaidie kunijuza kuhusu hii kampuni haswa kuhusu mishahara yao iko vipi?? Kuhusu security ya kazi hapo kwenye kampuni ??? na wako hapa mjini wana muda gani, wamiliki wa hii kampuni waki nani?? na...
  16. M

    SBC TANZANI LIMITED/peps

    Jamani naomba mnisaidie kwa mtu anyejua mishahara ya hii kampuni inayozalisha pepsi, haswa legal office, hr manager na senior security officer. Ahsanteni wana jf
  17. M

    Ilboru Saga

    Habari kutoka redio one zinasema Naibu waziri wa Elimu amsimamisha kazi mkuu wa shule kutokana na tuhuma alizopewa na wanafunzi wake.
Back
Top Bottom