Search results

  1. K

    Maskini lulu jela IMEMJERUHI

    Wanajamii wenzangu hivi kwanini mahakama inashindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya kesi ya msanii Elizabeth Michael mana mtoto huyu ameendelea kukaa rumande siku hadi siku na pia anaathirika kisaikolojia.Wanajamii hii kesi inaweza ikadumu kwa muda mrefu sana mana kila akipelekwa...
  2. K

    C inaanzia 57

    Jamani wadau ebu tusaidiane kwa hili hivi ni kweli kwamba c ya private candidates inaanzia 57 au ndio uzushi wa wabongo mana kuna mtu amepata four ya 27 na ana c mbili lakini hataki kutafuta c ya tatu anahofia kushindwa kufikisha 57 ameamua kuwa mjenzi
  3. K

    Wamechelewa kugoma

    Huu mgomo wa walimu ambao unaendelea na unapamba vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali umeanza kwenye muda muafaka?.Nimeuliza hivyo kwa sababu tarehe 3 mwezi wa 8 shule za serikali zitafungwa au utadumu mwaka mzima?
Back
Top Bottom