Ndugu wadau wa JF naomba ufafanuzi wa yafuatayo kuhusu utuexchange
Ninanuaje hisa?
Ninauzaje hisa
Hisa moja ina thamani gani?
Nitapataje malipo yangu?
Nitanunuaje kama nataka hisa kwa fedha taslimu
UFAFANUZI TAFADHALI KWA WAHUSIKA...
New York, February 29, 2008CPJ condemns the arbitrary arrest of two popular online editors without charge. The two were detained and interrogated for 24 hours in Dar es Salaam, Tanzania, on February 18, in what observers of the case say was a politically motivated attempt to shutter the site...
Ndugu wanaJF baada ya Lowassa kujieleza hapo jana na kujaribu kujitetea kwa pointless hebu tumjadili nini mustakabali wake ki siasa kwa sasa na siku za usoni. Nawakilisha hoja hii kwa kutoa profile yake hapa pia nadhani ni nyema tukaanzisha thread za kuwachambua wanasiasa mbali mbali...
Picha (attached) ya Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akishuka kwenye ndege ya kampuni ya Coastal Air mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndge wa Arusha. Swali je pesa hizi na mandalizi kule Monduli anastahili na ni pesa zetu za kodi sisi walalahoi an ndio kutoka mfuko wa kifisadi??
Timu soka ya Taifa ya wanawake a.k.a Twiga stars jioni hii imelala 3-0 mbele ya wadada wa cameroon.hadi Kipindi cha kwanza Cameroon walikuwa wanaongoza kwa bao 1-0. Mabao mengine mawili yalipatikana kipindi cha pili hivyo kuiweka Twiga stars katika wakati mgumu kufuzu mashindano ya Africa.Twiga...
See attched latest photos....
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa mara ya kwanza kimelazimika kutumia usafiri wa helikopta katika kusaka ushindi wa mgombea wake wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiteto, mkoani Manyara.
Hatua hiyo ya CCM kutumia chopa, imekuja ikiwa ni siku moja tu...
See attched latest photos....
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa mara ya kwanza kimelazimika kutumia usafiri wa helikopta katika kusaka ushindi wa mgombea wake wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiteto, mkoani Manyara.
Hatua hiyo ya CCM kutumia chopa, imekuja ikiwa ni siku moja tu...
Mpira umekwisha FT Score Arsena 2 Birmingham 2,jamaa wamesawazisha kwa penati dakika za majeruhi kupitia kwa MCFadden, Watoto wa Emirates kama kawaida bado wanaendelea kubaki kileleni mwa premia kwa gape la points 6.
Kama kawaida ya uozo wa serikali yetu lazima siku moja huyu fisadi atarudi madarakani tena kwa post kubwa.Watanzania tuamkeni mambo kama haya si ya kuyafumbia macho mtu anaiba mabilioni yatu na sasa anageuzwa kuwa shujaa....
Hello wadau wa soka, The gunners mpaka sasa dakika ya 78 wanaongoza kwa mabao 2-1 dhidi ya Birmigham city. Hadi Kipindi cha kwanza Arsenal walikuwa wamelala kwa bao moja lililopachikwa kimiani na mshambuliaji J. McFadden dk. ya 28 pia katika kipindi hicho cha kwanza mshambuliaji machachari wa...
Na sas JF imerudi kwa kishindo bila woga na nia ni moja kusafisha serikali yetu tuwe na viongozi waadilifu wenye kutetea na kujenga maslahi ya Taifa letu.
Vurugu zazidi kurindima Kiteto
2008-02-22 09:57:20
Na Simon Mhina, Kiteto
Maofisa wa Jeshi la polisi na Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) jana walilazimika kumshusha jukwaani Mbunge wa Mbinga na Mkurugenzi wa kundi la sanaa la TOT, kapteni John Komba, baada ya kuibuka vurugu kubwa za...
Mbalamwezi you are very right kwa kweli wametupatia umaarufu mimi nilikuwa siijui JF na sasa nimejiunga rasmi. Nina mengi ya kushare na waTanzania wenzangu wenye uchu wa kuona nchi yetu inakuwa ya neema. Tunakemea wote wanaojaribu kudidimiza jitihada za JF za kuwaelemisha na kuwapa mwanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.