Search results

  1. mgunda1990

    Natafuta mawasiliano ya Kilimanjaro College of Health and Allied Science

    Aiseee hawajibu,,walau nkipata namba labda inaweza saidia[emoji1545]
  2. mgunda1990

    Natafuta mawasiliano ya Kilimanjaro College of Health and Allied Science

    Wandugu habari! Mwenye mawasiliano na hawa jamaa anisaidie au joining instruction ya chuo. Natanguliza shukran[emoji1545]
  3. mgunda1990

    Maelekezo ya kujiunga kidato cha kwanza

    Heshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran
  4. mgunda1990

    touch Screen Digitizer for nokia lumia 520

    nahitaji jman imepasuka,mwenye nayo anipe bei...............
  5. mgunda1990

    Template ya kuitolea matokeo ya mtihani

    Habar,,,ndugu naomben msaada wa kutengeneza template itakayo nisaidia kutolea matokeo ya mtihani kidato cha pili na cha nne,nmejaribu kutengeneza kwenye excel nimeambulia patupu,,kwa yeyote mwenye ufaham naomba msaada,,mfano wanyotumia necta au wale wa zone kutolea matokeo..naomba kuwasilisha....
  6. mgunda1990

    nahitaji msaada wa tamplate ya kutolea matokeo ya kidato cha nne

    wandugu nahitaji msaada wa tamplate itakayonisaidia kutolea matokeo ya k4,,natanguliza shukrani
  7. mgunda1990

    Internet connection nokia lumia 520

    Habari,kwanza natoa shukrani kwa kunishaur juu ya ununuzi wa Wa simu,namshukuru Mungu kaniwezesha nimenunua NOKIA LUMIA 520,. Kiukweli nimeshindwa kuunganisha internet na nnatumia line Airtel,na nshawapigia airtel bt cjapata msaada na wamenijubu pumba sana,Naomben msaada wenu wakuu..
  8. mgunda1990

    Nokia asha 501

    Tunashkuru kaka kwa kutuongezea maarifa
  9. mgunda1990

    Nokia asha 501

    jaman ndomaana huku napapendaga sana,na nnashukuru Kahela kameongezeka,ni laki 3 kamili nataka nijiumize kidogo,hapo nimeona kuna LUMIA 520 na 620,nipen ufahamu zaidi wakuu na hyo bei nilonayo kama itatosha,maana 2kijaaliwa uzima mwisho wa mwez huu..NAWASHKURU SANA KWA KUTOA ELIMU NZURI,.Respect!!
  10. mgunda1990

    Nokia asha 501

    Mkuu yenye camera ya mbele na flsh naweza pata ipi iwe Nokia hata kwa laki 2 na nusu!!nisaidie mkuu!
  11. mgunda1990

    Nokia asha 501

    Thax kaka...
  12. mgunda1990

    Nokia asha 501

    kweli hlo ni jambo la muhimu..
  13. mgunda1990

    Nokia asha 501

    thax chief,pia nimeona Lumia 520,cjui na yenyewe unasemaje?
  14. mgunda1990

    Nokia asha 501

    Salam,ndugu zanguni nimeulizia bei ya cm hii kwa midcom east,wameniambia ni 173000..naomben mnishaur kwa yoyote aliewah kutumia au anatumia vip inafaa?kama haifai naomba mnipe muongozo wakuu!Natanguliza shukrani!
  15. mgunda1990

    Voda Wajanja night kimenuka??!!

    sa hv kuna wajanja day bk 5.,. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.. Nabundi mpaka nahc kuugua!!
  16. mgunda1990

    Pccb na interview zao

    hamna hata m1 aliemjibu mtoa mada,mm binafsi SIFAHAMU KUWA NI LINI.,Tuendelee kusubiri mkuu!
  17. mgunda1990

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo idara ya msingi halmashauri ya lindi vijijini jimbo la mtama nataka kuhamia tanga-lushoto kwa mwl.alie tayari anichek kwenye 0757142955.
Back
Top Bottom