Pccb na interview zao

beal

Senior Member
Dec 30, 2012
114
60
Habari zenu wana jf
naomba kujuzwa mwenye tetesi kuwa pccb wataita lini coz ndo sehemu pekee tunayoitegemea na kuhusu interview zao huwa zinzkuwaje?
natanguliza shukran zangu!
 
Wanakufuatilia mpk kwenu kukupeleleza kwa jamii yako kwanza ndo wakuwazie kukuita interview
 
Wewe tafuta kazi tu kwingine maana wale jamaa hawaeleweki unaweza kaa mtaa hata mwaka ndipo watakuita alafu wana tabia ya kukufuatilia hadi nyumbani kwenu ulikosoma primary ndo maana wanataka hadi cheti cha msingi. Ajira zao hua zinachelewa sana hadi wafanye uchunguzi hivyo unaweza hata ukasahau kama ulituma maombi.
 
Habari zenu wana jf
naomba kujuzwa mwenye tetesi kuwa pccb wataita lini coz ndo sehemu pekee tunayoitegemea na kuhusu interview zao huwa zinzkuwaje?
natanguliza shukran zangu!

kwanini utegemee PCCB bwana, acha uvivu kwani vyeti vyako vinaapply pccb tu, bythen unaona vacancies ni nyingi 500 ila kama ulienda kutuma barua mwenyewe posta na kama umeona population wanaotuma kwa siku thn ukafiria na mikoani watakaotuma hizo nafasi 500 bychance kupata ni 0.0001
 
Wadau mie bado niko njia panda kuhusu cheti cha darasa la saba,mkuu wa shule anasema vyeti mwaka wetu havikutoka(2003) ila kaniandikia barua,je itafaa?

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Wadau mie bado niko njia panda kuhusu cheti cha darasa la saba,mkuu wa shule anasema vyeti mwaka wetu havikutoka(2003) ila kaniandikia barua,je itafaa?

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums

Wanataka cheti. Sio barua ya uthibitisho.
 
interview mpaka january mkuu tunapitia mashuleni kwenu kwanza,ahsante(mwananchi wa kawaida)
 
Back
Top Bottom