Natafuta mawasiliano ya Kilimanjaro College of Health and Allied Science

mgunda1990

Member
Jul 19, 2012
73
4
Wandugu habari!

Mwenye mawasiliano na hawa jamaa anisaidie au joining instruction ya chuo.

Natanguliza shukran
 
Kama unaenda kusoma diploma hicho chuo kiache kabisa. Level yako itaishia diploma tu. Maana tangu 2016 graduates wa diploma hawajapata AVN.

Hiyo ni no ambayo inakuwezesha kuendelea kusoma bachelor, sasa ni miaka takriban saba kwa hiyo jamaa yangu fanya maamuzi sahihi.

Ukitaka joining instruction zao tembelea website yao
 
kama unaenda kusoma diploma hicho chuo kiache kabisa. leve yako itaishia diploma tu.mana tangu 2016 graduates wa diploma hawajapata AVN.hiyo ni no ambayo inakuwezesha kuendelea kusoma bachelor.sasa n miaka takriban saba kwa hiyo jamaa angu fanya maamuzi sahihi

ukitaka joining instruction zao tembelea web site yao

Ila si n cha serikali au?
 
Kama unaenda kusoma diploma hicho chuo kiache kabisa. Level yako itaishia diploma tu. Maana tangu 2016 graduates wa diploma hawajapata AVN.

Hiyo ni no ambayo inakuwezesha kuendelea kusoma bachelor, sasa ni miaka takriban saba kwa hiyo jamaa yangu fanya maamuzi sahihi.

Ukitaka joining instruction zao tembelea website yao
Hii ni hatari chuo hakijawasaidia toka muda huo
 
Back
Top Bottom