Search results

  1. Mhubiri

    Gharama za kuingiza nchini gari kutoka Ulaya nililolinunua Singapore zipoje?

    Nataka kuingiza gari Tanzania kutoka Singapore. Ni European Car lakini nikinunua Singapore gharama ni nafuu kidogo. Sales team wameniambia kuwa kule Singapore hawafanyi pre-shipment inspection. Naomba kufahamu kama kutakuwa na usumbufu wowote likifika Tanzania, gharama za ukaguzi Tanzania...
  2. Mhubiri

    Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

    wanaume wa kiluguru vifupi vina gubu haha kumbe wapo wenye sifa zote hizo?if you are having such a man,you should love him truly.you seem to be a nice woman,your man should be proud of you very sweet love words,I wish ungekuwa baby wangu
  3. Mhubiri

    Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

    Mkuu Lumumba uko deep sana,i like that.Wakristo/wakatoliki wengi hawajui historia ya ukristo/ukatoliki.Wamebaki na waliyokaririshwa tu sunday schools,halafu watakubishia pasi kujua kuwa hawajui wanachokibishia.Wanadhani Ukatoliki ulianza tu ghafla baada ya Yesu kumwita Petro ni mwamba!
  4. Mhubiri

    Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

    Mkuu Augustine wa Hippo yeye alikuja baadaye sana,usimchanganye na kina Clement 1 .Pia unasahau mchango wa Paulo wa Tarso,mtu muhimu sana kwenye kueneza Ukristo kuwashinda hata kina Peter na James the just
  5. Mhubiri

    Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

    Uko right mkuu.Jaribu kupanda basi/kusafiri kwa gari toka Bologna mpaka Roma,hiyo miundombinu unaeza dhani imeshushwa toka mbinguni kumbe ni kazi ya mwanadamu tu!
  6. Mhubiri

    Mrejesho: Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tanzania

    Nje ya mada mkuu.Shule tamu sana hii.Hakuna somo tamu kama Falsafa.Umenikumbusha mbali sana na hao wakina Kant and his deontological ethics,a priori,a posteriori..Utilitarianism wakina Jeremy Bentham,Mill greatest good for greatest namba..hiyo teleological school of thought nadhani ni wale wa...
  7. Mhubiri

    Facts: Usiyoyajua kuhusu nchi ya Brazil (Kwa Kiswahili)

    We unaishi huko?Watajuaje kama mimi mgeni in the first place,lugha kireno au?kuna levels zake mkuu,ushaambiwa kati ya 10,8 wanakipiga;haiwezekani warembo wote wawe mateja huko
  8. Mhubiri

    Facts: Usiyoyajua kuhusu nchi ya Brazil (Kwa Kiswahili)

    Ni hatari mkuu yaani kati ya wanawake 10,8wanafanywa kinyume na maumbile?,kifupi ni nadra sana kupata mwanamke asiyefumuliwa huko,inalillahi wa innailayhi rajiun! Wacha nizikusanye niende mwenyewe nikathibitishe.Na hayo ma boflo huko HIV/AIDS rates zikoje?
  9. Mhubiri

    Facts: Usiyoyajua kuhusu nchi ya Brazil (Kwa Kiswahili)

    ya kweli haya mkuu?ngoja nizichangechange namimi nikaoshe macho
  10. Mhubiri

    Msaada kwenye majibu ya utrasound report

    majibu ya daktari utayajua tu hata kama hukusomea udaktari.Muwe mnakuja mara kwa mara wakuu kuondoa upotoshaji hapa.Majibu ya Zemarcopolo kwa mfano,yanaonyesha kabisa ni daktari na siyo mtu wa copy paste
  11. Mhubiri

    Msaada kwenye majibu ya utrasound report

    kuna harufu ya madaktari kanjanja hapa
  12. Mhubiri

    Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

    mazee unakula vitu kama hizi au yale ma tipwaX2?haya bana kula bata...
  13. Mhubiri

    Intern doctor kwa Tanzania...

    nimekuelewa mkuu
  14. Mhubiri

    Intern doctor kwa Tanzania...

    Mkuu La Cosa Mia,nashukuru.Huyu binti pia amepata nafasi ya kufanya internship Ulaya.Lakini baadaye lengo lake ni kurudi Tanzania. Hizo nchi ambazo akifanya intern hawezi kurudia tena Tanzania,ni za Afrika au hata nje ya Afrika?Unaweza kuzitaja?Lakini kama ulivyosema,hata akirudia tena intern...
  15. Mhubiri

    Intern doctor kwa Tanzania...

    shukran mkuu kwa majibu yako mazuri..swali la mwisho..kama atafanyia nje internship,let's say Ulaya,halafu akataka kuja kufanya kazi Tanzania kama daktari,atapokelewa na kuanza kazi moja kwa moja au itabidi afanye tena internship Tanzania?
  16. Mhubiri

    Intern doctor kwa Tanzania...

    mkuu asante..lakini swali lake ni kujua kiasi cha pesa maana hata huo mshahara wa daktari Tanzania hafahamu na binafsi sijui.Unaweza kuandika ni Tshs ngapi?Kwa mfano laki 2 au 4 au laki tano?
  17. Mhubiri

    Intern doctor kwa Tanzania...

    asante mkuu Mahmetkid kwa majibu mazuri.Nitamtumia kama ulivyoandika.Unaweza pia kunitajia basic salary ya Daktari ambayo ndiyo mshahara wa Intern doctor?
  18. Mhubiri

    Intern doctor kwa Tanzania...

    Dada yangu amemaliza masomo yake ya udaktari wa binadamu mwezi huu,nchi moja ya Ulaya.Kuna nchi nyingine amepata nafasi ya kufanya internship lakini mwenyewe amesema,anapenda zaidi kuja kufanya internship yake Tanzania ili apate uzoefu zaidi kwa vitendo kwavile kuna wagonjwa wengi na...
  19. Mhubiri

    Intern doctor kwa Tanzania...

    Dada yangu amemaliza masomo yake ya udaktari wa binadamu mwezi huu,nchi moja ya Ulaya.Kuna nchi nyingine amepata nafasi ya kufanya internship lakini mwenyewe amesema,anapenda zaidi kuja kufanya internship yake Tanzania ili apate uzoefu zaidi kwa vitendo kwavile kuna wagonjwa wengi na madaktari...
Back
Top Bottom