Search results

  1. I

    Bint yangu anaugonjwa wa ajabu

    hiyo hali kitaalam inaitwa hysteria nakushauri umuone daktari wa magonjwa ya akili.
  2. I

    Second selection batch in udom na adimission letter

    habari wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom second selection ambapo ni equivalent tuliambiwa tudownload adimission letter kuanzia tarehe moja mwezi wa kumi lakini cha kushangaza ukidownload inagoma na ukijaribu kuwapigia simu walizoweka kwenye website hazipatikani,ninaombeni msaada...
  3. I

    Kuhusu equivalent admission letter in udom

    Jamani wana jf naomba msaada wenu mimi nimechaguliwa udom kusoma medicine kama equivalent na katika website ya udom walitangaza kuwa leo jumatatu tungeweza kudownload admission letter lakini nikijaribu inagoma ninaomba msaada wenu kama kuna mtu kafanikisha au bado tusubiri.
  4. I

    msaada udom admissin letter

    oya wewe tuliza mzuka mimi mwenyewe nimechaguliwa second batch kuna tangazo kwenye website wamesema sisi tusubiri mpaka jumatatu ndiyo tutaweza kuzipata wala usiwe na wasiwasi
  5. I

    Kuhusu kuchaguliwa udom

    mimi nilichaguliwa kupitia kairuki tcu halafu juzi udom walitoa majina ya equivalent walio apply kupitia chuo jina langu lipo na mkopo umepelekwa kairuki niliko chaguliwa kuputia tcu.
  6. I

    Kuhusu kuchaguliwa udom

    jamani wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom kama eguivalent majina yalitoka juzi ambapo niliapply kupitia chuo lakini vile vile niliapply kupitia TCU nimechaguliwa kairuki na mkopo umeenda kairuki na mimi sija report chuo chochote kati ya hivyo sasa kama nataka kwenda udom kuna...
  7. I

    Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

    daa! Mwanangu usisubutu kuowa msukuma mimi naishi shinyanga tatizo la wasukuma wanawake wanapenda pesa sana yaani ukiwa huna pesa rafiki yangu mke si wako tena yaani nakuonya usisubutu hawajui kuvumilia halafu kama wewe ni mzaramo ukiwa naye pependi lazima awe na msukuma mwenzake ambaye ni...
  8. I

    Tcu jina lipo,chuoni jina halipo

    Jamani wana jf mimi ni kati ya watu waliochaguliwa kujiunga na chuo cha kairuki lakini jina chuoni halipo cha kushangaza ukienda chuoni wanasema rudi tcu ukienda tcu wanakwambia,ukiona jina chuoni halipo basi chuo kimekukataa yaani huna sifa za kujiunga na chuo hicho. sasa swali kazi ya tcu ni...
  9. I

    Kuhusu kuwa admitted in tcu

    ndugu zangu wana jf inamaana kuwa ukiambiwa kuwa umekuwa admitted,kwa hiyo inamaana kuwa wewe tayari umepata chuo na mkopo au tutasubiri kuambiwa kuwa umechaguliwa lakini mkopo hupati au vipi?.
  10. I

    Hospitali Kwa Kairuki Ni Wauwaji, Dk Makuka Utawamaliza Watu

    wewe unaonekana ni kati ya wale ambao mnapenda kuwaelekeza ma dr kazi za kufanya yaani kuwaelekeza jinsi ya kutibu wagonjwa wakati yeye ile elimu hakuokota barabarani,halafu inaonekaka unaamini nguvu za giza,kaka ungekuwa na wewe dr ungetuambia mgonjwa wako alikuwa kisukari cha aina gani na...
  11. I

    Natafuta mchumba wa kuowa

    mimi idukilo natafuta mchumba wa kuowa ,awe na sifa zifuatazo 1) mmcha mungu 2) awe na elimu kuanzia kidato cha nne 3) awe na urefu usizidi 165cm 4) asiwe mnene sana au mwembamba sana,awe size ya kati 5)rangi ya asili maji ya kunde 6)miaka kati ya 20-24 mimi, urefu wangu ni 165cm kilo 60kg maji...
  12. I

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    jamani wana jf naomba mnisaidie kimawazo hivi ni kweli asilimia kubwa ya watanzania ni wavivu wa kufanya kazi hasa za mikono na hawapendi kufikiri sana?.
  13. I

    Inahusu tcu

    nauliza hivi mimi mpaka leo hii selection zangu hazija onyesha kwamba ni eligible or not eligible na vigezo ninavyo je ni kwamba muda bado au kuna kitu nimekosea lakini nimekuwa nikilogi in sikuona kama kuna tahazari yoyote iliyotokea kana kwamba kuna sehemu nimekosea,naombeni mnisaidie.
Back
Top Bottom