Search results

  1. S

    msaada,wakujua iy, benki,

    mienipo omani nataka kujua iy benki Barclays, iposehemugani kwahapa omani kwa anae juw anifahamishe
  2. S

    msaada wa mawazo yabiashar

    naomba mchangowenu ninapesakidogo mll.2 naitaji mchango wamawazo nataka biashara mbili moja nikufungua duka languo nyingine nikufungua kibanda cha chipsi mkoa morogoro je niipi inaweza kunitoa kati yaizi mbili nifanye mojawapo
  3. S

    msaada waili

    naomba kwaanae fahamu bey za betkava anajulishe awuzile blanketi nzito zamanyoya nazinapatikana wapi kwahapo daa
  4. S

    msaada wadawa

    Napenda kujua dawa zakiasili zinazotibu weusi chini ya macho
  5. S

    msaada wabiashara

    Nina mili 3 nataka kuanzisha bia shara mkoa wa morogoro je nibiasharagani inayolipa kwamkoa ule kwani mie nimgeni wa hapo
  6. S

    msaada mtaji wa moja nanusu.miliyoni.

    Miliyonimoja nanusu mkoa wa morogoro naweza kufanyia biashara gani.ambayo itanilipa
  7. S

    msaada nifahamisheni mshaharA wawalimu

    Msaada naomba kufahamu mshahara wawalimu wa sekondar
  8. S

    biashara yaduka languo

    Kwaanae fahamu bia shara ya duka languo nimkoa gani linatokasana kibiashara
  9. S

    Msaada: Bei za kodi ya Chumba na Frame.

    Wana Jamvi habari zenyu? Naomba msaada kwa anae fahamu kodi ya chumba pamoja na flemu ya duka kwa mkoa wa Mbeya ni Kiasi gani?
Back
Top Bottom