msaada wa mawazo yabiashar

sharura

Member
Jul 8, 2012
15
0
naomba mchangowenu ninapesakidogo mll.2 naitaji mchango wamawazo nataka biashara mbili moja nikufungua duka languo nyingine nikufungua kibanda cha chipsi mkoa morogoro je niipi inaweza kunitoa kati yaizi mbili nifanye mojawapo
 
Zote zinakutoa ila ujitahidi kupata centa nzuri pia kwa 2mil. kwa kibanda cha chips ni kubwa sana ila kwa duka la nguo kwa mwanzo utatoka kigumu hivyo hivyo endapo utapata centa nzuri. Nguo niza mtumba ama dukani?
 
Ukiwa na centa zinalipa pia moro na dar si mbali k.koo kuna maduka ya jumla na nguo za bei nzuri tu na ukijenga uhusiano mzuri pamoja na uaminifu kuna baadhi wanaweza kukupa hata kwa mkopo
 
Ningelikuwa ni mimi, ningelieanza kwa utafiti mdogo wa hizo biashara mbili na kuangalia vifuatavyo:
i- Ipi kati ya hizo biashara mbili watu wanaihitaji zaidi?
ii- Ukubwa wa hitaji hilo ikoje?
iii-Je mtaji ninao wa kuanzisha hitaji likiongezeka nitauongezaje ili nisipoteze soko
iv- inaweza ikawa inahitajika je malighafi yake inapatikana kwa urahisi?
v- je ninaweza kupata sehemu ya kuiweka ambayo wateja wataiona vizuri ili iwe rahisi kwangu kujitangaza
vi- ushindani ukoje na nina jiandaa vipi katika kuhakikisha nitadumu kwenye ushindani, nitajitofautishaje na wenzangu ili wateja waweze kuja kununua katika biashara yangu
Kila la heri Sharura!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom