Search results

  1. Electron

    Ajira kwa wageni zatinga katika taasisi muhimu za serikali

    ....basi kushughulikia hilo nalo utasikia imeundwa tume!
  2. Electron

    Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

    Huu ni mfano wa kuigwa! Sasa huwa naona WanaJF wakiguswa na hoja za mtu either positively au negatively huhoji maana ya majina ya wahusika.... Filikunjombe nafikiri inaweza kumaanisha pilipili kali.... inayodumu kuwa pilipili bila kujali imewekwa 'mdomo' wa nani!...
  3. Electron

    Lusinde: Tuondoe picha za wanyama kwenye fedha za Tanzania...

    Mh! Hii nchi yetu bado sana.... Cha kusikitisha zaidi ni kwamba hat ninawaamini kuwa wana busara upande wake wamekaa kimya... kuashiria kwamba wanaona aropokayo huyu ni sawa tu!
  4. Electron

    Aibu ya kitaifa kwenye ujio wa Rais wa China: Tunakipuuza Kiswahili mbele za wageni?

    Asalam aleikum wadau! Jana kwenye utiaji saini mikataba kati ya China na Tz, tulishuhudia msemaji wa Ikulu, Bw. Salva Rwemamu akitumia kimombo. S Nili-notice rais wa kichina akitabasam na kutingisha kichwa baada ya msemaji wake kumaliza kutafsiri kwa lugha yake. Sina hakika kama hajui kimombo...
  5. Electron

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    I'm neither much into politics nor aligned to any political affiliation, but you seem to of flimsy propositions and a mediocre, pole.
  6. Electron

    PICHA: Rais Jakaya Kikwete alipoongoza kikao maalum cha Baraza la Mawaziri

    Mkuu nakubaliana na wewe kweli hii picha lazima imeibua maswali magogoni! alipiga nani? kwa nini haikuwa censored? etc
  7. Electron

    Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

    teh teh teh teh........ mwizi akikiri ameiba kinachofuata ni hukumu" hapo ina maana madaktari walioomba msamaha imekula kwao?
  8. Electron

    Kilicho nyuma ya madaktari kuomba radhi ni maagizo toka juu

    madaktari njaa hao, they should have considered give and take much earlier, baada ya kugundua kuna kusalitiana miongoni mwao, badala ya kujibebesha aibu namna hii............... JE MADAI YAO HAYAKUWA YA MSINGI????
  9. Electron

    Wabara wanaoishi Zanzibar kupewa vitambulisho vya wageni Zanzibar

    Uamsho wataandamana na kuchoma nyumba zao, tena wakitokea kwenye nyumba za ibada!
  10. Electron

    Revealed: Viongozi Jukwaa la Wahariri walimwalika Nchimbi katika maandamano

    Du binafsi pia niligubigwa na utata kwa kauli nzuuuuuri za upole wenye kubembeleza za Meena, nikajiuliza sana ni mimi tu nina hisia za 'utovu' nidham kwa mtu kama yule ambaye anapaswa kuwajibika kwa yaliyotokea au??? naweza nisikumbuke sawasawa lakini maneno ya Meena yalikuwa kama......"Nchimbi...
  11. Electron

    Uchaguzi mdogo wanukia Sumbawanga Mjini

    sirikali-ccm na mahakama yake itapiga jungu hapo utashangaa kuambiwa rufani ishawasilishwa wanavunja katiba hao kila siku.............. wanajua wakigombea watapoteza, wakikata rufaa kesi itavutwa mpaka uchaguzi ujao.....
  12. Electron

    Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

    Bomu hilo aka kitu kizito chenye ncha kali of course unajua wapi linapotokea....
  13. Electron

    US Ambassador to Libya has been killed

    mkuu si ofisi ya ubalozi tu kama ilivyo hiyo ya hapo dar (aka "drive-in")
  14. Electron

    US Ambassador to Libya has been killed

    Huko Benghazi alikouwawa ndipo palipokuwa chachu ya USA na washirika wake kuanzisha mapambano ya kivita baada ya Gaddafi kutangaza kwenda kuwachinja wabenghazi wote
  15. Electron

    Uchaguzi mdogo wanukia Sumbawanga Mjini

    Mh this is very serious, MUNGU awarehemu na kuwasamehe, na wakatubu la sivyo wataoza wanajiona
  16. Electron

    US Ambassador to Libya has been killed

    My take: This event will perhaps intensify and change the dynamics of the on-going US presidential election campaign! And possibly a shift for enhanced security detail/protocol for the US ambassadors and may be, may be an unusually tighter White House grip on censorship of US based films!
  17. Electron

    Sasa Nimeamini TBC ni Chama kidogo cha CCM na si Chombo cha habari

    Ah we hujui TBC ilikufa alipoondolewa Tido Mhando, sasa hivi kuna TBCCM
  18. Electron

    Nafikiria kuishi hivi...... naomba ushauri.

    utaenda likizo kwa muda mfupi tu but soon utatamani tena, mind you simaanishi ile habari ya uta*u..... Namaanisha wishing to have someone who will love you unconditionally, and striving to bring the best out of you.... and you to do the same Unfortunately for you (I would say), we were...
  19. Electron

    US Ambassador to Libya has been killed

    American ambassador to Libya, J. Christopher Stevens, and three officials were killed when a mob attacked the US consulate in the eastern city of Benghazi, the interior ministry said on September 12, 2012. The envoy died when an armed mob protesting against a film deemed offensive to Islam...
  20. Electron

    Chadema Mwanza inahesabu siku za uhai wake trust me....

    amerudi wakati wa sekeseke la uchaguzi ccm, very convenient.... wachumia tumbo wote hao
Back
Top Bottom