JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
ULIMBUKENI TU. Ingekuwa RWANDA president KAGAME angepiga kinyarwanda na msheheshaji hivyohivyo ingekuwa kazi kwa mgeni kutafuta mkalimani. Haka kanchi ndio maana wazungu wameamua kuanza nako kukatawala upya. maana toka rais wetu mpaka wananchi wanapenda kutawaliwa.WAKO WAPI AKINA KIBANGA WA KUMPIGA MKOLONI??