KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,724
- 12,084
Twiga na chura wa Kihansi walishapandishwa ndege.
hivi kukopa nako siku hizi ni tatzo? vp hao walioiba twiga?
Kufel sio kutokujua,.hivi kwel na wewe unasapot picha ndo inayodetermine value of money in the market,hii nchi kweli vilaza wako wengi,hivi hizo international trade mnafanyaje simnaibiwa sana,nenda kasome money market utajua.,mnatutia aibu tena viongozWeka yale matokeo ya mbowe tuone division ziro za huyo mzaliwa uhuru.
Amesema hivi:
"Sarafu yetu ya shillingi inazidi kuporomoka dhidi ya sarafu nyingine kwa sababu ina picha za wanyama, na kushauri kwamba ili kuinua thamani ya shillingi, tuondoe wanyama wote kwenye fedha zetu na kuweka picha ya nyerere na karume tu"
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Dogo nenda shule ukasome mnatuaibisha bungeni,chadema sio taasis ya mikopo haina reserv BOTKukopa si kosa , slaa kajikopesha .. mbinafsi sana Yule babu ..
Anataka kumfananisha na kilaza Lusinde.,imagine kungekuwa East African Currence Lusinde ndo kachangia hoja kwenye bunge la EA maweeeeeeeee...mkuu, mawazo unayotoa yananipawasiwasi nawe kama umesikiliza au umeanza vituko maeneo haya. SLAA unamhusisha vipi na mawazo ya Lusinde?
Hata jembe la kichina ni zuri pengine useme ni jembe la kuchora......ana laana kichwani eti alikua anahojiwa BBC mmmhhh niliishia tu kucheka
Lusinde jembeeeeee. Tumewazoa kila anayewapiga mnamwita kilaza. Kwani slaa hakujikopesha hela. Hana mtoto mchanga
Unategemea nini kutoka kwa darasa la saba? Hopeless. Hata nguo aliyokuwa amevaa haikuwa imenyooshwa.Kauli hii aliyotoa huyu Mheshimiwa Bungeni leo sijaielewa kabisa, Labda ni upeo wangu finyu kuelewa au ni upeo wake finyu kufikiri! Tafadhali kama anapita hapa akifafanua itakuwa jambo jema kwetu wananchi, au wachumi walioko humu watusaidie. Yaani matatizo yoote yanayoikabili shillingi ya Tanzania dawa yake ni kubandika picha ya Nyerere na Karume tu?....so simple! OMG!
tumeshakuzoea wewe na tabia yako ya kusifia wanaume mara oooh mwigulu is the man leo lusinde jembee anakulimaga nyuma nn??
Acha uvivu wewe cv zao sipo kwenye website ya bunge, naona itabidi tuombe ya kwako kabisa kutokana na uvivu wa kutafuta informationmwenye cv yake aiweeke hapa.maana huyu jamaa kama vle anatakiwa awe milembe analeta udaku bungeni.
Anataka kumfananisha na kilaza Lusinde.,imagine kungekuwa East African Currence Lusinde ndo kachangia hoja kwenye bunge la EA maweeeeeeeee...