Search results

  1. K

    Warioba: Tutarajie Katiba ya watawala

    Jaji Warioba amenukuliwa leo na gazeti la Raia Tanzania akisema kitakachopendekezwa na Bunge la Katiba Dodoma ni Katiba ya watawala na si Katiba ya wananchi, anatoa mifano juu ya kinachoendelea yaani Sitta anakusanya maoni ya vikundi vya kiutawala kama ALAT. Je, yuko sahihi? Wananchi...
  2. K

    Ikulu ilivunja Tume ya Katiba kimya kimya bila wajumbe kujua

    RAIS Jakaya Kikwete ameivunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika hatua ambayo imewashutukiza wajumbe wa Tume hiyo, imefahamika. Taarifa ya kuvunjwa kwa Tume hiyo, maarufu sasa kama Tume ya Warioba, iliyokuwa chini ya uenyekiti wa Jaji Joseph Warioba, ilisambazwa jana Jumatano na Ikulu...
  3. K

    Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum...
  4. K

    Nape awatimua management ya Mtibwa kwenye msafara wa CCM Turiani

    Nape leo kacharuka kwenye msafara wa CCM uliokuwa ukiongozwa na Kinana na kuwatimua kwenye msafara huo watendaji wakuu wa Mtibwa sugar kwa madai kuwa uwepo wao kwa jinsi wanvyoishi na wakulima wa miwa mtibwa wanachafua sura ya ziara hiyo. Nao jamaa kwa mshangao huku vichwa vikiwa chini...
  5. K

    Tsunami ya Kinana yaimaliza CHADEMA Gairo

    Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana. Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko "hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani...
  6. K

    Nape: Chadema tumewazoea kuzira ndio tabia yao!

    Nape kawaambia wananchi wa Ruaha kuwa wasihofu tishio la Chadema la kutaka kujitoa kwenye mchakato wa katiba kwani imekuwa tabia yao kuzira kila kitu nakwamba siku walizotoa kumi na tano ni nyingi mno bora wajitoe leo na sio kusubiri siku kumi na tano ni nyingi sana!
  7. K

    Serikali na matangazo ya kudhibiti ufanisi wa maandamano ya CHADEMA

    Wakuu mmeliona tangazo la Mhogo mchungu akiwaomba vijana wa bodaboda kuandamana halafu wao wanamjibu kuwa wamechoka kutumiwa??? Kama umeliona maana yake nini? Nani kafadhili tangazo hili?
  8. K

    Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jana Aprili 3, 2013, mmoja wa Viongozi wa ngazi ya juu wa Chadema alitoa tuhuma dhidi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa kupitia kampuni ya Chama ya Jitegemee Trading Company, CCM imeingia mkataba na Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) kwenye mradi wa upanuzi wa Bandari...
  9. K

    Mbowe na Nape washangiliwa tamasha la pasaka

    Tamasha la pasaka uwanja wa taifa lazizima baada ya Mbowe na Nape kutambulishwa
  10. K

    Mtifuano CHADEMA: Lissu na Dr.Slaa wapishana sakata la Lwakatare!

    Kwa muda sasa vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kauli tofauti za viongozi wa CHADEMA juu ya sakata la Lwakatare na mipango ya utekaji nyara kwa waandishi wasiounga mkono CHADEMA. Wakati Dr. Slaa katibu mkuu wa CHADEMA akidai mkanda ule umetengenezwa na Usalama wa Taifa na sio mkanda halisi...
  11. K

    Things Fall Apart in CHADEMA

    Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya CHADEMA, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare. Hakika things are falling apart!
  12. K

    Wanahabari watashabikia CHADEMA dhidi ya Usalama wao?

    Nipo makini kufuatilia mwenendo wa media katika hii kamatakamata ya watuhumiwa wa kutekwa, kuteswa na kuumizwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, na kuteswa wanahabari kwa ujumla wao kwani haijulikani nani atafuatia kung'olewa kucha na jicho baada ya Kibanda. Nataka kuwaiti...
  13. K

    Kinana na CCM wahusishwa ushindi wa Kenyatta

    Masaa machache baada ya kumalizika kwa zoezi la kuhesabu kura nchini Kenya wanazi wa siasa za Afrika na Afrika Mashariki CCM chini ya jangili mzoefu( srategist wa jeshi mstaafu) sasa kuna ushahidi wa wazi juu ya kuhusika kwao na uchakachuaji wa kura kumfanya Kenyatta mtoto wao kushinda kwa...
  14. K

    Is CCM behind Uhuru Jomo Kenyatta?

    Uhuru Kenyata kijana wa Mzee Jomo Kenyata,zao la KANU chama pacha wa CCM kuna kila dalili kuwa CCM wako nyuma ya Uhuru na kwa tafisiri rahisi CDM wako nyuma ya Raila Odinga. Nani atashinda? Je matokeo yatakuwa na impact kwa siasa za Tanzania hasa kwa 2015?!!
  15. K

    Kamanda Mnyika jibu mapigo haya!!

    Kamanda najua yako nzuri kuliko hii lete kamanda wangu....watu wa karibu na kamanda msaidieni kuleta maana najua yuko busy na ukombozi wa Taifa
  16. K

    MEDIA Tanzania YAPUUZA UZINDUZI WA KANDA WA CHADEMA

    Jamani mbona hakuna media hata moja inayo riport uzinduzi wa hizo kanda za Chadema!??????
  17. K

    Nape aua Kasulu, awamaliza wapinzani

    Nape leo kawamaliza upinzani Kasulu na kaondoka uwanja wa tax mjini kasulu huku akisindikizwa na wananchi wakimshangilia kama shujaa... Kamwagiza DC kumaliza tatizo la kutoka maji machafu mjini Kasulu mpaka kufikia tarehe 2/2/13 awe amempa taarifa ya wapi amefikia... Ameeleza jinsi jk...
  18. K

    Nape si mzima!!

    DR. SLAA NA KADI YA CCM, NA UNAFIKI WA WATETEZI *WAKE Kwa muda sasa wa karibu wiki tatu au nne pamekuwa na mjadala mkubwa juu ya kumiliki kadi ya CCM kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na padri aliye asi Dr. Wilbroad Slaa.Mjadala huu umeingiza watu wengi sana kwenye maeneo mbalimbali lakini ukigawa...
  19. K

    Mangula: Tuliwang'oa Manji na Thomas Nyimbo kwa rushwa

    Baada ya mashambulizi kutoka kwa Dk.Kitila Mkumbo Kama alivyoandika wiki Jana katika makala yake Raia Mwema, Mangula katika Gazeti la Raia Mwema Leo anatoa mfano ya kuwa kuwang'oa watoa rushwa za uchaguzi akimtaja Manj na Thomas Nyimbo aliyewahi kwenda CHADEMA baada ya kukatwa jina CCM na akina...
  20. K

    Congo: Rais Kabila amfukuza kazi Mkuu wa Majeshi

    Mkuu wa Majeshi Kongo, Jenerali Gabriel Amis amefukuzwa kazi na Rais Kabila kwa tuhuma za kuwasaidia silaha waasi. Chanzo cha habari ni BBC.
Back
Top Bottom