Nape awatimua management ya Mtibwa kwenye msafara wa CCM Turiani

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Nape leo kacharuka kwenye msafara wa CCM uliokuwa ukiongozwa na Kinana na kuwatimua kwenye msafara huo watendaji wakuu wa Mtibwa sugar kwa madai kuwa uwepo wao kwa jinsi wanvyoishi na wakulima wa miwa mtibwa wanachafua sura ya ziara hiyo.

Nao jamaa kwa mshangao huku vichwa vikiwa chini nikashuhudia wakiondoka kwenye msafara huo.

" nani kawaalika kwenye msafara huu? Ondokeni sitaki kuwaona kwenye msafara huu, mna uhusiano mbaya na wakulima, mnawadhulumu wakulima na manataka kujificha kwetu!!?
 
haya yanaweza kuwa maneno ya Nape kweli?


QUOTE=Kageuka;6169155]Vuvuzela wa CCM Nape leo kacharuka kwenye msafara wa CCM uliokuwa ukiongozwa na Kinana na kuwatimua kwenye msafara huo watendaji wakuu wa Mtibwa sugar kwa madai kuwa uwepo wao kwa jinsi wanvyoishi na wakulima wa miwa mtibwa wanachafua sura ya ziara hiyo.

Nao jamaa kwa mshangao huku vichwa vikiwa chini nikashuhudia wakiondoka kwenye msafara huo.
" nani kawaalika kwenye msafara huu? Ondokeni sitaki kuwaona kwenye msafara huu, mna uhusiano mbaya na wakulima, mnawadhulumu wakulima na manataka kujificha kwetu!!? Ondokeni"![/QUOTE]
 
Jamaa moja ananiambia ni kweli na alihoji ushiriki wa Mkapa kwenye kiwanda hicho....loading....
 
hao watendaji wa mtibwa sugar hawana akili.... Au mtibwa inamilikiwa na ccm mpaka waambatane nae? Je chadema au cuf wakienda wataambatana nao au wanajishaua tu?
 
Back
Top Bottom