Search results

  1. Gaelle

    Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?

    lakini sio rahisi kama unavyosema unajua?
  2. Gaelle

    Wadada tu ndoo wachangie hii hoja

    hukumpenda huyo dada... mwanamke anataka kubembelezwa bwana.
  3. Gaelle

    Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?

    wadau tuchangie hiyo.....
  4. Gaelle

    nikiwa na 40mil naweza jenga nyumba ya namna gani....

    wadau nisaisieni nikiwa na kama 40mil naweza jenga nyumba ya namna gani kwa hapa dar
  5. Gaelle

    ni biashara ganii inayoweza kukuingiza kipato kizuri?

    kama mtu anahitaji kufanya biashara ungemshauri aanze na biashara gani ili imsaidie kumpa kipato....
  6. Gaelle

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    peace leloch... next tym will gv out topic yenye maana samahani kwa kukukwaza.... weekend njema leloch peace & love
  7. Gaelle

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    does it mean huna cha kuchangia ronn?
  8. Gaelle

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    mh katavi t seems unapenda kipochi
  9. Gaelle

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    hata wanaume mnaweza nisaidia tena nyie ndio mnajua mnataka nn?
  10. Gaelle

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    hahhaha msinicheke wadau ndio maana tuko humu kuelimishana...well thanx jmn vingi mmeniambia nafanya kwakweli then mume wangu must b proud 2 have me.:tonguez::teeth:
  11. Gaelle

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    thanks smile.... lakini hicho kipochi ulimaanisha wallet? wat f km hatumi wallet?
  12. Gaelle

    Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

    what i believe m2 kucheat ni tabia yake tu.... na sio kweli ol men chaet hiyo nakataa though asilimia kubwa wanacheat
  13. Gaelle

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    Jamani wadau naomba mnisaidie ni zawadi gani naweza mpatia mume wangu.... nisaidieni.
  14. Gaelle

    Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

    hello people...am new in this forum
Back
Top Bottom