Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?

kuna watu wanasemaga ni bora mumewe acheat lakini isijulikane na watu maana itakua aibu kwake. So akicheat kwa kuficha sijui ndio atafurahia.
 
vumulia, take your tym usijefanya desicions za ajabu, ni mume wako, piga magoti muombee aliyewaunganisha, atayamaliza! ni msalaba wako hivyo kuachana si solution, rekebisha unapodhani ulikosea mpaka ikabidi atoke nje, mueleze kwa upendo kuwa unaumia na unatamani arudi kwako tena, akupe nafasi nyingine tena! my opinion tu!
 
lakini sio rahisi kama unavyosema unajua?
 
Kila jambo lina sababu, kabla ya kufanya uamuzi wowote pata sababu iliyopelekea kucheat. Binadamu si wakamilifu tuna udhaifu na wakati mwingine udhaifu huo utupelekea kufanya vitendo visivyo sahihi na nafasi ya kujirekebisha huwa ipo siku zote.
 
Ladies, ladies calm down tafadhali....hivi hili andiko la samehe saba mara sabini lilikuwa limelenga nn hasa?
Kama ni kumuacha subiri umkamate mara ya 490
 
vumulia, take your tym usijefanya desicions za ajabu, ni mume wako, piga magoti muombee aliyewaunganisha, atayamaliza! ni msalaba wako hivyo kuachana si solution, rekebisha unapodhani ulikosea mpaka ikabidi atoke nje, mueleze kwa upendo kuwa unaumia na unatamani arudi kwako tena, akupe nafasi nyingine tena! my opinion tu!

Umenifanya nitamani kuwa mme wako mdogo..if only twas possible!
wea do we get such ladies nowadays!?? cacico, huna hata mdogo wako ambaye hajaolewa!??
 
Last edited by a moderator:
wadau tuchangie hiyo.....

Ukigundua hilo kama ni mumeo wa ndoa fanya yafuatayo.

  • Tumia mbinu yeyote ile ili umfumanie live akicheat, najua huwa ngumu lakini kwa msaada wa Mungu unaweza kufanikisha hili.
  • Utakapomfumania, be calm tafuta tabasamu usoni kwako, usifanye fujo wala nini.Kama umewakuta hotel go and kiss your husband, mpe nguo avae then kwa ukarimu kabisa tell him kuwa nimekusamehe mume wangu mpenzi!Take a taxi au kama ana usafiri wake au wako drive him home. Toka hapo pretend as if nothing has ever happened, najua atapunic ila we mwambie nimekusamehe husband coz wewe ni binadamu you arent perfect.
  • From there be kind to him, love him more than before the incidence and above all SALI SANA TENA JITAIDI KUSALI USIKU WA MANANE KAMA WE NI MKRISTO. Nakuhakikishia Mumeo atabadilika.
NOTE:
Theoretically this thing is very simple but practically ni ngumu sana pasipo msaada wa Mungu
 
Ntazungumza nae kwa upole nijue msimamo wake kama anajutia alichokifanya nitamsamehe lakini kama hajutii na wala hana mpango wa kuacha mmmh!sijui itakuaje..
 
vumulia, take your tym usijefanya desicions za ajabu, ni mume wako, piga magoti muombee aliyewaunganisha, atayamaliza! ni msalaba wako hivyo kuachana si solution, rekebisha unapodhani ulikosea mpaka ikabidi atoke nje, mueleze kwa upendo kuwa unaumia na unatamani arudi kwako tena, akupe nafasi nyingine tena! my opinion tu!

Ndo maana Young Master kafika bei ile mbaya,kumbe busara ipo!
 
Umenifanya nitamani kuwa mme wako mdogo..if only twas possible!
wea do we get such ladies nowadays!?? cacico, huna hata mdogo wako ambaye hajaolewa!??

Ili uwe unamchiti akuvumilie eeh???
 
Last edited by a moderator:
Ili uwe unamchiti akuvumilie eeh???

Nooo Kaunga, umeni-quote vibaya, yaani kama anaongea hivyo kwa a cheating husband..sasa mimi si ndo tutapendana kabisa maana av neva ever thought of cheating...
yaani am virtually falling in love with cacico!
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom