Hi all
Naomba kufahamu namna ya kujua sufuria bora za non stick maan saiv kila kona non stick. Haya wataalamu na wazoefu wa vyombo hivi tiririkeni.
Natanguliza shukrani
CL
Bwana Yesu Asifiwe!
Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!!
Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu.
Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
Hi all….
Hivi karibuni naona kuna kitu ambacho kinazidi akilini/mawazoni mwangu.
Kwa mfano nikiwa namuwaza mtu muda sio mrefu ananipigia, au nikiwa nimeacha simu mbali afu nikamkumbuka mtu nakuta missed call zako.
Au simu ikiwa mbali nikaisikia inaita namuhisi mtu anayenipigia ni nani na...
Hamjamboje wanajamvi
Naomba kufahamu ni vituo gani vya mafuta (Petrol station) vinavyotumia mfumo wa kadi na visivyo na usumbufu? Pia isiyochakachua pump zao. Mfano unahitaji kuwekea kadi yako sh. 100,000/- kisha ukawa unafika kituo cha mafuta wanakata kwenye kadi mpaka hapo itakapokwisha then...
Kwa kuanza tuwaombee dua wanetu, wajukuu zetu, wadogo zetu wanaofanya mitihani yao leo na kesho...
Turudi kwenye mada,
Nakumbuka siku moja kabla ya mtihani wangu wa darasa la saba tulikwenda shule kuosha madawati, tulikuwa na viwembe kukwangua michoro na maandishi yote kwenye madawati. aisee...
Habari za leo wana jukwaa, habari hii hapa chini si ya kwangu ila ni ya rafiki yangu.
Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi katika Hospitali ya Burere kama Muuguzi kuanzia mwaka 2008 mpaka tarehe 26/12/2011 siku ambayo sitaweza kuisahau katika historia ya...
Habari za mchana waungwana,
Huwa najiuliza huyu aliyevumbua bra aliwaza nini? Hebu fikiria kusingekuwa na bra hivi tungeishije wanawake...
Yaani bila bra wengine tusingetoka ndani...
Kudos kwa aliyevumbua
CL
Habari wadau wa jukwaa hili
Nina shida ya kuonana na Hoyce Temu, ninahitaji kufahamu je kipindi chake cha Mimi na Tanzania kinaendelea?
Je ofisi zake ziko wapi? Naomba kuelekezwa au hata mwenye namba yake ya simu naomba anitumie inbox.
Wasalaam
CL
Hamjamboje wanajamvi
Wahusika tunaomba msaada wa matengenezo ya barabara ya Azikiwe eneo la mbele ya Bank ya NMB Maktaba House. Kile kipande kimekuwa kero kwa sisi wapitaji...
Sijui wahusika hawalioni hili??? Ujumbe uwafikie khaaa....
Wasalaam
CL
Igweeeeeeeee.....!!!!!
Ikiwa kesho ndio mwisho wa mwezi wa nne (April) sijasikia tetesi zozote kuhusiana na sherehe hizi... Je hakuna maadhimisho tena au Antenna yangu ndio iko analogy???
Wanajamvi hamjambo...
Nahitaji kununua simu yenye black background maandishi yanakuwa meupe ninapoandika sms.
Ninayo simu ya aina hiyo lakini haisupport baadhi ya application.
Je ni simu gani inaweza kuwa na hiyo features???
C.c. @chiefmkwawa
Hamjambojeeee.....
Wanajamvi, je ni sahihi kuwalaza watoto chumba kimoja pamoja na wageni???
Fikiria umepata mgeni, una chumba chako, cha watoto wa kike na wakiume. Mgeni ni mwanaume, je unamruhusu alale pamoja na watoto wa kiume???
Mgeni ni mwanamke je utamruhusu alale na watoto wa kike...
Hamjamboje wana jukwaa...
Samahani kama hii mada itakuwa imeshajadiliwa, mnaweza kuiunganisha iwapo tayari imeshajadiliwa...
Nauliza kuna uhusiano gani kati ya unywaji wa mafuta kwenye garu na uwashaji wa AC..
Kuna siku tulikuwa tunabishana sana mahali fulani. Mwingine alisema ukiwasha AC...
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.
Mwenye habari kamili atuhabarishe...
Habari wanajamvi,
Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu
Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.
Kinachonishangaza hawaendi...
Nguvu Ya Rangi Katika Biashara Zetu
Na: Albert Sanga, Iringa.
Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja. Kampuni moja ya nchini Tanzania miaka michache iliyopita imewahi kutambulisha bidhaa zake za juisi...
Igweeeee.......
Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya.
Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea.
Wadau hii ni kweli???
CL
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?
Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.
Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.