Je ni sahihi kuwalaza watoto....

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,257
12,877
Hamjambojeeee.....

Wanajamvi, je ni sahihi kuwalaza watoto chumba kimoja pamoja na wageni???

Fikiria umepata mgeni, una chumba chako, cha watoto wa kike na wakiume. Mgeni ni mwanaume, je unamruhusu alale pamoja na watoto wa kiume???

Mgeni ni mwanamke je utamruhusu alale na watoto wa kike???

Je unaweza kuhamisha godoro la ziada ukamwekea mgeni sebuleni akalala na watoto wakabaki chumbani?



Je utahamisha godoro la ziada chumbani na kuwawekea watoto
sebuleni wakampisha mgeni akalala chumbani?

Je utafanyeje??

Karibuni kwa maoni....

CL
 
Back
Top Bottom