Search results

  1. N

    Batch ya kwanza yatolewa hlssf.

    haya sasa batch ya kwanza imetolewa hapa na ndugu zetu hawa hivyo check kama jina lako lipo kama halipo basi subiri batch ya pili na ya tatu Home!
  2. N

    Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima

    kwa wale ndugu amabo wameshawahi ku appel miaka ya nyuma au wanajua mambo fulani kuhusu ku appel wanipe maneno hapa nlitaka kujua prosec nzma pia nlipnda kujua huwa yanatoka lini hayo majibu?
  3. N

    Mimi ni mwanafunzi niliemalza kidato cha sita na kufanikiwa kuingia chuo kikuu ila nsina uwezo

    mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kuingia chuo kikuu cha ifm kuchukua degree lakini sina uwezo kwa sasa na hata mkopo sikubahatika kupata baba yangu alikwisha faliki miaka mingi liyopita na mama yangu amepunguzwa kwenye ajira yake hivyo nilikuwa nnapenda kuchukua fulsa hii kuomba msaada wa...
  4. N

    Nini hatima yetu sisi ambao tunavigezo lakini hatujaona mikopo nashindwa kuelewa mana mikopo siielew

    Ivi jaman mm nataka kujua kwanini inakuwa hivi au tatizo ni nini watu wengne kuwa na criterias lakini hata asilimia 0 hamna itz not fair kwakweli heslb hata cielewi nifanye nini au ntafanya nini
Back
Top Bottom