Search results

  1. Nakapanya

    Naomba kujuzwa namna ya kupata kazi kwenye makamuni ya TBL, TCC, SBL

    Amani ya Bwana iwe nanyi Naomba kuuliza, hivi haya makampuni ya SBL, TBL, TCC KONYAGI na mengineyo huwa wanaapply vipi kazi hata kama hawajatangaza nafasi? yeyote mwenye insight please.
  2. Nakapanya

    Sauti mbaya ya injini

    Habari wataalamu, Kuna jamaa yangu ana verosa, tatizo la gari hii Ni kuwa inatoa mlio mbaya kwenye injini. Ukiwasha kwa mara ya kwanza, let say asubuhi inakuwa na muungurumo mkubwa sana, baada ya injini kupata inapungua lakini bado inakuwa na mlio siyo mzuri. Wataalamu tunaomba ushauri...
  3. Nakapanya

    Je hii ni kwa mahusiano yote?

    Kwanza niwatakie kheri ya mwaka mpya kwenu nyote ndugu zangu. Suala ninalotaka kuzungumzia Leo linahusu mawasiliano ya simu.Unakuta mtu mpo kwenye mahusiano,kwa siku mtapigiana simu Mara nyingi iwezekanavyo,tatizo linakuja MWANAMKE anataka muendeshe mahusiano Kama watoto Wa chuo,muda wote...
  4. Nakapanya

    Ni jinsi gani naweza kujilinda na udukuzi

    Wataalamu wa teknolojia naomba mnijulishe ni jinsi gani naweza kujilinda na udukuzi wa simu yangu.Kuna mtu ananifuatilia kujua nipo wapi kupitia namba yangu ya simu so nataka niepuke hali hiho.Msaada wenu tafadhali
  5. Nakapanya

    Je kuna sheria inayonilinda kwenye yafuatayo?

    Wadau wa sheria Naomba kujuzwa sheria za Tanzania kama zipo ambazo zinanilinda katika vipengele vifuatavyo a)Kama mtu/watu wanafuatilia mienendo yangu kupitia namba yangu simu.Hapa naamnisha mtu ananifuatilia kujua nipo wapi au eneo gani. b)Kama mtu/watu wanafuatilia maongezi yangu ya simu...
  6. Nakapanya

    TV E inakuja kubamba,mawingu hamna chenu

    Kwa wiki sasa nimekuwa nikiitazama hii Tv stesheni ya TV E.Kiukweli niseme nawapa sifa zifutazo:- 1. Logo yao ni nzuri sana na waliodesign hii logo nawapa credit za kutosha.Ukiangalia logo ya Clouds fm haina mvuto na hata waliodesign hawakuwatendea haki clouds. 2. Graphics zo ni nzuri sana hata...
  7. Nakapanya

    Genius Zitto Kabwe on Escrow

    Rais Magufuli aonyeshe hasira zake dhidi ya Ufisadi kwenye huu ufisadi mkongwe wa IPTL. Nimesoma ' arbitral award ' ambayo Benki ya Standard chartered wametunukiwa na ICSID ( case no. ARB/10/20 ) na kuumizwa sana kutokana na kwamba hoja zote ambazo zimetumika kuwapa ushindi SCB ndizo Kamati ya...
  8. Nakapanya

    Wadau mwenye nyimbo hizi za T.O.T BAND

    Kuna baadhi ya nyimbo za TOT band ambazo zilikuwa kwenye album yao ya kwanza na ya pili ambazo nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu sana.Nafikiri ndani ya JF haliharibiki neno na nina imani nitazipta kupitia kwenu waungwana. Nyimbo zenyewe ni "mpende akupendae" na wimbo mmoja hivi sikumbuki...
  9. Nakapanya

    Nini maana ya UKAWA?Malengo yake je?

    Masra ya kwanza nalisikia neno UKAWA ilikuwa ni kipindi kile cha bunge maalum la katiba.UKAWA yenye kumaanisha UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI uliundwa na baadhi ya vyama vya upinzani kwa lengo la kupinga na kukataa kuendelea kwa bunge la katiba na pia kuikataa rasimu ya katiba ambayo ilifanyiwa...
  10. Nakapanya

    Live Updates:Mbeya City vs Prison

    kwa mara nyingine Mji wa Mbeya umekuwa busy na shangwe nyingi sana,hii ni kawaida pale zinapokutana timu hizi mbili kutoka jiji la mbeya.Mashabiki wengi sana wanaipa sapoti timu ya Mbeya City na wachache sana wakiiunga mkongo timu ya Tanzania Prisons. Tunatarajia mpambano wa kukata na shoka na...
  11. Nakapanya

    Jamaa na tigo niwezeshe..

    Kuna jamaa alikopa Tigo niwezeshe,jamaa hakulipa deni lile kwa siku kama tatu hivi. Siku moja akiwa kwenye barabarani akaona hiace yenye maandishi,nembo na picha za tigo likielekea usawa wake,jamaa kuona hiace ile akaamua kukimbia vichochoroni akijdhani wale jamaa wa tigo wamekuja kumkamata...
  12. Nakapanya

    Ufafanuzi kutoka klabu ya soka ya Mbeya City FC

    HUU NDIIYO UFAFANUZI WA MASUALA YA MBEYA CITY FOOTBALL CLUB. Klabu ya Mbeya City Council Football Club leo 25/11/2014 inatoa ufafanuzi wa mbalimbali ikiwemo suala la utaratibu wa maslahi kwa watumishi wake (benchi la ufundi, wachezaji na watumishi wengine) na uwepo wa fedha za wadhamini...
  13. Nakapanya

    Enyi wake kwa waume zingatieni haya.....

    Kadhalika ninyi wake,WATIINI waume zenu kusudi ikiwa wako wasioliamini neno wavutwe kwa mwenendo wa wake zao . Kujipamba kwenu kusiwe kujipamba kwa nje,yaani kusuka nywele na kujitia dhahabu na kuvalia mavazi; bali kuwe na utu wa moyoni usioonekana katika mapambo yasiyoharibika yaani ROHO YA...
  14. Nakapanya

    Mjadala huru: TFF fanyeni haya kwa maendeleo ya soka letu

    Ndugu wana jukwaa wenzangu la michezo, Leo nimejikuta nimeamka nikikumbuka baadhi ya vitu kuhusu soka la Tanzania.Watanzania wengi wanapenda mpira ila mpira nahisi hautupendi ingawaje ni kutokana na uzembe wetu sisi wenyewe hasa viongozi wenye mamlaka ya kuliongoza soka letu. Hivi tujiulize...
  15. Nakapanya

    Hii tabia ya wavulana ikome

    Mapenzi ni starehe bwana,mapenzi kupeana raha. Siku hizi imezuka tabia ya mijitu hasa wavulana ( ndio nawaita wavulana kwani akili zao ni za kitoto hata kama ni wanaume),unakuta jitu linaacha kufanya kile kinachotakiwa kufanywa (mapenzi/sex) jitu linakazana kurekodi tendo lile kwenye visimu...
  16. Nakapanya

    Naomba msaada wa Software ya data recovery

    Wakuu habari; Naomba msaada kama kuna mru anaweza nipatia soft ya data recovery kwenye phone memory card,maana kuna vitu nilivifuta siku nyingi kidogo ila leo navihitaji kupita kiasi. Msaada tafadhali
  17. Nakapanya

    Simba na jezi za Adidas

    Kuna wwakati jezi za simba zilikuwa na logo ya adidas,swali ninalojiuliza mi kuwa je simba walidhaminiwa na adidasi ama ilikuwaje?
  18. Nakapanya

    Hiki wanachokifanya polisi Masasi sio sahihi kabisa

    Mara ya kwanza niliposikia milipuko ya mabomu wiki kama mbili zilizopita hapa Masasi mjini ilinistua sana nikajua vurugu zimeanza,mabomu yalikuwa yanapigwa katikati ya mji wa Masasi (kwenye kituo kikuu cha polisi Masasi). Nilistuka sana na nikataka kukimbia mtu mmoja akaniambia kuwa ni polisi...
  19. Nakapanya

    Video mpya ya Shetta ya kerewa

    Msanii sheta ametoa video ya wimbo wake wa Kerewa.katika wimbo huo aliomshirikisha Diamond Platinumz na video yake kufanyika Afrika Kusini hakika wameitendea haki. Wimbo mzuri sana na VIDEO yake nzuriiii sanaaa....big up Shetta NB.Omy Dimpoz inabidi ujifunze hata kwa Sheta sio unatoa wimbo...
  20. Nakapanya

    Naomba ushauri kuhusu biashara hii

    wadau naomba overview ya biasha ya simu na vifaa vyake (phone and accessories) katika maeneo yafuatayo: 1.Mtaji wa kuanza nao,je mtaji wa chini kabisa ninoweza kuanza nao ni kiasi gani?je milioni tano yaweza kufaa kuanza hii biashara? 2.Faida itokanayo na biashara hii,je inalipa? 3.Ugumu...
Back
Top Bottom