Search results

  1. G

    Mtendaji wa Ikulu na ujenzi wa majumba huko Morogoro

    kama msaidizi hivi, bosi wake itakuwaje?
  2. G

    Kuitwa Kazini NSSF

    Ikibidi wasiite tena NSSF waiite Muslim Social Security Fund (MSSF) itanoga. Nasisitiza watashitakiwa tu muda mambo yakiharibika. Wako wapi wanyarwanda waliochochea ukabila? kumbukeni mpaka wahariri wa magazeti na radio za vituo vilivyochochea ukabila vimeshtakiwa Rwanda. Udini sio mzuri...
  3. G

    Kuitwa Kazini NSSF

    Kwani bank (CRDB) ya serikali? Hapa tunajadili mali za umma. Nyie endekezeni udini, Okampo/ICTR inawangoja.
  4. G

    Kuitwa Kazini NSSF

    Nasikia kuna Uislam wa kufa mtu huko NSSF. Kama sio muislam hupati kazi. Nchi hii bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. G

    Waziri Chami amwaga chozi - Awataka watumishi wamuombee asiadhirike

    Napata shida sana, mbona Nyalandu na Malima wamerejeshwa kwenye baraza? Nasikia Nyalandu anafadhili WAMA ni kweli? Na huyo Malima je amewezaje kuwa msafi ndani ya wizara chafu kama Nishati na madini? Ninajiuliza sana sipati jibu.
  6. G

    JK kuifumua CCM - AITISHA GHAFLA VIKAO VYA CC NA NEC DODOMA

    Nimesoma kurasa fulani wameandika matatizo ya Chuo Kikuu cha Dodoma. Inafaa Kamati Kuu imshauri rais amwondoe yule Profesa wa UDOM anayekiharibu chuo. Mimi naona wanafunzi wanaomaliza vyuo ni watu hatari sana kuliko wazee wa vijijini. Tukitenda mema vyuoni CCM itakuwa inajihakikishia uwingi wa...
  7. G

    UDOM kuna tatizo! Ndani ya mwaka mmoja wanafunzi 890 watimuliwa chuo, JK walijua hili?

    Kumbe ni mtaalamu wa kiswahili tu fujo zote hizi? Kumbe hata 2X2 hawezi kujibu. Angesoma hata Jiografia tu si angesumbua zaidi. Mpeleke Bahrain akawe mkalimani, asaidie kukitangaza Kiswahili. Maprofesa kibao hawana kazi. Kwani Mwakyusa hawezi kuchukua nafasi kama yake. Mlachaaa, Mlachaaa...
  8. G

    UDOM kuna tatizo! Ndani ya mwaka mmoja wanafunzi 890 watimuliwa chuo, JK walijua hili?

    mbona mnajadili kwa utani suala nyeti kama hili? Mtu mmoja ajitolee kutoa maelezo ya kina ili rais alipate vizuri. Tuko kwenye wakati wa safisha serikali. Tuko serious na mambo yanayotuharibia hatutaki tena. Huyu mtu hawezi kutajwa kila siku kwamba ni tatizo halafu anaendelea kuwepo kuwa...
  9. G

    Jibu maswali haya kabla hamjamhukumu Maige kwa twiga

    Siamini kama twiga wametoroshwa na kusafirishwa kwenda nje ya nchi bila serikali kujua. Kinachonifanya nisiamini ni maswali haya: 1. Ni dhahiri kuwa maeneo ambako twiga wanaishi (mbugani) serikali imeweka watumishi mbalimbali wanaohusika na ulinzi na usalama. 2.ni dhahiri pia kuwa viwanja vya...
  10. G

    Kwa uteuzi wa Masele, Hakika sasa nimeamini Familia ya Kikwete ina Hisa kwenye Madini

    Acheni ujinga. Kwani hamjui? Soma hapa chini: Jk+rostam aziz+msekwa+masha+ngeleja+ridhiwani=vodacom jk+rostam+ngeleja+masele=migodi ya madini and barick gold mines kikwete atashtakiwa tu akishaacha urais. Nashindwa kujua kwanini anatembelea sana barick. Tutajua mengiiiiiiiiiiiii akishastaafu.
  11. G

    Jk bado anaendekeza wanamtandao, sahau maendeleo nchi hii hadi aondoke

    Baada ya kusemwa sana katika mabaraza mawili aliyowahi kuyavunja, nilitetegemea jk ataacha kudili na kundi kubwa lililofanya kampeni chafu za kumwingiza madarakani maarufu kama wanamtandao. Lakini inaonyesha tabia hii ni sugu kwake na imejizihirisha katika baraza hili la jana. Jk tena amemteua...
  12. G

    Napendekeza dr magufuri awe pm wetu mpya kama una kubaliana na mim vote na like hapa

    dr. Magufuli ni jembe, kama lowassa au sokoine. Mpeni muone rostam atapitisha tena migari yake kwenye barabara zetu za kichina.
  13. G

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    Simfagilii Mbatia hata chembe. Purely ni CCM C, CUF CCM B.
  14. G

    Natafuta mume wa maisha...!

    Dada, ukishakuwa mchaguaji hivi utakosa mume milele. Acha free style whoever comes who knows to love be your mume. La sivyo utapata vijana wa mjini watatwanga kote kote kisha wanaishia.
  15. G

    Simbachawene ndani ya baraza la Mawaziri!!

    Wilaya moja kuwa na mawaziri wawili haina noma. Mponda na Kombani wanatoka wilaya moja. Ngeleja na Masha. Simbachawene ana uchungu na nchi. Tatizo ni chama alichomo hakina uchungu tena na nchi hii tangu The greatest politician in Africa (Comrade JK Nyerere) atutoke. Simbachawene hamia Airtel...
  16. G

    Kikwete umetutukana waongea kiswahili, utuombe samahani, Pole wana UDOM

    Siku ya mei mosi mkuu wa kaya hukututendea haki Watangatanga aah sorry watanzania kumbe. Katika hotuba yake ndefu katikati yake uliongelea sana juu ya watu wanaosoma au waliosoma BA Kiswahili na BA English kwamba ni fani zisizo na ajira nchini na kwamba ndio watu wanaounda kundi la watu wengi...
  17. G

    Mawaziri wawili komban na mponda kwny wilaya moja maendeleo duni

    Bado kitambo kidogo tu mtapata maendeleo. Niliona taarifa ya habr barabara bado ileile ya zama za mawe. Kwenye baraza jipya wote hawatakuwemo hao. Huyo mama alilishwa kasa na Jk akatangaze eti hakuna katiba mpya, itawekwa viraka hyhy ya zamani. Kesho yake JK magazetiniii anatangaza kuunda katiba...
  18. G

    Agenda mbaya ya Bernad Membe vyuo vikuu

    Ila mtoa mada usitupotoshe, UDOM chanzo ni shotiii, sio siasa. Siku akiondoka yule utasikia pale kama kutakuwa na vurugu yeyote. Shotiii wa UDOM noma, usipime.
  19. G

    Agenda mbaya ya Bernad Membe vyuo vikuu

    Tupo ktk kipindi cha majaribu, tuweke jazba pembeni kisha tutafakari ili tufanye maamuzi sahihi na dunia itambue CHADEMA ni chama makini." BY Mh. Freeman MBOWE. Kazeni buti kama TMK wanaume family aka Mheshimiwa Temba, mtafika tu magogoni. Nchi yenyewe imeshauzwa hii, bado kusafirishwa kama...
Back
Top Bottom