Search results

  1. T

    Jk amwapisha waziri mwandosya ikulu hii leo

    Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dsm leo asubuhi.
  2. T

    Profesa Mark James Mwandosya hakula kiapo cha utii katika zoezi la kuapa mawaziri pale ikulu?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.JAKAYA MRISHO KIKWETE amewaapisha Mawazri wapya ambao aliwateua siku ya Ijumaaa katika Baraza Jipya la Mawaziri. Miongoni mwa Mawaziri wapya yupo Mheshimiwa Pro.Mark Jame Mwandosya ambaye alkuwa waziri wa maji lakini safari hii amekuwa ni Waziri asiye...
  3. T

    David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

    Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Luca Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi. Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo. Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!
  4. T

    Kikwete agonga msumari wa mwisho kwa mawaziri............hii inaashiria nini hasa?

    ASEMA ALIFURAHIA MJADALA MKALI BUNGENI, AJIPANGA KUTEKEKELEZA MAPENDEKEZO................WAKATI akitarajiwa kufanya mabadiliko makubwa katika safu yake ya Baraza la Mawaziri muda wowote kuanza sasa, Rais Jakaya Kikwete amesema amefurahishwa na mjadala mkali ulioibuka bungeni kuhusu kuwajibishwa...
  5. T

    Huu ndo uhuru wa mahakama kwani ni mhimili unaojitegemea katika maamuzi yake...!!!

    Uhuru wa Mahakama ndo huu juzi nilitoka kuzungumzia hili kuwa Mahakama ni muhimili wa Dola unaojitegemea kwa maamuzi yake. Juzi Tundu Lissu(Chadema) alishinda kesi yake ya Uchaguzi bt hii leo HILARY AESHI(CCM) ameshindwa kwenye Kesi yake ya Ubunge wa Sumbawanga Mjini......Je Serikali ya CCM...
Back
Top Bottom